Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza, kupitia Ukurasa wake wa Facebook amesema hakuna Kanisa linalotuma Mtu kuchochea, kutukana, kubaka, kuiba nk. na kama lipo, zipatikane kumbukumbu za kikao kilichoruhusu hayo
Amesema "Kama ni kweli: Eti Kanisa limefungwa au kufutiwa usajili. Kisa? Kiongozi wake kakosana na waliomsajili au kadaiwa kuhubiri kinyume na alivyotegemewa. Kama ni kweli; tujifanye kuuliza? Kanisa ni mali ya Mtu? Kama kakosea yeye, kwanini kanisa lifungwe? Yaani Mdomo utoe Matusi halafu Makalio ndiyo yachapwe kiboko?"
Ameongeza "Tulianza na uhuru wa Kukusanyika, tukaja Uhuru wa Kuishi, tukaingia Uhuru wa Maoni, hatimaye tutakuwa tumeingia Uhuru wa Kuabudu. Imebaki nini? Uhuru wa Kujinyonga? I hope ninaota siyo kweli. Ni Mitandao tu inazusha na kufanya Uchochezi."
Soma andiko hili zaidi kupitia https://jamii.app/BagonzaKanisaKufungwa
#JamiiForums #JamiiAfrica #Democracy #DemocracyNeedsFreedom #HumanRights #HakiZaBinadamu

❤2
DAR: Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima ameongoza Adhimisho la Misa Takatifu ya shukrani baada ya kutoka Hospitali alikokuwa anapatiwa matibabu kwa takribani Mwezi mmoja baada ya tukio la kushambuliwa na kujeruhiwa
Padri Kitima amesema “Tunamshukuru Mungu kwa wema wake, tunawashukuru Watu wote walioguswa na tukio lile. Tuombe ili Kanisa lizidi kuwa imara siku zote bila kutetereka. Mungu hatakaa kimya, atajibu sala zetu. Tuwe imara katika kazi zetu, tukumbuke kuwa hata Mitume walipata misukosuko. Tusirudi nyuma, tubaki katika imani thabiti."
Ameeleza "Tukumbuke kuwa Kanisa Katoliki ni Taasisi inayotegemewa na Watu wengi, ni sauti ya Watu wasio na sauti, ni msindikizaji wa wanyonge. Tuliombee Kanisa letu lizidi kuwa mwanga na matumaini ya Watanzania.”
Soma https://jamii.app/KitimaAtokaHospitali
#JamiiForums #JamiiAfrica #Democracy #HumanRights #HakiZaBinadamu

👍2👎1
Unampa Mdau mbinu gani ili aweze kurudiana na Mpenzi wake?
Shiriki Mjadala huu zaidi https://jamii.app/KutegeanaKurudiana
#JamiiForums #JamiiAfrica #Maisha #JFStories #JFChitChats

DAR: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Mamlaka kushughulikia kero ya mto uliopo Mtaa wa Mikocheni A, kuwa na taka ambazo zinahatarisha afya za wakazi wa eneo hilo
Soma https://jamii.app/PollutedRiverMikocheniA
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #Uwajibikaji #Mdau2025

❤1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
#BUNGENI: Mbunge wa Viti Maalumu, Thea Medard Ntara amesema Serikali inatakiwa kuelekeza nguvu kudhibiti matumizi ya Dawa za P2, akidai zimekuwa na athari kubwa katika kizazi cha Wanaotumia, ikiwemo kupata Saratani ya Uzazi, Ujauzito kutoka na kutokwa na damu nyingi au kidogo
Soma https://jamii.app/P2ZinatumikaVibaya
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #Uwajibikaji

KAGERA: Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi imetoa Taarifa ya kufuatilia madai kuwa baadhi ya Walimu wa Shule za Msingi zilizopo Tarafa ya Kiziba, Wilayani Missenyi, wamekuwa na utaratibu wa kuagiza Wanafunzi Vyuma Chakavu ambavyo vimekuwa vikiuzwa kwa ajili ya manufaa yao binafsi.
Taarifa hiyo imesema Uongozi umeanza ufuatiliaji ili kubaini kama taarifa hiyo ina ukweli wowote ama la, na endapo itabainika kinachozungumzwa kina ukweli hatua kali za Kinidhamu zitachukuliwa dhidi ya Walimu hao.
Taarifa hiyo imekuja baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuwasilisha Dokezo akidai baadhi ya Walimu wa Shule za Msingi zilizopo Wilayani Missenyi, wamekuwa na utaratibu Mwanafunzi akifeli somo au kufanya kosa, anapewa adhabu ya kuleta Vyuma Chakavu.
Soma zaidi https://jamii.app/MKGZMissenyiWalimuVyuma
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #JamiiAfrica

DODOMA: Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha, Dkt. Godwin Mollel akichangia kwenye wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya, amesema kuna Wana-CCM wenzao ambao wameanza kuugua Kifafa kwa kuwageuka
Soma https://jamii.app/MollelUshetani
#JamiiForums #JamiiAfrica #Siasa #Bungeni

😁2❤1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Akizungumza #Bungeni, leo Juni 3, 2025, Mbunge wa Jimbo la Bunda, Boniface Mwita Getere amesema "Bima ya Afya kwa Wabunge inaupendeleo sana, ile ya Serikali inaisha mwezi wa 11, sisi hapa inaisha Mwezi wa 7, yaani we Mbunge upo kwenye harakati za kugombea, Bima ya Afya imeisha, ukiugua unafia hapo. Bima ya Afya kwa Wabunge na yenyewe iende hadi Mwezi wa 11."
Soma https://jamii.app/BimaIongezweMudaWabunge
#JamiiForums #JamiiAfrica #Governance #ServiceDelivery

Siku ya Baiskeli Duniani huadhimishwa kila Mwaka Juni 3 na ilianzishwa rasmi na Umoja wa Mataifa (UN) Mwaka 2018, kwa kutambua umuhimu wa Baiskeli kama chombo cha Usafiri, Burudani na #Afya
Siku hii inaenzi Baiskeli kama njia rafiki kwa Mazingira kwasababu haizalishi Hewa chafu na hupunguza Msongamano wa foleni za Magari
Inasisitiza Afya na Maisha bora kwani kuendesha Baiskeli husaidia kudhibiti uzito, kupunguza hatari ya Magonjwa ya Moyo na Kisukari. Pia, ni njia ya Usafiri inayopatikana kwa Watu wengi kwa gharama ndogo na inafika hata maeneo ya Vijijini.
Vipi Mdau, Baiskeli yako ya kwanza uliimiliki ukiwa na Umri gani?
Soma https://jamii.app/WorldBicycleDay2025
#JamiiForums #JamiiAfrica #WorldBicycleDay2025 #PublicHealth

Kiongozi ambaye hapokei maoni, malalamiko au ushauri kutoka kwa Watu wake, hujenga Mazingira ya Hofu au Kukata tamaa
Wanaomzunguka huamua kunyamaza, sio kwasababu hawana la kusema, bali kwasababu wamejifunza kuwa haifai kusema
#GoodMorning #AmkaNaJF #JamiiForums #JamiiAfrica #HumanRights #Democracy

Jana Juni 3, 2025, Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kilionekana kikirusha matangazo ya uzinduzi wa Mkutano wake wa C4C Jijini #Mwanza kupitia akaunti ya Youtube ya CHADEMA, ikiwa ni baada ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, ambaye sasa ni Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano CHAUMMA, John Mrema kukana madai ya kuondoka na akaunti za mtandao wa Youtube na X za CHADEMA
Soma https://jamii.app/YoutubeChademaChaumma
#JamiiForums #JamiiAfrica #Governance #KuelekeaUchaguzi2025

Mshiriki wa Stories of Change 2024 anasema Uongozi Shirikishi ni Uongozi utakaomfanya Mwananchi wa kawaida kuamini na kujua kuwa yeye ni sehemu ya Maamuzi yanayofanyika kwaajili ya Maendeleo ya eneo lake
Anasema Ushirikishwaji wa Wananchi kupitia kupata taarifa sahihi, kutasababisha Watu wengi kushiriki katika shughuli za Kisiasa, ikiwemo kuchagua Viongozi bora wenye Uwezo wa kuwawakilisha vizuri
Soma zaidi Andiko hili https://jamii.app/TaarifaWananchiSOC24
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #Uwajibikaji #Democracy #SOC2024