RWANDA: WASIOPATA CHANJO KUTORUHUSIWA MAENEO YA UMMA
Serikali imewataka Wananchi kupata Chanjo kamili ya #COVID19 ili kuruhusiwa kuingia maeneo ya umma
Watu milioni 7 wameshapata Chanjo kamili na zaidi ya milioni 8 wamepata Chanjo ya kwanza
Soma https://jamii.app/RwandaUmma
#UVIKO3

BURKINA FASO: Wanajeshi waliomtoa Rais Roch Kabore wamewaonya waliokuwa Mawaziri kutoondoka Mji Mkuu wa Nchi hiyo, au kukwamisha mazungumzo kuhusu namna ya kurejesha Utawala wa Demokrasia
Kabore alipinduliwa kwa kushindwa kudhibiti hali ya usalama
Soma https://jamii.app/MinistersBurkinaF
#Governance #Democracy
Kabore alipinduliwa kwa kushindwa kudhibiti hali ya usalama
Soma https://jamii.app/MinistersBurkinaF
#Governance #Democracy
ANACHOWEZA KUFANYA MZAZI KUHAKIKISHA MTOTO ANABAKI SALAMA MTANDAONI
1) Kuwaeleza Watoto umuhimu wa kuweka nywila (Password) kwenye vifaa vyao
2) Kuhakikisha Mtoto haweki taarifa zake binafsi ikiwemo mahali anapoishi au namba ya simu
Soma - https://jamii.app/WatotoMitandao
#ChildSafety #DigitalRights

WB: UCHUMI WA DUNIA UTAKUA KWA 4.4% KWA MWAKA 2022
Benki ya Dunia imesema unakua kidogo na ilivyokadiriwa awali. 2023 ukuaji wa Uchumi utapungua hadi kufikia 3.8%
Nchi zinazoendelea zitakuwa na ukuaji mdogo ikilinganishwa na Nchi zilizoendelea
Soma https://jamii.app/Uchumi2022

WIZARA YA AFYA: TANZANIA NI MOJA YA NCHI ZENYE WAGONJWA WENGI WA SELIMUNDU DUNIANI
Wizara ya Afya imesema kila mwaka watoto 11,000 huzaliwa na Selimundu (sickle cell) nchini
> Serikali inafanya marekebisho ya Sera ya Afya ili kukabiliana na ugonjwa huo
Soma https://jamii.app/SeliMunduTz
#JFAfya

BURKINA FASO: Luteni Kanali Paul-Henri Damiba aliyeongoza Mapinduzi asema Jeshi litakutana na makundi mbalimbali ya Jamii kujadili mchakato wa kufanya mageuzi
Amesema Nchi hiyo inahitaji msaada wa Washirika wa Kimataifa kuvuka hali ya sasa
Soma - https://jamii.app/DamibaSpeech
#Governance
Amesema Nchi hiyo inahitaji msaada wa Washirika wa Kimataifa kuvuka hali ya sasa
Soma - https://jamii.app/DamibaSpeech
#Governance
Denmark imetangaza kuondoa vikosi vyake vilivyokuwa vinapambana na Magaidi nchini Mali baada ya kuwa na mzozo wa kidiplomasia
> Mali imekaidi kuitisha uchaguzi Februari kama ilivyohitajika na Jumuiya za Kimataifa
Soma https://jamii.app/DenmarkMali
> Mali imekaidi kuitisha uchaguzi Februari kama ilivyohitajika na Jumuiya za Kimataifa
Soma https://jamii.app/DenmarkMali
Gazeti la Mwananchi la Januari 28, 2022 limeandika mtuhumiwa wa mauaji ya Musa Hamisi, Gilbert Kalanje (Mrakibu wa Polisi) ndiye aliyemtishia Waziri Nape Nnauye bastola Machi 23, 2017
> 2017, Serikali ilisema aliyemtishia bastola Nape si Polisi
Soma https://jamii.app/MauajiBastola
#JFUwajibikaji #Accountability
> 2017, Serikali ilisema aliyemtishia bastola Nape si Polisi
Soma https://jamii.app/MauajiBastola
#JFUwajibikaji #Accountability
Mahakama Kuu ya #Tanzania imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia akipinga mchakato wa kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai
Mahakama imesema hakuna ukiukwaji wa Kikatiba uliofanyika
Soma - https://jamii.app/PingamiziNdugai
#JFSiasa
Mahakama imesema hakuna ukiukwaji wa Kikatiba uliofanyika
Soma - https://jamii.app/PingamiziNdugai
#JFSiasa
SIKU YA ULINZI WA FARAGHA YA TAARIFA BINAFSI
Januari 28 ni Siku ya Ulinzi wa Faragha ya Taarifa Binafsi, ikiwa ni jitihada za kimataifa kujenga ufahamu kuhusu umuhimu wa kuheshimu Faragha
Ulinzi wa Faragha ya Taarifa binafsi ni Haki ya Msingi ya Binadamu
Soma - https://jamii.app/DPD2022
#DataPrivacyDay #DataPrivacy

#DataPrivacy: Umoja wa Ulaya (EU) umeipa WhatsApp mwezi mmoja (hadi mwisho wa Februari) kueleza kwa Wateja wake kuhusu mabadiliko ya Sera ya Faragha huku ikitakiwa kuonesha kwa uwazi namna ambavyo Taarifa za Wateja zinatumika
Soma https://jamii.app/DataPrivacyEU
#DataProtection
Soma https://jamii.app/DataPrivacyEU
#DataProtection
MAMILIONI YA WATU HAWAJUI TAARIFA ZAO ZINAVYOTUMIKA
Uhitaji wa Ulinzi wa Faragha ya Taarifa Binafsi sio kitu kipya kwani Taarifa hizo zimekuwa hatarini
Kuwepo Sheria ya #UlinziWaData kutahakikisha Haki ya Faragha inasimamiwa
Soma - https://jamii.app/DPD2022
#DataPrivacyDay #DataPrivacy
Uhitaji wa Ulinzi wa Faragha ya Taarifa Binafsi sio kitu kipya kwani Taarifa hizo zimekuwa hatarini
Kuwepo Sheria ya #UlinziWaData kutahakikisha Haki ya Faragha inasimamiwa
Soma - https://jamii.app/DPD2022
#DataPrivacyDay #DataPrivacy
👍1
UFARANSA: Watu 13 wamekamatwa kwa kutengeneza na kuuza vyeti bandia 62,000 vya #COVID19 jijini Paris na Lyon
Uchunguzi umebaini kundi hilo la wahalifu lilidukua akaunti ya nesi wa kituo cha Afya na kuanza kufoji vyeti hivyo
Soma - https://jamii.app/FakeCOVID19Pass
#UVIKO3
Uchunguzi umebaini kundi hilo la wahalifu lilidukua akaunti ya nesi wa kituo cha Afya na kuanza kufoji vyeti hivyo
Soma - https://jamii.app/FakeCOVID19Pass
#UVIKO3
#ETHIOPIA: Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu hali mbaya ya Njaa Kaskazini mwa Nchi hiyo, ikielezwa takriban 40% ya Wakazi wa Tigray wana uhaba wa chakula
Imeelezwa, hakuna msafara wa chakula ambao umefika #Tigray tangu katikati ya Desemba 2021
Soma https://jamii.app/HungerEth
#HumanRights
Imeelezwa, hakuna msafara wa chakula ambao umefika #Tigray tangu katikati ya Desemba 2021
Soma https://jamii.app/HungerEth
#HumanRights
Ubalozi wa Ufaransa umeitahadharisha Serikali ya #Kenya kuhusu tishio la Kigaidi linalotarajiwa kutokea Magharibi mwa Nchi hiyo mwishoni mwa wiki
Maeneo yanayotakiwa kuepukwa ni Hoteli, Kumbi za Sterehe, na Maduka makubwa jijini #Nairobi
Soma - https://jamii.app/UgaidiKenya
#Governance
Maeneo yanayotakiwa kuepukwa ni Hoteli, Kumbi za Sterehe, na Maduka makubwa jijini #Nairobi
Soma - https://jamii.app/UgaidiKenya
#Governance
INDIA: MAAMBUKIZI YA COVID-19 YAPUNGUA DELHI, MIGAHAWA YAFUNGULIWA
Migahawa, baa na kumbi za sinema zitaruhusiwa kufanya kazi kwa sharti la kuchukua watu 50% ya uwezo
#Delhi ilikuwa miongoni mwa maeneo yaliyoathiriwa zaidi na Wimbi la Tatu
Soma https://jamii.app/COVIDDelhi

HOJA: IMANI ZA KISHIRIKINA ZINAONGEZA UADUI, TUZIACHE
Anasema ushirikina husababisha kutoendelea kwani Watu huogopa kufanya maendeleo kwa hofu ya kurogwa
Aidha, mauaji ya wenye Ulemavu wa Ngozi na Wazee maeneo mbalimbali yanasababisha na imani hizi
Soma https://jamii.app/ImaniUshirikina
#JFMdau

ECOWAS YASIMAMISHA UANACHAMA WA BURKINA FASO
Kufuatia Mapinduzi ya Kijeshi, Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imetangaza kusitisha Uanachama wa #BurkinaFaso
Kwa sasa haijaweka vikwazo vyovyote dhidi ya Taifa hilo
Soma - https://jamii.app/UanachamaBF
#JFDiplomasia

Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda ameitaka Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kutengeneza vipuri vya vyombo vya moto
> Amesisitiza DIT kuendelea kujenga ushirikiano na taasisi nyingine ili kubadilishana wataalamu na kukuza teknolojia
Soma https://jamii.app/DITVipuri
#JFElimu
> Amesisitiza DIT kuendelea kujenga ushirikiano na taasisi nyingine ili kubadilishana wataalamu na kukuza teknolojia
Soma https://jamii.app/DITVipuri
#JFElimu