Mfahamu Sokoine Moringe, kiongozi wa zamani aliyewahi kuwa Waziri Mkuu mara mbili. Ni Miaka 40 imepita tangu kifo cha kiongozi huyo wa Tanzania alipofariki katika ajali ya gari eneo la Wami Dakawa mkoani Morogoro alipokuwa akitokea Dodoma kuelekea Dar es Salaam
Zaidi Soma https://jamii.app/WaziriZamaniSokoine
#JamiiForums #SokoineMoringe #FahamuZaidi

👍8❤2
ARUSHA: Zoezi la kutafuta Wanafunzi waliopotea baada ya gari la Shule ya Msingi Ghati Memorial Lenye Namba za Usajili T496 EFK kuanguka kwenye korongo Mitaa ya Dampo, Kata ya Sinoni kisha kusombwa na maji linaendelea ambapo jumla ya miili ya Wanafunzi Sita (6) imepatikana
Kamishna wa Polisi wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Tanzania, Awadhi Haji amesema "Waliopoteza Maisha mpaka Sasa ni Sita, tunaendelea kuwatafuta wawili."
Mwanafunzi Glory Daniel, mmoja kati ya waliookolewa amesema "Anko (Dereva) aliulizwa na Madam kama tunaweza kupita akacheka kisha akapita gari ikaanguka kule chini."
Soma https://jamii.app/GhatiMemorial
#JFMatukio #JamiiForums

👍10💔6❤1
#UTEUZI: Rais #SamiaSuluhuHassan amemteua CPA Anthony Mzee Kasore kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
(#VETA)
Kabla ya uteuzi CPA Kasore alikuwa akikaimu nafasi hiyo
Soma https://jamii.app/UteuziAprili12
#JamiiForums #Governance

👍8
#UTEUZI: Rais #SamiaSuluhuHassan amemteua Goodluck Antipas Shirima kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi, Wizara ya Nishati
Goodluck Shirima ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria na Uhusiano Kampuni ya Mafuta ya Puma, Tanzania
Soma https://jamii.app/UteuziAprili12
#JamiiForums #Governance
Goodluck Shirima ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria na Uhusiano Kampuni ya Mafuta ya Puma, Tanzania
Soma https://jamii.app/UteuziAprili12
#JamiiForums #Governance
👍5❤2
JamiiForums inakutakia mapumziko mema ya Mwisho wa Wiki
#JamiiForums #Accountability #GoodMorning #AmkaNaJF

👍7
#Haiti imetangaza kuundwa kwa Baraza la Mpito lenye jukumu la kurejesha hali ya utulivu kufuatia ghasia zilizozuka kutoka kwa Magenge ya Uhalifu kulikosababisha Waziri Mkuu, #ArielHenry, kutangaza kujiuzulu Mwezi mmoja uliopita
Baraza lina jukumu la kuteua Waziri Mkuu mpya na Serikali kwa haraka kwa kuzingatia sera mbalimbali za Siasa ya Haiti. Pia, Kuundwa kwa Baraza hilo linaloungwa mkono na Marekani ni hatua ya kuelekea kufanyika Uchaguzi wa Rais ifikapo Februari 2026
Nchi hiyo haijafanya Uchaguzi tangu 2016 na imekuwa bila Rais tangu #JovenelMoise alipouawa Mwaka 2021
Soma https://jamii.app/BarazaMpitoHaiti
#JamiiForums #Accountability #Governance #Democracy

#AFYA: Takriban Watu milioni 55 wanakabiliwa na tishio la njaa katika Ukanda wa Afrika Magharibi na Kati kutokana na kupanda kwa bei za Vyakula
Taarifa ya pamoja ya Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), Shirika la kuhudumia Watoto (UNICEF) na lile la Chakula na Kilimo, imesema idadi ya Watu waliokabiliwa na njaa imeongezeka mara nne katika kipindi cha Miaka mitano iliyopita
Changamoto za Kiuchumi ikiwemo mfumuko mkubwa wa Bei na kudorora kwa Uzalishaji wa ndani vinatajwa kuchochea zaidi janga hilo
Nchi zilizoathirika zaidi ni Nigeria, Ghana, Sierra Leone, na Mali. Aidha, Zimbabwe imetangaza Ukame kuwa janga la Kitaifa
Soma https://jamii.app/NjaaAfrikaKati
#JamiiForums #HumanRights #PublicHealth #ChildSafety

👍10❤5
#KILIMANJARO: Mdau wa JamiiForums.com amewasilisha kero ya Wizi wa Taa za Barabarani inayofanywa na baadhi ya Watu Wilayani #Moshi, akiwaomba Viongozi wa Eneo husika kushughulikia tatizo hilo mapema kabla Wezi hawajaiba Taa zote zilizobakia
Soma https://jamii.app/WiziTaaMoshi
#Accountability #JamiiForums #Governance #Uwajibikaji #JFMatukio

❤4👍1
#NJOMBE: Jeshi la Polisi linamshikilia Mtoto wa Miaka 12 akituhumiwa kumlawiti Mtoto mwenzake (10), Mwanafunzi wa Darasa la Nne kwa muda mrefu kiasi cha kumuathiri Kiafya
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga amesema tukio hilo limetokea Mjini Makambako ambapo Mtuhumiwa aliacha Shule akiwa Darasa la Sita na amekuwa akimfanyia mwenzake Ukatili huo kwa muda mrefu akimlaghai kwa kumpatia Fedha
Matukio ya Watoto kufanyiana Vitendo vya Ulawiti yamekuwa yakiongezeka, Unadhani nini kifanyike kuongeza Ulinzi kwa Watoto?
Soma https://jamii.app/UlawitiMtotoNjombe
#JamiiForums #ChildSafety #UkatiliWatoto #Malezi #ChildAbuse

👍5😢1
Mdau wa JamiiForums.com anasema kinachowatesa Watu wengi ni kuishi kwa Imani kuwa Maisha ni mstari mnyoofu na hili sio tu limejengwa sasa, bali hata Mifumo ya Malezi inachangia hilo
Wengi waliamini Shule ikiisha tu leo, basi kesho yake wanapata Ajira na wakipata tayari wananunua Nyumba, Gari, Kuoa/Kuolewa na kufurahia Maisha
Jifunze zaidi https://jamii.app/MaishaSioNyoofu.
#JamiiForums #Maisha #LifeLessons

👍7❤1
#UTEUZI: Rais #SamiaSuluhuHassan amemteua Balozi Said Othman Yakub kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Comoro
Balozi Yakub anachukua nafasi ya Balozi Pereira Ame Silima ambaye amemaliza muda wake
Soma https://jamii.app/YakubBaloziComoro

👍5