This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Jonathan Lee Riches, Binadamu mwenye rekodi ya kufungua kesi nyingi duniani. Alifanikiwa kufungua kesi takriban 2,600 katika Mahakama mbalimbali Duniani
#JamiiForums #FahamuZaidi #Entertainment
#JamiiForums #FahamuZaidi #Entertainment
😁14👍1🤩1🥱1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Simulizi ya Ndege ya Air Tanzania Boeing 737 iliyotekwa na Watanzania Februari 26, 1982 ikiwa na abiria zaidi ya 90 wakati ikiruka toka Mwanza kuelekea Dar es Salaam
Kwa simulizi nyingine nyingi tembelea Jukwaa la Historia ndani ya JamiiForums.com
Kufikia Jukwaa hilo bofya https://jamii.app/JukwaaLaHistoria
#JamiiForums #JFHistoria #AirTanzania #FahamuZaidi
Kwa simulizi nyingine nyingi tembelea Jukwaa la Historia ndani ya JamiiForums.com
Kufikia Jukwaa hilo bofya https://jamii.app/JukwaaLaHistoria
#JamiiForums #JFHistoria #AirTanzania #FahamuZaidi
👍8
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Vifahamu Vivutio vya Urithi wa Dunia kutoka Tanzania vilivyotajwa na UNESCO Mwaka 2023.
#FahamuZaidi #JamiiForums
#FahamuZaidi #JamiiForums
👍7❤1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Vifahamu Vivutio vya Urithi wa Dunia kutoka Tanzania vilivyotajwa na UNESCO Mwaka 2023.
#FahamuZaidi #JamiiForums #TikTokTz
#FahamuZaidi #JamiiForums #TikTokTz
🔥2
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Zifahamu Hifadhi za Tanzania ambazo zimetajwa kuwa ni Vivutio Vikuu vya Asili kwa mujibu wa UNESCO
#JamiiForums #FahamuZaidi #WildLife #UNESCOWildLife
#JamiiForums #FahamuZaidi #WildLife #UNESCOWildLife
👍2
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Mfahamu Paul Biya, Rais Mzee zaidi Barani Afrika.
#JamiiForums #FahamuZaidi #Cameroon #Democracy #JFDemokrasia
#JamiiForums #FahamuZaidi #Cameroon #Democracy #JFDemokrasia
👍3
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Fahamu Mambo Muhimu ili kuepuka tatizo la Kukosa Usingizi Nyakati za Usiku.
#FahamuZaidi #JamiiForums
#FahamuZaidi #JamiiForums
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Fahamu Historia fupi juu ya Sakata la Kifo cha Bilionea Msuya, Kuuawa kwa Dada yake, Kukamatwa kwa Mke wake hadi Kuachiwa kwake Februari 23, 2024.
#JamiiForums #BillioneaMsuya #FahamuZaidi #JFStories
#JamiiForums #BillioneaMsuya #FahamuZaidi #JFStories
👍1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Ifahamu Historia fupi ya Maisha ya Hayati Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Awamu ya Pili wa Tanzania
#JamiiForums #FahamuZaidi #RIPMwinyi
#JamiiForums #FahamuZaidi #RIPMwinyi
👍3
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Fahamu Marais 6 Kutoka Afrika Wenye Umri Mdogo walioko Madarakani.
#JamiiForums #Demokrasia #Democracy #FahamuZaidi
#JamiiForums #Demokrasia #Democracy #FahamuZaidi
👍2
Mfahamu Sokoine Moringe, kiongozi wa zamani aliyewahi kuwa Waziri Mkuu mara mbili. Ni Miaka 40 imepita tangu kifo cha kiongozi huyo wa Tanzania alipofariki katika ajali ya gari eneo la Wami Dakawa mkoani Morogoro alipokuwa akitokea Dodoma kuelekea Dar es Salaam
Zaidi Soma https://jamii.app/WaziriZamaniSokoine
#JamiiForums #SokoineMoringe #FahamuZaidi
Zaidi Soma https://jamii.app/WaziriZamaniSokoine
#JamiiForums #SokoineMoringe #FahamuZaidi
👍8❤2