Asha Abinallah (TMC): Tujiulize, ni nani anatafsiri maana ya ‘upotoshaji wa taarifa’? Hii ni hoja nyeti sana tunapozungumzia uadilifu wa taarifa wakati wa Uchaguzi
Kwasababu hata kama tutafafanua kwa Jamii nini maana ya 'disinformation', bado changamoto inaweza kubaki kwa sababu ya tafsiri tofauti, hasa pale ambapo maslahi ya Kisiasa yanahusika. Kile ambacho mtu mmoja anaona kama upotoshaji, mwingine anaweza kuona kama ‘msimamo wa Kisiasa’ au ‘uhuru wa kutoa maoni’
Hivyo, tunahitaji si tu kufafanua maana ya disinformation, bali pia kuwa na muktadha wa pamoja kuhusu nani anayepewa mamlaka ya kuamua, na kwa kutumia vigezo gani.
#JamiiAfrica #AfIGF2025 #UadilifuWaTaarifa #MaendeleoYaKidijitali #HakiZaKidijitali #UsalamaMtandaoni #UpotoshajiWaTaarifa #UtawalaWaMtandao #Uwajibikaji #DigitalRights

❤2
Innocent Mangu kutoka JamiiAfrica amesema Mwaka 2024 JamiiAfrica kupitia Jukwaa la JamiiCheck wamewajengea uwezo Wanahabari zaidi ya 300 kuhusu masuala mbalimbali ya Ulinzi wa Kidigitali na Uthibitishaji wa Taarifa, aidha amesema JamiiAfrica ina ushirikiano na taasisi mbalimbali za Serikali, CSO's, Redio pamoja na washirika wenye maono yanayofanana
Kufuatilia bofya https://jamii.app/AfIGF2025Day1
#JamiiAfrica #AfIGF2025 #UadilifuWaTaarifa #MaendeleoYaKidijitali #HakiZaKidijitali #UsalamaMtandaoni #UpotoshajiWaTaarifa #UtawalaWaMtandao #Uwajibikaji #DigitalRights
Kufuatilia bofya https://jamii.app/AfIGF2025Day1
#JamiiAfrica #AfIGF2025 #UadilifuWaTaarifa #MaendeleoYaKidijitali #HakiZaKidijitali #UsalamaMtandaoni #UpotoshajiWaTaarifa #UtawalaWaMtandao #Uwajibikaji #DigitalRights
Innocent Mangu kutoka JamiiAfrica amesema kupitia Jukwaa lao la Uhakiki wa taarifa la #JamiiCheck, wamejipanga kuhakikisha wanashirikiana na Wananchi ili wapate taarifa sahihi muda wote, zitakazowawezesha kufanya maamuzi sahihi kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025
Amesema hili lilifanyika vema kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mwaka 2024 ambapo mada 81 zilifanyiwa Uhakiki
Kufuatilia bofya https://jamii.app/AfIGF2025Day1
#JamiiAfrica #AfIGF2025 #UadilifuWaTaarifa #MaendeleoYaKidijitali #HakiZaKidijitali #UsalamaMtandaoni #UpotoshajiWaTaarifa #UtawalaWaMtandao #Uwajibikaji #DigitalRights
Amesema hili lilifanyika vema kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mwaka 2024 ambapo mada 81 zilifanyiwa Uhakiki
Kufuatilia bofya https://jamii.app/AfIGF2025Day1
#JamiiAfrica #AfIGF2025 #UadilifuWaTaarifa #MaendeleoYaKidijitali #HakiZaKidijitali #UsalamaMtandaoni #UpotoshajiWaTaarifa #UtawalaWaMtandao #Uwajibikaji #DigitalRights
Nancy Angulo kutoka UNESCO amesema ni muhimu kuzingatia aina ya maudhui tunayozalisha kwasababu kwa kiasi kikubwa AI huakisi kile inachofundishwa. Kwa hiyo, mitazamo ya watayarishaji wa maudhui ndio inayoakisiwa na AI katika kazi zake
Amesema kama wanahabari, watumiaji na watayarishaji wa maudhui, wanatakiwa kujiuliza kama wanachoweka mtandaoni kinaakisi Usawa wa Kijinsia au kimejaa Ubaguzi
Kufuatilia bofya https://jamii.app/AfIGF2025Day1
#JamiiAfrica #AfIGF2025 #UadilifuWaTaarifa #MaendeleoYaKidijitali #HakiZaKidijitali #UsalamaMtandaoni #UpotoshajiWaTaarifa #UtawalaWaMtandao #Uwajibikaji #DigitalRights
Amesema kama wanahabari, watumiaji na watayarishaji wa maudhui, wanatakiwa kujiuliza kama wanachoweka mtandaoni kinaakisi Usawa wa Kijinsia au kimejaa Ubaguzi
Kufuatilia bofya https://jamii.app/AfIGF2025Day1
#JamiiAfrica #AfIGF2025 #UadilifuWaTaarifa #MaendeleoYaKidijitali #HakiZaKidijitali #UsalamaMtandaoni #UpotoshajiWaTaarifa #UtawalaWaMtandao #Uwajibikaji #DigitalRights
Nancy Angulo kutoka UNESCO amesema mjadala wa Ukatili wa Mtandaoni unatakiwa kuwa wa Wote, na si kwa wale tu wenye sauti kubwa. Akisema kuwa mara nyingi ni watu wale wale wachache ndio huzungumzia suala hilo kila mahali
Ameongeza kuwa, msukumo wa ajenda hii unahitajika hadi ngazi za jamii (grassroots) ili watu wa kawaida waelewe: "Huu ni ukatili wa Mtandaoni, na ninahitaji kutumia Majukwaa ya Mtandaoni kwa Uwajibikaji, ili nisiuumize mtu mwingine"
Mtu anaposhika kifaa cha Kidijitali, anapaswa kufahamu kuwa anawajibika kutengeneza nafasi Salama Mtandaoni, si kwa ajili yetu tu, bali kwa wengine pia
Kufuatilia bofya https://jamii.app/AfIGF2025Day1
#JamiiAfrica #AfIGF2025 #UadilifuWaTaarifa #MaendeleoYaKidijitali #HakiZaKidijitali #UsalamaMtandaoni #UpotoshajiWaTaarifa #UtawalaWaMtandao #Uwajibikaji #DigitalRights
Ameongeza kuwa, msukumo wa ajenda hii unahitajika hadi ngazi za jamii (grassroots) ili watu wa kawaida waelewe: "Huu ni ukatili wa Mtandaoni, na ninahitaji kutumia Majukwaa ya Mtandaoni kwa Uwajibikaji, ili nisiuumize mtu mwingine"
Mtu anaposhika kifaa cha Kidijitali, anapaswa kufahamu kuwa anawajibika kutengeneza nafasi Salama Mtandaoni, si kwa ajili yetu tu, bali kwa wengine pia
Kufuatilia bofya https://jamii.app/AfIGF2025Day1
#JamiiAfrica #AfIGF2025 #UadilifuWaTaarifa #MaendeleoYaKidijitali #HakiZaKidijitali #UsalamaMtandaoni #UpotoshajiWaTaarifa #UtawalaWaMtandao #Uwajibikaji #DigitalRights
❤1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Kada mkongwe wa #CCM na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka amenukuliwa akisema "Mimi ningekuwa ni Wakili ningekiomba chama changu kwenda kumsaidia, #TunduLissu ashinde kesi, namtamani sana angekuja kugombea na Rais Samia Suluhu kwa sababu sio tishio kwa namna yoyote ile."
Amesema hayo Mei 29, 2025 wakati alipokiwa nje ya Ukumbi akishiriki kwenye Mkutano wa Chama chake
Soma https://jamii.app/OleSendekaLissu
#Siasa #JamiiForums #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025 #Democracy

Mei 29, 2025, JamiiAfrica katika Mkutano Mkuu wa 14 wa Jukwaa la Afrika la Utawala wa Mtandao (AfIGF), JamiiAfrica ilishiriki Mjadala maalum wa Vijana, uliohusu kuwawezesha Vijana Kukuza Mustakabali wa Kidigitali Afrika
Mada kuu ililenga kuhimiza ubunifu unaoongozwa na Vijana, kukuza ujuzi wa Kidigitali na kutetea Sera jumuishi zinazoendana na Dira ya Umoja wa Afrika
Wadau walijadili jinsi Sera za Kidigitali za Afrika zinazingatia Usawa, Maadili, na changamoto mpya zinazojitokeza
#JamiiAfrica #AfIGF2025 #YouthIGF #DigitalAfrica #YouthInTech #AfricaConnected #DigitalInclusion #VijanaNaTeknolojia

Leo Mei 30, 2025 ni Siku ya pili ya Mkutano wa Afrika wa Utawala wa Mtandao, ambapo JamiiAfrica itashiriki kwenye Mjadala utakaoangazia namna ya Kuitumia Akili Mnemba (AI) kwa Maendeleo na Ustawi wa Afrika
Mjadala huu unatarajiwa kuwa na mwelekeo wa utekelezaji, ukizingatia changamoto na fursa za kipekee kwa Afrika katika Mazingira ya Kimataifa ya AI
Wadau wataangazia namna ambavyo Nchi za Afrika zinaweza kuunda Mifumo ya AI kwa kuzingatia muktadha wa ndani, ili kuhakikisha hazibaki kuwa watumiaji wa AI pekee, bali zinakuwa wabunifu.
Soma https://jamii.app/AfIGF2025Day2
#JamiiAfrica #AfIGF2025 #UadilifuWaTaarifa #MaendeleoYaKidijitali #HakiZaKidijitali #UsalamaMtandaoni #UpotoshajiWaTaarifa #UtawalaWaMtandao #Uwajibikaji #DigitalRights
Mjadala huu unatarajiwa kuwa na mwelekeo wa utekelezaji, ukizingatia changamoto na fursa za kipekee kwa Afrika katika Mazingira ya Kimataifa ya AI
Wadau wataangazia namna ambavyo Nchi za Afrika zinaweza kuunda Mifumo ya AI kwa kuzingatia muktadha wa ndani, ili kuhakikisha hazibaki kuwa watumiaji wa AI pekee, bali zinakuwa wabunifu.
Soma https://jamii.app/AfIGF2025Day2
#JamiiAfrica #AfIGF2025 #UadilifuWaTaarifa #MaendeleoYaKidijitali #HakiZaKidijitali #UsalamaMtandaoni #UpotoshajiWaTaarifa #UtawalaWaMtandao #Uwajibikaji #DigitalRights
😈1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
SIASA: Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jacob amesema Vijana wa Chama hicho wanajivunia Utumishi wa aliyekuwa Mwenyekiti Taifa, Freeman #Mbowe, na kumtaka kutokaa pembeni kwani bado wanamhitaji
Amesema hayo akihutubia Wilayani Hai, Kilimanjaro Mei 29, 2025.
Soma https://jamii.app/MboweAsikaePembeni
#JamiiForums #JamiiAfrica #Governance #KuelekeaUchaguzi2025

JamiiAfrica inafurahia kuwa sehemu ya Mkutano wa 14 wa Utawala wa Intaneti Afrika (AfIGF), unaofanyika kuanzia Mei 29 - 31, 2025 katika Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam!
Tembelea Banda letu la Maonesho ujumuike nasi, ujifunze zaidi kuhusu kazi tunazofanya, na uchangie Mawazo ya kibunifu juu ya mustakabali wa Kidigitali unaowawezesha Vijana Barani Afrika.
Kama Wewe ni Mdau wa Teknolojia, una hamu ya kujifunza au unatafuta njia za kushiriki na kuleta mabadiliko tungependa sana kukutana nawe!
Zaidi https://jamii.app/AfIGF2025Day2
#JamiiAfrica #AfIGF2025 #UadilifuWaTaarifa #MaendeleoYaKidijitali #UsalamaWaMtandao #HakiZaKidijitali #UchaguziTZ #UpotoshajiTaarifa #UtawalaWaMtandao #UaminifuNaUwajibikaji #Tanzania2025

KENYA: Ripoti ya Utafiti wa “Trends and Insights for Africa (TIFA)” umeonesha ongezeko la ugumu wa Maisha, hali ambayo Wakenya wengi wanapitia tangu Rais William Ruto aingie madarakani Mwaka 2023
Ripoti hiyo imeonesha 75% ya waliohojiwa wamesema hali yao ya Kiuchumi ni mbaya zaidi sasa kuliko ilivyokuwa Miaka mitatu iliyopita , kabla ya Uchaguzi wa mwisho, wakati 10% pekee wamesema hali imeboreshwa, huku ikionesha maeneo yaliyoathirika zaidi ni Ukanda wa Mashariki na Nyanza (82%), yakifuatiwa na Nairobi na Mlima Kenya (79%)
Aidha, sababu kuu zilizotajwa kuwa chanzo cha hali hiyo ni Ufisadi, Uongozi duni, Ukabila, Migawanyiko ya Kikabila pamoja na gharama kubwa ya Maisha
Soma https://jamii.app/KenyaMaishaMagumu
#JamiiAfrica #JamiiForums #Governance #Accountability

Mkuu wa Sekretarieti ya IGF, Chengetai Masango amesema Mikutano kama hii inatusaidia kukuza ubunifu, kulinda Haki za Binadamu Mtandaoni na kutumia Teknolojia kufikia malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa na Ajenda ya Umoja wa Afrika ya 2030
Ameeleza kuwa, Nguvu ya mawazo ipo katika ushirikishwaji wa Wadau mbalimbali, ambapo Wawakilishi kutoka Serikalini, Vijana, Wabunge, Asasi za Kiraia, Taasisi za Elimu ya Juu na Sekta ya Mtandao wamekusanyika kwenye Jukwaa la 14 la Utawala wa Mtandao Afrika, kuonesha juhudi muhimu zinazohitajika kujenga mustakabali endelevu unaoakisi Matarajio ya Afrika yote
Ameongeza "Tunaweza kuhakikisha Mtandao wa Intaneti unabaki kuwa Rasilimali ya Kimataifa inayosimamiwa kwa manufaa ya Umma na kwamba Afrika inachangia katika kuunda mustakabali wetu wa Kidigitali wa pamoja"
https://jamii.app/AfIGF2025Day2
#JamiiAfrica #AfIGF2025 #UadilifuWaTaarifa #MaendeleoYaKidijitali #HakiZaKidijitali #UsalamaMtandaoni #UpotoshajiWaTaarifa #UtawalaWaMtandao #Uwajibikaji #DigitalRights
Ameeleza kuwa, Nguvu ya mawazo ipo katika ushirikishwaji wa Wadau mbalimbali, ambapo Wawakilishi kutoka Serikalini, Vijana, Wabunge, Asasi za Kiraia, Taasisi za Elimu ya Juu na Sekta ya Mtandao wamekusanyika kwenye Jukwaa la 14 la Utawala wa Mtandao Afrika, kuonesha juhudi muhimu zinazohitajika kujenga mustakabali endelevu unaoakisi Matarajio ya Afrika yote
Ameongeza "Tunaweza kuhakikisha Mtandao wa Intaneti unabaki kuwa Rasilimali ya Kimataifa inayosimamiwa kwa manufaa ya Umma na kwamba Afrika inachangia katika kuunda mustakabali wetu wa Kidigitali wa pamoja"
https://jamii.app/AfIGF2025Day2
#JamiiAfrica #AfIGF2025 #UadilifuWaTaarifa #MaendeleoYaKidijitali #HakiZaKidijitali #UsalamaMtandaoni #UpotoshajiWaTaarifa #UtawalaWaMtandao #Uwajibikaji #DigitalRights
Waziri wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa ametembelea banda la JamiiAfrica lililopo ukumbi wa JNICC, katika Mkutano wa 14 wa Utawala wa Intaneti Afrika (AfIGF), unaofanyika kuanzia Mei 29 - 31, 2025
Waziri amepata nafasi ya kuelezwa mambo mengi ikiwemo kuhusu Taasisi ya JamiiAfrica pamoja na Majukwaa mbalimbali yanayopatikana ndani ya JamiiForums.com
Mdau pia una nafasi ya kutembelea Banda letu ujifunze zaidi kuhusu kazi za JamiiAfrica na kuchangia Mawazo ya kibunifu, juu ya mustakabali wa Kidigitali unaowawezesha Vijana Barani Afrika