JamiiForums
βœ”
52.4K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
😁14πŸ‘Ž4
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
WATANZANIA WAONESHA MAAJABU AUSTRALIA'S GOT TALENT

Fadhili Ramadhani na Ibrahim Hamisi wameonesha sarakasi za hatari (Acrobatic stunts)

Hii ni mara ya kwanza kupanda jukwaa kubwa. Wakishinda watapata dola 100,000 (Tsh. Milioni 233)

Soma https://jamii.app/TzAGT
#JamiiForums
πŸ‘28
NIGERIA: WAVAMIA HOSPITALI NA KUTEKA MADAKTARI, WAGONJWA

Tukio limefanywa na Watu wenye Silaha za Moto. Pia, wamewateka Ndugu waliokuwa wakiuguza wagonjwa katika Jimbo la #Niger

Inadaiwa waliotekwa ni 20 na Watu watatu wameuawa

Soma https://jamii.app/UtekajiHospitali

#HumanRights
πŸ‘6πŸ‘Ž4🀯2
UGANDA: JENERALI MUHOOZI AGOMA KUONDOKA TWITTER, ASEMA HAKUNA WA KUMZUIA LOLOTE

Ni siku chache tangu Rais Museveni ambaye ni baba yake kumuombea msamaha na kumtaka ajiondoe Twitter kutokana na kauli zake za kuliteka Jiji la Nairobi

Soma https://jamii.app/MuhooziUG

#JamiiForums
😁7πŸ‘6
ZIMBABWE: Mamlaka ya Kudhibiti Dawa imeidhinisha Matumizi ya sindano ya #Cabotegravir (CAB-LA) kama #Prophylaxis ya pre-exposure (PrEP) kwa ajili ya kuzuia VVU

Sindano hizi hutumiwa kila baada ya Miezi 2 miongoni mwa Watu waliokatika Hatari ya Kuambukizwa

Soma https://jamii.app/HIVPrevention

#PublicHealth
πŸ‘16πŸ‘Ž2
MAANDALIZI YA KABLA YA KUJIFUNGUA

Hudhuria Kliniki za Uzazi, pata Chanjo zote muhimu na tunza Usafi wa Via vya Uzazi

> Fahamu mapema Hospitali utakayojifungulia, andaa usafiri wa kukufikisha Hospitalini, andaa mapema vitu kama Khanga, Pamba, Nepi na Fedha

Soma https://jamii.app/LaborPrepsTips

#JFAfyaJamii
πŸ‘12
KENYA: DCI KUCHUNGUZA KIKOSI CHA POLISI KINACHODAIWA KUTEKA NA KUUA WATU

Maafisa wa kikosi hicho wanatuhumiwa na mauaji na kutoweka kwa watu nchini humo wakiwemo wafanyabiashara wawili raia wa India

Soma https://jamii.app/DCIKenya

#HumanRights #Accountability #PoliceBrutality
πŸ‘9πŸ‘2❀1
GEITA: Mahakama ya Hakimu Mkazi imemhukumu kifungo cha miaka 5 Mpipi Emanuel, Mkazi wa Kijiji cha Shahende kwa kosa la kumchoma mikono Mtoto wake (14)

> Mama huyo alimtuhumu mtoto wake kuiba Tsh. 31,000

Soma https://jamii.app/MikonoMtoto

#SocialJustice #JFHakiMtoto
πŸ‘8πŸ€”3πŸ‘2
MDAU: KUZUNGUMZA MAMBO BINAFSI KATIKA USAFIRI WA UMMA SIO SALAMA

Anasema wapo wanaozungumza kwa nia ya kutaka sifa na kuelezea mambo yao ya siri bila kuzingatia kuwa wanatoa taarifa ambazo zinaweza kutumiwa na wahalifu dhidi yao

Soma https://jamii.app/ElimuYaMaisha

#JFMaisha
πŸ‘8❀3πŸ‘2😁1
TANGA: WATUMISHI 4 WASIMAMISHWA KAZI KWA UBADHIRIFU NA UZEMBE

Ni Ramadhani Mtingi (Idara ya Ujenzi), Zainabu Mzindakaya (Mweka Hazina wa Halmashauri), Furaha Sarakikya (Idara ya Manunuzi) na Serapion Basgange (Afisa Elimu Sekondari)

Mkuu wa Mkoa huo, Omary Mgumba amewatuhumu kutumia vibaya Fedha za Serikali na Usimamizi Mbovu wa Miradi ya Maendeleo na ameagiza TAKUKURU na CAG kuwahoji na kufanya ukaguzi wa miaka 3 Wilayani Muheza

Soma https://jamii.app/RCTNGMuheza

#Uwajibikaji #KemeaRushwa
πŸ‘9😁1
KENYA: SAFARICOM YADAIWA KUBADILI LAINI NA KURUHUSU WIZI WA TSH. MILIONI 7.6

Abdi Zeila amefungua kesi dhidi ya kampuni hiyo akidai mabadiliko hayo yalipelekea kutolewa fedha kupitia Benki ya NCBA bila ridhaa yake

Soma https://jamii.app/SafaricomKE

#DataProtection #DataPrivacy
πŸ‘15πŸ‘Ž1πŸ€”1
Siku hii ilianzishwa Mwaka 2010 na Tume ya Takwimu ya Umoja wa Mataifa ili kuweka kipaumbele juu ya Umuhimu wa Takwimu na Umuhimu wa Utafiti wa Kitaaluma kwenye Maendeleo ya Mashirika ya Kiraia na Biashara

Soma https://jamii.app/SikuYaTakwimu

#WorldStatisticsDay
πŸ‘6❀1
RONALDO KUCHUKULIWA HATUA KWA KUONDOKA UWANJANI MECHI IKIENDELEA

Cristiano Ronaldo amefanya tukio hilo Uwanja wa Old Trafford katika dakika ya 89 baada ya kuwekwa benchi wakati Man. United ikishinda 2-0 dhidi ya Tottenham

Soma https://jamii.app/CR7Aondoka

#JFSports #JamiiForums
πŸ‘19🌚6😁1
MALAWI YABAINI KABURI LENYE MIILI 25 YA RAIA WA ETHIOPIA

Inaaminika miili hiyo ni Wahamiaji Haramu waliokuwa wakisafirishwa kuelekea Afrika Kusini

> Uchunguzi unaendelea kwenye miili hiyo inayokadiriwa kuwa ya umri wa miaka 25-40

Soma https://jamii.app/KaburiWatu25

#HumanRights
😒8πŸ€”3
KENYA: Wakili Miguna #Miguna amewasili Kenya kutoke uhamishoni Nchini Canada alipokuwa kuanzia Mwaka 2018

Aliondolewa baada ya Maafisa wa Serikali kudai Wakili huyo Mwenye Uraia Pacha (Kenya na Canada) hakuwa β€œMkenya”

Soma https://jamii.app/MigunaReturns

#Democracy
πŸ‘11
Takwimu hutumiwa na Serikali na Mashirika mengine katika kusaidia kupanga mipango ya Muda Mrefu na Mfupi ikiwemo, Utoaji na Uboreshaji wa Huduma za Kiafya na Kijamii

Pia, Uboreshaji wa Miundombinu

Soma https://jamii.app/SikuYaTakwimu

#WorldStatisticsDay
πŸ‘2
KENYA: Wizara ya Afya imethibitisha visa 61 vya Ugonjwa wa Kipindupindu vilivyorekodiwa katika Kaunti 6, huku Visa 31 vikiripotiwa Katika Kaunti ya Kiambuu pekee kufuatia Sherehe ya Harusi

Mamlaka zimesema #Ukame unakwamisha Juhudi za Kupambana na Ugonjwa huo

Soma https://jamii.app/KenyaCholera

#JFAfya
πŸ‘4
RAIS SAMIA AMTEUA MKURUGENZI WA NIMR

Prof. Said Shehe Aboud ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) akichukua nafasi ya Prof. Yunus Daud Mgaya ambaye amemaliza muda wake Septemba 2022

Soma https://jamii.app/UteuziNIMR

#Uteuzi
πŸ‘8
UINGEREZA: Waziri Mkuu, #LizTruss, ametangaza kujiuzulu nafasi yake Siku 45 baada ya kuchukua Madaraka kutoka kwa #BorisJohnson

Ni baada ya baadhi ya Mawaziri na Wabunge wa Chama chake cha Conservative kumtaka ajiuzulu kutokana na Kutoridhishwa na Utendaji wake

Soma https://jamii.app/LizTrussAjiuzulu

#Democracy
😁11πŸ‘8πŸ€”2😈2
#JFAFYA: Ugonjwa Wa Kudhoofu Mifupa husababisha Mifupa kuwa dhaifu, Ipungue ujazo wake na iwe kwenye hatari kubwa ya kuvunjika kirahisi

Miongoni mwa Dalili zake ni kupatwa na Maumivu ya mara kwa mara ya Mifupa hasa sehemu ya Mgongo

Soma https://jamii.app/UgonjwaWaKudhoofuMifupa

#JFAfyaJamii
πŸ‘3