Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Kauli ya Ester Bulaya aliyoitoa Juni 11, 2023 alipohojiwa na Stanslaus Lambart kuhusu mustakabali wao (yeye na Wabunge wengine 18) waliokuwa na Mgogoro na Viongozi wao ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (#CHADEMA)
Video ya pili ni Bulaya baada ya kuchukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Mara, Juni 30, 2025
Soma https://jamii.app/BulayaSiasa
#JamiiForums #JFKumbukizi #Democracy #Siasa

❤3
DAR: Mdau wa JamiiForums.com anasema walipokaa muda mrefu kusubiri Huduma ya 'Ambulance' katika Hospitali ya Amana, walimuhoji mmoja wa Wahudumu ili kufahamu Changamoto ni nini na aliwaambia Hospitali hiyo ina Gari mbili tu za Wagonjwa na Dereva yupo mmoja
Pia, ameomba Uongozi wa Hospitali uangalie ‘customer care’ ya Wauguzi, wana majibu ya ovyo sana na yanayokera, utadhani umeenda Hospitali kuomba msaada wakati ile ni Huduma na wao wapo kazini
Soma zaidi https://jamii.app/HudumaAmbulanceAmana
#JamiiForums #Accountability #JamiiAfrica #Uwajibikaji #ServiceDelivery #HudumaZaKijamii #PublicHealth #Afya

❤1
Je, unajua tofauti kati ya Maoni huru na Maoni ya chuki?
Maoni huru yanajenga hoja lakini Maoni ya chuki hushambulia Watu. 'Hate Speech' hukusudiwa kumdhuru Mtu binafsi au Kikundi cha Watu ili kuwadhalilisha kwa kigezo cha rangi ya Ngozi, Asili, Jinsia, Umri, Ulemavu au Dini na n.k.
Kauli hizi zinaweza kuwanyima Watu Haki sawa, na katika hali mbaya zaidi, hata kusababisha wengine kujitoa Uhai.
#JamiiForums #JamiiAfrica #HumanRights #KauliZaChuki #StopHateSpeech #DigitalPeace #NoToHateSpeech #ResponsiblePosting #JamiiYenyeUelewa

Mdau, unatumia njia gani kujiandaa Kiuchumi zitakazokutunza kipindi utakapostaafu/utakapokuwa huna Nguvu za kufanya Kazi
Mjadala zaidi https://jamii.app/KiinuaMgongoUzeeni
#JamiiForums #Uchumi #JamiiAfrica #Maisha

Utafiti mpya uliochapishwa katika Jarida la The Lancet Global Health na kikundi cha Watafiti kutoka Marekani na Afrika umefichua tatizo linalotia wasiwasi mkubwa, ambapo karibu Dawa moja kati ya sita (Asilimia 17) za Saratani zinazopatikana Nchini Ethiopia, #Kenya, Malawi na #Cameroon ni bandia au zina Viambato visivyo sahihi
Watafiti walikusanya taarifa za vipimo vya Dozi, mara nyingine kwa siri, kutoka Hospitali 12 na Maduka ya Dawa 25 katika Nchi hizi nne, wakipima takriban bidhaa 200 tofauti za Dawa za Saratani kutoka chapa mbalimbali. Matokeo yanaonesha hata bidhaa zinazotumika katika Hospitali kubwa zilikuwa na kasoro
Athari kwa Wagonjwa ni kubwa. Wale wanaopokea dozi zisizotosheleza Viambato muhimu wanaweza kuona Uvimbe wao ukiendelea kukua na hata kuenea, badala ya kudhibitiwa au kupunguza kama ilivyokusudiwa.
Soma zaidi https://jamii.app/DawaBandiaSaratani
#JamiiForums #JamiiAfrica #Afya #PublicHealth

SIMIYU: Baada ya kuripotiwa kuwa Jimbo la Kisesa ambalo Mbunge wake ni Luhaga Mpina anayeelekea kumaliza muda wake kwamba hakuna Mtu aliyechukua fomu kuwania Jimbo hilo imebainika taarifa hiyo sio ya kweli
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM) Wilaya ya Meatu lilipo Jimbo la Kisesa, Nabosi Manyonyi, amesema “Si kweli taarifa hizo, wamechukua Watu wengi tu na wengine nipo nao hapa wanaendelea kuchukua.”
Alipotafutwa Mpina amesema “Mimi tayari nimeshachukua na nimesharejesha fomu.”
Soma https://jamii.app/KisesaUbunge
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025 #Democracy #Siasa

Ukiingia Bafuni kuoga, unatumia dakika ngapi?
Mjadala zaidi https://jamii.app/KuogaDakikaNgapi
#JamiiForums #LifeStyle #JFStories #JamiiAfrica #JFChitChats

👍1
Meneja Mawasiliano wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (#HESLB), Veneranda Malima amesema “Siyo kitu kigumu kama baadhi wanavyosema, anuani ya Makazi ni jambo ambalo linahitajiwa na kila Mtu sio Wanafunzi pekee, unapohitaji unaomba kupitia Kiongozi wako wa Mtaa au Mtendaji wa Mtaa au Kijiji
Akijibu Hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyeandika “Kipengele kipya cha Anuani ya Makazi (NaPA) katika Fomu ya Mkopo wa HESLB hakieleweki kwa Watendaji wengi, HESLB itoe elimu”, Veneranda amesema “Hata kama Mhusika una Nyumba 10 au zaidi, unatakiwa kuchagua moja ambayo umejisajili hasa eneo unaloishi na kuitumia."
Aidha, ameeleza kila siku jioni HESLB kwa kushirikiana na Wizara ya Mawasiliano wanatoa Elimu kwa njia ya Mtandao kupitia 'Google Meet', na humo Mtu anapata nafasi ya kuuliza maswali na anajibiwa.
Soma https://jamii.app/MajibuHESLBNaPA
#JamiiForums #Accountability #JamiiAfrica #Uwajibikaji