Kusoma kwa undani habari hizi na nyingine zilizojiri juma lililopita bofya https://jamii.app/YaliyojiriJumaLililopita
#JamiiForums #YaliyojiriJumaLililopita #JFToons

❤1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MWANZA: Akizungumza katika kikao cha ndani na Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ukerewe, Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Stephen Wasira amesema Utawala Bora ni kutii Katiba na Sheria za nchi, yeyote asiyezingatia hayo ni gaidi
Soma https://jamii.app/WasiraUgaidi
#JamiiForums #Siasa #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025 #Democracy

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi CCM, Ally Hapi akishiriki Mjadala wa #CafeTalk amesema ripoti ya CAG sio hukumu ya Mahakama kwamba wanaotajwa wote moja kwa moja huwa ni Mafisadi au Wezi, bali ripoti husomwa kisha kuwapa nafasi Watumishi na Taasisi kutoa vielelezo ambavyo havikuwasilishwa wakati wa ukaguzi
Soma https://jamii.app/HapiCAGReport
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #Uwajibikaji #Siasa #Governance #Kuelekea2025

Mdau anasema Watu wengi hasa Vijana wanalalamika kuhusu Ajira lakini Moja ya Ajira ambazo huna haja ya kutuma maombi wala kibali cha kuitumia ni Mitandao ya Kijamii
Ukiwa na 'Followers' wengi wanaotembelea kurasa zako, unaweza kutumia fursa hiyo kufanya matangazo ya Bidhaa za Watu wengine kwa malipo nafuu. Kadri unavyofanya matangazo vizuri, ndivyo utakavyowavutia wengine kutangaza nawe
Pia, unaweza kutumia Mitandao ya Kinamii kupata ‘Connections’ za Kibiashara, kutangaza kipaji au uwezo wako, pamoja na kuwaonesha Watu Ubunifu au Taaluma yako
Je, umewahi kupata faida gani kupitia Mitandao ya Kijamii?
Soma https://jamii.app/MitandaoFaida
#JamiiForums #CivicEducation #SautiYaRaia #UraiaWenyeUelewa

❤3
#MAISHA: Malezi uliyoyapata kutoka kwa Wazazi/Walezi wako yamekuathiri vipi kwenye namna unavyolea/utakavyowalea Watoto wako?
Mjadala zaidi https://jamii.app/MaleziTulivyolelewa
#JamiiAfrica #JamiiForums #JFStories #JFChitChats #Malezi

DAR: Taarifa ya Chama cha ACT Wazalendo imeeleza, Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa wa Chama hicho, Janeth Rithe amepewa dhamana baada ya kushikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini kwa sharti la kuripoti tena Kituoni Juni 29, 2025
Juni 20, 2025, Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa Chama cha ACT - Wazalendo, Shangwe Ayo kupitia akaunti yake ya Mtandao wa X, alisema Polisi wamefika katika Ofisi za Chama hicho na kumkamata Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Janeth Rithe kwa agizo la Afisa Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Kanda Maalumu ya Dar es Salaam (ZCO)
Soma https://jamii.app/RitheAachiwa
#JamiiForums #Governance #JamiiAfrica

❤4
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Akichambua Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2025/26, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha #ACTWazalendo, Isihaka Mchinjita, amesema "Athari za ukubwa wa Deni la Serikali linaangukia kwenye mabega ya Wananchi wanyonge, wanaongezewa Kodi, Ushuru na Makato katika Huduma muhimu ili kulipa madeni haya.”
Soma https://jamii.app/ACTKuhusuDeni
#JamiiForums #Uwajibikaji #JamiiAfrica #Accountability #BajetiKuu2025 #Economy

Mdau wa JamiiForums.com anadai kumekuwa na tabia ya baadhi ya Wazazi, Walezi na Ndugu kutumia nafasi zao za Umri, Cheo au Wadhifa kushinikiza baadhi ya Ndugu watoe Ahadi za Michango kwenye Vikao vya Sherehe, jambo linalowaumiza Kisaikolojia na Kiuchumi wanaolazimishwa
Vipi Mdau, umeshawahi kulazimishwa utoe Mchango/Ahadi kwa ajili ya Sherehe?
Soma https://jamii.app/Jobless
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFChitChats #JFStories #Maisha

Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara imewahukumu kunyongwa hadi kufa Askari Polisi wawili kati ya saba waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji ya Mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamisi aliyekuwa Mkazi wa Kijiji cha Luponda, Wilaya ya Nachingwea, Mkoani Lindi
Azam TV imeripoti kuwa katika kesi hiyo ya mauaji ambayo yalitokea Mwaka 2022 mkoani Mtwara, Watuhumiwa watano wameachiwa huru baada ya Mahakama kuwakuta hawana hatia.
Soma https://jamii.app/PolisiHukumiwa
#JFMatukio #Accountability #Governance #JamiiAfrica #HakiZaBinadamu #JamiiForums

Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica, Maxence Melo atakuwa miongoni mwa wazungumzaji katika Mkutano wa 20 wa Utawala wa Mtandao (IGF) utakaofanyika Jijini Lillestrøm, Norway kuanzia Juni 23 hadi 27, 2025
Juni 24, 2025, Maxence Melo atazungumza katika mjadala kuhusu “Miundombinu ya Maslahi ya Umma” (Public Interest Infrastructure), akielezea namna jukwaa la JamiiForums.com linavyotumika kama uwanja wa Wananchi kujadili na kuchochea mabadiliko kwenye jamii yao
Jukwaa la Utawala wa Mtandao (IGF) ni jukwaa la kimataifa linalowaleta pamoja wadau mbalimbali wa Serikali, Sekta Binafsi, Jamii za Kiraia na Wataalamu wa Teknolojia kujadili Sera na mustakabali wa mtandao wa intaneti duniani
Bofya 'link' hii ili uweze kushiriki mtandaoni https://intgovforum.zoom.us/meeting/registerCArMB7gRTWWSC4LXsJ_ybQ
#JamiiAfrica #JamiiForums #AfIGF2025 #HakiZaKidijitali #UsalamaMtandaoni #UtawalaWaMtandao #Uwajibikaji #DigitalRights

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara imetangaza kuwa Mchezo wa Ligi hiyo wa kukamilisha Msimu wa 2024/25 ambao pia utaamua timu itakayotwaa ubingwa kati ya Yanga dhidi ya Simba (Kariakoo Derby) utachezeshwa na Waamuzi kutoka Nchini Misri
Mwamuzi wa kati atakuwa Amin Mohamed Amin Omar, Msaidizi Namba Moja ni Mahmoud Ahmed Abo El Regal, Msaidizi Namba Mbili ni Samir Gamal Saad Mohamed na Mwamuzi wa Akiba ni Ahmed Mahrous Elghandour
Kamishna wa Mchezo ni Salim Omary Singano kutoka Tanga wakati Mkaguzi wa Waamuzi ni Alli Mohamed kutoka Somalia
Pia, Catherine Chammy kutoka N-Card amesema “Kadi zilezile ambazo zilitumika Juni 15, 2025 kabla ya mechi kuahirishwa na kupangiwa siku nyingine ambayo ni Juni 25, 2025, zitatumika tena.”
Soma https://jamii.app/DabiYaKariakoo
#JFLigiKuu25 #JFSports #JamiiAfrica

❤2
MOROGORO: Mdau wa JamiiForums.com anadai Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ina changamoto ya Miundombinu ya Barabara hasa zile zilizo chini ya usimamizi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)
Anaeleza kuwa Barabara zinazoingia Mitaani zina hali mbaya, akitoa mfano ile ya kuelekea Soko la Mawezi ambayo haijakamilishwa, Mvua inaponyesha hali inakuwa mbaya zaidi na usafiri unakuwa wa tabu kwa Wananchi
Mdau anatoa wito kwa TARURA Mkoa kuchunguza Uwajibikaji wa Watendaji waliopo ili kubaini tatizo ni ukosefu wa Fedha katika bajeti ya Ujenzi na Matengenezo ya barabara au kuna Watu wanahujumu Miradi?
Soma https://jamii.app/TARURAMorogoro
#JamiiForums #Accountability #ServiceDelivery #JamiiAfrica #Uwajibikaji #HudumaZaKijamii

👍1
Mdau wa Jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko ndani ya JamiiForums.com akirejea hoja aliyotoa Mbunge Joseph Musukuma, Juni 11, 2025 Bungeni, ya kuwa Wenza wa Wabunge waruhusiwe kupita VIP katika Viwanja vya Ndege, ameanzisha Mjadala akisema anayetaka huduma za aina hiyo alipie
Amemnukuu mtumiaji wa mtandao wa X (Oscar) ambaye amesema "Watu wakiruhusiwa kupata huduma za VIP kwa kigezo cha ‘wenza’ ipo siku watataka Watoto na wajukuu wao wapate pia." Mdau anasema hayo ni matumizi mabaya ya kodi za Wananchi
Mdau, una maoni gani kuhusu hoja hii?
Mjadala https://jamii.app/WenzaWaWabungeVIP
#JamiiForums #JamiiAfrica #Uwajibikaji #Governance #KuelekeaUchaguzi2025

RUVUMA: Huu ndio muonekano wa Kituo kipya na cha kisasa cha Polisi cha Daraja B ambacho ujenzi wake umegharimu Tsh. Milioni 798 Wilayani Namtumbo, kilizinduliwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Ally Senga Gugu Juni 20, 2025, ambaye ametoa wito kwa Maafisa wa Ukaguzi na Askari wa Jeshi la Polisi kuendelea kuzingatia misingi na maadili ya jeshi hilo
Gugu amesema ndani ya Miaka minne iliyopita, Serikali imeboresha mazingira ya kazi kwa Askari Polisi, kwa kujenga na kukarabati Vituo vya Polisi nchini hatua inayolenga kuimarisha huduma za ulinzi kwa Wananchi
Soma https://jamii.app/KituoChaMilioni798
#JamiiForums #Miundombinu #Accountability #ServiceDelivery