Akizungumza katika mjadala wa “‘Reforms’ za Uchaguzi; Je, Tume, Vyama na Wananchi wanaongea lugha moja?” Traveller (Mdau) amesema “Tume Huru ya Uchaguzi inajiita ipo huru lakini Vyama na Wananchi hawaoni huo uhuru wenyewe, hali hiyo inakera na inaweza kufanya Mtu au Watu waone hawapo sehemu sahihi”
Pia, amesema “Tuna ulazima wa kufanya Mabadiliko ya kweli, Nchi Mabadiliko Wasomi wengi ambao wanaweza kushiriki katika kuiwezesha Nchi kuzungumza Lugha moja”
#ReformsSpace #Uchaguzi2025 #Demokrasia #Uwajibikaji #FreeAndFairElections #Kuelekea2025

👍2
Akichangia mada katika mjadala wa “‘Reforms’ za Uchaguzi; Je, Tume, Vyama na Wananchi wanaongea lugha moja?” Michael Enock (Mdau) amesema “Uchaguzi Mkuu wa 2010 na 2015 kuna Vyama vya Upinzani vilifanikiwa kuingia kwa wingi Bungeni, tunatakiwa kujiuliza kwa hali hiyo tatizo ni Kanuni au Vyama?”
Ameshauri “Tunaweza kusubiri Mwakani kwa ajili ya mabadiliko yanayozungumzwa, Nchi haiongozwi na Watu wachache, hatutengenezi 'Reforms' (Mabadiliko) kwa kuangalia Vyama vya Upinzani au Chama Tawala, tunafanya hivyo kwa ajili ya Watanzania wote”
Ameongeza kwa kusema “Sipingi 'Reforms' za Uchaguzi kufanyika ndani ya Miezi minne lakini hii Nchi ni kubwa sana, tunaenda kugusa vitu vya muhimu sana, haiwezekani tukakurupuka na kufanya maamuzi kwa faida ya Watu wachache, Mabadiliko yanahitaji muda”
#ReformsSpace #Uchaguzi2025 #Demokrasia #Uwajibikaji #FreeAndFairElections #Kuelekea2025
Ameshauri “Tunaweza kusubiri Mwakani kwa ajili ya mabadiliko yanayozungumzwa, Nchi haiongozwi na Watu wachache, hatutengenezi 'Reforms' (Mabadiliko) kwa kuangalia Vyama vya Upinzani au Chama Tawala, tunafanya hivyo kwa ajili ya Watanzania wote”
Ameongeza kwa kusema “Sipingi 'Reforms' za Uchaguzi kufanyika ndani ya Miezi minne lakini hii Nchi ni kubwa sana, tunaenda kugusa vitu vya muhimu sana, haiwezekani tukakurupuka na kufanya maamuzi kwa faida ya Watu wachache, Mabadiliko yanahitaji muda”
#ReformsSpace #Uchaguzi2025 #Demokrasia #Uwajibikaji #FreeAndFairElections #Kuelekea2025
Akichangia mada katika mjadala wa "Reforms’ za Uchaguzi; Je, Tume, Vyama na Wananchi wanaongea Lugha moja?” Mdau, Belva 0.0 amesema “Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Mwaka 2024 umeonesha jinsi ambavyo mambo hayakuwa ‘fair’, hali hiyo ni kama imewakatisha tamaa Wananchi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuamini yatakuwa yaleyale”
Ameongeza kuwa “Kuna namna nyingi za kufanya mgomo, mfano mimi sitapiga Kura katika Uchaguzi wa 2025, ikiwa kuna wengi kama mimi ambao hawatapiga kura, Viongozi watakaochaguliwa wataona wazi wameshinda nafasi lakini wao sio chaguo la Wananchi’
#ReformsSpace #Uchaguzi2025 #Demokrasia #Uwajibikaji #FreeAndFairElections #Kuelekea2025
Ameongeza kuwa “Kuna namna nyingi za kufanya mgomo, mfano mimi sitapiga Kura katika Uchaguzi wa 2025, ikiwa kuna wengi kama mimi ambao hawatapiga kura, Viongozi watakaochaguliwa wataona wazi wameshinda nafasi lakini wao sio chaguo la Wananchi’
#ReformsSpace #Uchaguzi2025 #Demokrasia #Uwajibikaji #FreeAndFairElections #Kuelekea2025
Akizungumza katika mjadala wa “‘Reforms’ za Uchaguzi; Je, Tume, Vyama na Wananchi wanaongea lugha moja?” Tuwa (Mdau) amesema “Inavyoonekana Mtaani Wananchi hawaelewi Mabadiliko ambayo Serikali imesema imeyafanya, kama wamefanya basi wamekusanyika wao na kusema tumefanya hiki na hiki ambacho Wananchi hawakioni”
Ameongeza kwa kusema “Ilivyo sasa Mpiga Kura anaenda kupiga Kura lakini anakuwa na mashaka kuwa Kura yake itakuwa na mabadiliko yoyote katika Uchaguzi? Hiyo inasababisha Wananchi tutamani kuona Kura inakuwa na thamani kama inavyotakiwa”
#ReformsSpace #Uchaguzi2025 #Demokrasia #Uwajibikaji #FreeAndFairElections #Kuelekea2025
Ameongeza kwa kusema “Ilivyo sasa Mpiga Kura anaenda kupiga Kura lakini anakuwa na mashaka kuwa Kura yake itakuwa na mabadiliko yoyote katika Uchaguzi? Hiyo inasababisha Wananchi tutamani kuona Kura inakuwa na thamani kama inavyotakiwa”
#ReformsSpace #Uchaguzi2025 #Demokrasia #Uwajibikaji #FreeAndFairElections #Kuelekea2025
Akizungumza katika mjadala, Mdau Caejay amesema “Moja ya athari za Mifumo ya Uchaguzi ni kuona Bunge linavyoendeshwa, limekuwa likijadili mambo ya Kisiasa na hakuna nguvu ya Wananchi”
Amesema kuwa “Ujio wa uhitaji wa Mabadiliko ya Mifumo ya Uchaguzi unawafungua Wananchi kuwa kile walichokuwa wakikifanya wakati wa Uchaguzi kwa kupanga foleni ni kama maigizo”
Ameongeza “Wagombea fulani katika Uchaguzi wanaweza kushinda kwa huruma ya walioshika Madaraka na sio kwa Kura halali zilizopigwa”
#ReformsSpace #Uchaguzi2025 #Demokrasia #Uwajibikaji #FreeAndFairElections #Kuelekea2025
Amesema kuwa “Ujio wa uhitaji wa Mabadiliko ya Mifumo ya Uchaguzi unawafungua Wananchi kuwa kile walichokuwa wakikifanya wakati wa Uchaguzi kwa kupanga foleni ni kama maigizo”
Ameongeza “Wagombea fulani katika Uchaguzi wanaweza kushinda kwa huruma ya walioshika Madaraka na sio kwa Kura halali zilizopigwa”
#ReformsSpace #Uchaguzi2025 #Demokrasia #Uwajibikaji #FreeAndFairElections #Kuelekea2025
Akichangia katika mjadala wa 'Reforms’ za Uchaguzi; Je, Tume, Vyama na Wananchi wanaongea Lugha moja?” Shiij.M (Mdau) amesema alipata nafasi ya kushiriki Uchaguzi wa Mwaka 2020 na 2024 na alishuhudia Wizi wa kura pamoja na Mazingira ambayo yalionekana kukibeba Chama kimoja kutoka kwa Wakala aliyemkuta Kituoni
Amesema “Kama hakutakuwa na Mabadiliko ya Mifumo ya Uchaguzi inavyoonekana Mwaka 2025 tunaweza kuwa na Uchaguzi wa ovyo zaidi”
#ReformsSpace #Uchaguzi2025 #Demokrasia #Uwajibikaji #FreeAndFairElections #Kuelekea2025
Amesema “Kama hakutakuwa na Mabadiliko ya Mifumo ya Uchaguzi inavyoonekana Mwaka 2025 tunaweza kuwa na Uchaguzi wa ovyo zaidi”
#ReformsSpace #Uchaguzi2025 #Demokrasia #Uwajibikaji #FreeAndFairElections #Kuelekea2025
Mtumiaji wa Jukwaa la JamiiForums.com amelalamikia kero ya Wananchi wa Pangani kutumia usafiri wa "Faiba" baada ya Kivuko kuharibika, akitoa wito kwa Serikali kutatua kero hiyo kwani bahari ikiwa na mawimbi makubwa usafiri huo unakuwa si salama
Aidha, amedai Watu na Vyombo vya Moto kupita katika Daraja la Muda wakati halijakamilika kunachangia kurudisha nyuma mchakato wa ujenzi unaoendelea. Ameshauri Serikali ishughulikie mchakato wa Ujenzi ukamilike, badala ya hali ilivyo sasa ambapo mambo yanaenda na kusimama mara kwa mara
Zaidi https://jamii.app/KivukoKuharibikaTena
#JamiiForums #JamiiAfrica #ServiceDelivery #HudumaZaKijamii #Accountability #Uwajibikaji

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo akisimulia mkasa wa Madereva wa Tanzania walivyokwama kuendesha magari walipopelekwa Qatar licha ya kuwa ni wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)
Balozi Kombo alisema hayo Mei 7, 2025 alipokutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari
Soma https://jamii.app/Madereva75
Video Credits: Wapo Media
#JamiiForums #Governance #Transparency

😁1
Mtumiaji wa JamiiForums.com ameanzisha Mjadala akiangazia tatizo la Watu wengi hasa Vijana kutokuwa Waaminifu pale wanapoajiriwa katika Biashara, kwa kuiba hadi wakati mwingine kuzifilisi
Anasema tukumbuke kuna kesho na kamwe hauwezi kuyamaliza matatizo kwa Siku moja. Ameshauri tulinde na kuziheshimu sehemu zetu za kazi maana ndio zinazotupatia kesho yetu
Mdau, umewahi kupigwa tukio na Mtu uliyemweka kwenye #Biashara yako? Ilikuwaje?
Mjadala https://jamii.app/AjiraVsUaminifu
#JamiiForums #JamiiAfrica #ServiceDelivery #Maisha

KENYA: Rais William Ruto amesema Wakenya wote waliokuwa wametoweka katika Mazingira ya kutatanisha wamepatikana wakiwa salama na kurejeshwa kwa Familia zao, akisisitiza Serikali yake imejipanga kikamilifu kuzuia visa vya Utekaji au kutoweka kwa Watu kwa njia zisizoeleweka
Kauli hiyo ameitoa wakati wa Mkutano na Waandishi wa Habari akiwa na Rais wa Finland, Alexander Stubb, anayefanya ziara rasmi ya Siku tatu Nchini Kenya.
Soma zaidi https://jamii.app/RutoUtekajiKE
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #HumanRights #EndAbductions #Uwajibikaji

❤2
DAR: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (#CHADEMA) kimetoa taarifa kuwa Naibu Katibu Mkuu-Bara, Amani Golugwa amekamatwa na Jeshi la Polisi usiku wa leo Mei 13, 2025 wakati akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Taarifa imeeleza kuwa Amani alikuwa asafiri kuelekea Ubeljiji kuwakilisha chama katika Mkutano wa International Democracy Union (IDU) unaotarajiwa kuanza Mei 14, 2025
CHADEMA imeongeza “Tumezungumza na Shirika la Ndege la Turkish Airlines ambalo alikuwa asafiri nalo, wametujuza hajafanikiwa kusafari, pia aliyetutaarifu ameeleza Amani amepigwa sana na Jeshi hilo na simu zake zote hazipatikani.”
Muda mfupi uliopita Akaunti ya CHADEMA imeripoti "Tumetaarifiwa kuwa Amani Golugwa yupo Kituo cha Polisi Kati Dar es Salaam."
Soma https://jamii.app/AmaniGolugwa
#JFMatukio #JamiiForums #Democracy #JamiiAfrica

🤔2👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Kichama Ilala, Nice Gisunte amedai kuna mpango wa siri kwa wenzao waliojiondoa CHADEMA kufadhiliwa kwa kupewa Tsh. Milioni 100 hadi 200 kwa kila mtiania. Amesema hayo leo Mei 13, 2025 alipokuwa anazungumza na Wanahabari
Soma https://jamii.app/BAWACHATamko
#JamiiForums #Democracy #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025 #Siasa

DAR: Jeshi la Polisi Kanda Maalum limekiri kumshikilia Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA-Bara, Amani Golugwa aliyekuwa akijiandaa kuelekea Brussels, Ubelgiji kwa maelezo kuwa kuna taarifa za siri wamezipata amekuwa na mienendo ya kuondoka na kurudi Nchini bila kufuata taratibu za kisheria hapa Nchini
Taarifa ya Polisi imeeleza kuwa uchunguzi wa kina wa taarifa hizo unaendelea kwa kushirikiana na Vyombo vingine vya Usalama na kutoa wito kwa Wananchi kupuuza taarifa za upotoshaji kuhusu hatua za Kisheria zinazochukuliwa
Awali, #CHADEMA ilitoa taarifa kuwa Golugwa amekamatwa na Polisi akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na kudai wamejulishwa kuwa amepigwa wakati wa mchakato wa kumkamata
Soma https://jamii.app/PolisiNaGolugwa
#JamiiForums #Democracy #Siasa #Kuelekea2025

👎1