JamiiForums
52.4K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Je, unampa Mdau ushauri gani?

Kushiriki Mjadala huu bofya https://jamii.app/ChangamotoYaNdoa

#JamiiForums #JamiiAfrica #JFMahusiano
Mdau, Je unafahamu asili ya jina la eneo unaloishi? 😀

Mjadala zaidi https://jamii.app/AsiliYaEneo

#JamiiForums #JamiiAfrica #JukwaaLaHistoria
2
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (#TLS), Boniface Mwabukusi akizungumza leo Agosti 26, 2025, kuhusu kesi zinazomhusu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, #TunduLissu amesema, "Tunaishauri Serikali iondoe kesi yake Mahakamani. #DPP anajua cha kufanya ili Lissu aondoke, kwani kama Taifa tukitaka kupona lazima tuache unafiki."

Ameongeza, "Lissu hakuongea gizani, bali aliongea hadharani na wote tunajua kuna kauli kali zaidi zilitoka kuliko za Lissu, lakini zile ni kauli za Kisiasa."

Zaidi https://jamii.app/LissuAtoke

#JamiiAfrica #JamiiForums #Demokrasia #UchaguziMkuu2025
Mdau kutoka Jukwaa la JF Sports ametaja kikosi chake cha kwanza kinachoweza kuanza kwa Timu za #Simba na #Yanga baada ya baadhi ya wachezaji kuondoka na usajili mpya kukamilika, huku msimu wa 2025/2026 ukitarajiwa kuanza Septemba 16, 2025.

Je, unawajua vizuri Wachezaji waliosajiliwa na timu yako?

Zaidi Soma https://jamii.app/SimbaYanga

#JamiiForums #JamiiAfrica #JFSports #JFMdau2025