Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema wito huo kwa Msanii wa Bongo Fleva, #NayWaMitego ulihusu mazungumzo kuhusu wimbo wake wa #Amkeni lakini hakutokea na hiyo ndio sababu ya kuzuia vibali vya kufanya shoo Mkoani #Njombe
Mwanasheria wa #BASATA, Christopher Kamugisha amesema “Tumempa wito kwa mara ya tatu afike Ijumaa hii (Septemba 8, 2023), tunasubiri kuona kama atafika au la.”
Awali, Mwanasheria wa Nay, Wakili Jebra Kambole akiongea na JamiiForums alisema “BASATA wamempa wito wa maandishi Nay afike ofisini kwao Ijumaa hii kwa sharti kuwa anatakiwa kwenda peke yake bila Mwanasheria, bado tunatafakari sharti hilo na kwa nini iwe hivyo.”
Soma https://jamii.app/NayNaBASATA
#Entertainment #Democracy #FreedomOfSpeech #FreedomOfExpression #JamiiForums

👍5😁2👎1