Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
MWANZA: Msimamizi wa Usalama wa Meli na Uhifadhi wa Mazingira wa Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO), Dembele Samson Mwita amesema huduma ya Meli ya New MV. Victoria inaweza kurejea ndani ya Mwezi mmoja tangu kusimama kwake kutoka katika matengenezo yanayoendelea kwa sasa
Awali, Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano wa #TASHICO, Anslem Namala alisema huduma zilisimama tangu Machi 4, 2025 kupisha matengenezo hayo kwa kuwa sio wakati wa abiria wengi
Ikumbukwe, Machi 10, 2025, Mdau wa JamiiForums.com alidai meli hiyo imesimamisha huduma kwa wiki mbili bila kutoa taarifa kwa Umma jambo ambalo limesababisha usumbufu
Soma https://jamii.app/MVVictoriaUpdates
#JamiiForums #JFMatukio #Accountability #Transparency #Governance

👍2❤1
MWANZA: Kampuni ya Meli Tanzania (#TASHICO) imesema inatarajia kutoa taarifa na tarehe rasmi ya kurejea kwa safari za kawaida kwa Meli ya New MV Victoria ambayo imekuwa katika matengenezo tangu Machi 4, 2025
Soma https://jamii.app/MvVictoriaMei15
#JamiiForums #ServiceDelivery #Accountability