Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (#CHADEMA) Zanzibar, Salum Mwalimu amesema uamuzi wa yeye na wenzake kadhaa waliokuwa Wajumbe wa Sekretarieti ya Chama Taifa kutangaza kujitoa katika chama hicho mwelekeo wao hautakuwa kujiunga na Chama cha Mapinduzi (#CCM) kama inavyotafsiriwa na wengi
Soma https://jamii.app/G55Mei7
#JamiiForums #Siasa #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025
Soma https://jamii.app/G55Mei7
#JamiiForums #Siasa #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025
π1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Salum Mwalimu anasema #CHADEMA kimepoteza dira na nguvu ya ushawishi
Salum ambaye alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Zanzibar, anasisitiza chama hicho kinaendeshwa kwa matamko na sio vikao halali na kuwa wenye mawazo mbadala wanapingwa
Soma https://jamii.app/G55Mei7
#JamiiForums #Siasa #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025
Salum ambaye alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Zanzibar, anasisitiza chama hicho kinaendeshwa kwa matamko na sio vikao halali na kuwa wenye mawazo mbadala wanapingwa
Soma https://jamii.app/G55Mei7
#JamiiForums #Siasa #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025
π1π1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Baada ya waliokuwa Wajumbe wa Sekretarieti ya Chama Taifa ya CHADEMA kutangaza kujiondoa katika chama hicho mbele ya Waandishi wa Habari, hawakuruhusu maswali kutoka kwa Wanahabari hao kwa maelezo kuwa wawape mwaliko katika Vyombo vyao vya Habari watajibu hoja zao
Maelezo hayo yametolewa na aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama hicho, John Mrema
Soma https://jamii.app/G55Mei7
#JamiiForums #Siasa #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025
Maelezo hayo yametolewa na aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama hicho, John Mrema
Soma https://jamii.app/G55Mei7
#JamiiForums #Siasa #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025
π6π1
#MALEZI: Mdau wa JamiiForums.com anasema Watoto wengi ambao walijuana na Wazazi wao ukubwani/kulelewa na Mzazi mmoja huwa na maswali mengi ambayo wengi hawayaulizi, huku Wazazi nao wakiwa na maelezo mengi sana ya nini kilitokea, lakini hawajui waanzie wapi kuwaeleza Watoto
Soma zaidi Mjadala huu https://jamii.app/WazaziMsamahaWatoto
#JamiiForums #JamiiAfrica #Maisha #JFStories #JFChitChats #LifeLessons
Soma zaidi Mjadala huu https://jamii.app/WazaziMsamahaWatoto
#JamiiForums #JamiiAfrica #Maisha #JFStories #JFChitChats #LifeLessons
Mdau, unajuaje kama hiyo 'style' ya kunyoa inakupendeza? Huwa unaambiwa na Watu au unajiona mwenyewe kwenye kioo au ulimwambia Kinyozi akuchagulie?
Tembelea Mjadala huu zaidi https://jamii.app/StyleKunyoaMe
#JamiiForums #JamiiAfrica #Lifestyle #Utanashati #JFStories #JFChitChats
Tembelea Mjadala huu zaidi https://jamii.app/StyleKunyoaMe
#JamiiForums #JamiiAfrica #Lifestyle #Utanashati #JFStories #JFChitChats
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Rais Samia Suluhu ametangaza kifo cha Makamu wa Rais wa Kwanza na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya ambaye amefariki leo Mei 7, 2025 alipokuwa akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Mzena
Soma https://jamii.app/RIPCleopMasuya
#JFMatukio #JamiiForums #Governance
Soma https://jamii.app/RIPCleopMasuya
#JFMatukio #JamiiForums #Governance
π’3
ZANZIBAR: Mdau wa JamiiForums.com kutokea Pemba anasema kuna changamoto ya kukosekana Gari la Majitaka kwenye Mitaa yao, huku akidai kipindi hiki cha mvua, kama jitihada hazitafanyika inawezekana athari zikawa kubwa ikiwemo Majitaka kuanza kusambaa Mtaani
Soma https://jamii.app/PembaGariMajitaka
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #Uwajibikaji #PublicHealth #Afya
Soma https://jamii.app/PembaGariMajitaka
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #Uwajibikaji #PublicHealth #Afya
π₯΄1
SIMIYU: Mdau wa JamiiForums.com anadai kuwa Shule ya Msingi Ndoleleji ina miundombinu duni na kwamba Walimu waliopo ni 12 wakati idadi ya Wanafunzi ni takriban 1,500 kiasi kwamba baadhi ya madarasa wanasomea nje
Anaomba ujumbe huu ufike kwa Mamlaka na Viongozi wanaohusika, waboreshe mazingira ili Wanafunzi na Walimu wawe katika mazingira mazuri ya masomo
Soma https://jamii.app/ShuleYaNdoleleji
#Governance #ServiceDelivery #Accountability
Anaomba ujumbe huu ufike kwa Mamlaka na Viongozi wanaohusika, waboreshe mazingira ili Wanafunzi na Walimu wawe katika mazingira mazuri ya masomo
Soma https://jamii.app/ShuleYaNdoleleji
#Governance #ServiceDelivery #Accountability
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Serikali imesema Huduma za Afya ya Akili zimeshajumuishwa kwenye vifurushi vya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), hivyo Wananchi wanaonufaika na bima wanaweza kupata matibabu hayo kwa mujibu wa mwongozo wa matibabu uliopo
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema ushauri nasaha pamoja na huduma za kibingwa kama vile utengamao, zote zimetajwa kama huduma muhimu kwenye Mwongozo wa Matibabu (Standard Treatment Guideline β STG) na zinagharamiwa na NHIF
Ikumbukwe Machi 12, 2025, Mdau wa JamiiForums.com aliandika βHuduma ya Saikolojia ipatikane kwenye Bima ya NHIF, kuna watu wengi wana changamoto ya Afya ya Akiliβ
Soma https://jamii.app/AfyaYaAkiliNHIF
#JamiiForums #Accountability #MentalHealthAwareness #AfyaAkili #JFAfyaAkili

π3
Ukaguzi wa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwenye Miradi ya Umeme Vijijini kwa Mwaka 2023/24, ulibaini REA ilishindwa kufanya utafiti wa mahitaji ya Umeme kama inavyotakiwa na badala yake ilitegemea takwimu zilizopitwa na wakati, hali iliyosababisha makadirio yasiyo sahihi ya mahitaji ya umeme.
Pia, kulikuwa na ongezeko la Tsh. Bilioni 15.34 kutokana na maandalizi hafifu ya mchanganuo wa bei za vipande vya 1 hadi 6
Vilevile, Transfoma zenye uwezo mdogo kuliko zilizoainishwa kwenye upembuzi yakinifu zilinunuliwa na kufungwa bila kufanya tathmini ya mahitaji ya Umeme, hali inayoweza kusababisha upungufu wa Miundombinu na matatizo ya kukatika kwa Umeme.
Soma zaidi https://jamii.app/CAGTransfomaREA
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #Uwajibikaji #CAGReport2025 #RipotiCAG2025 #ServiceDelivery #HudumaZaKijamii

Kama vile Michezo (Games) inavyokuwa na changamoto ambazo Wachezaji lazima wazishinde ili kuendelea, vivyo hivyo Maisha hutuletea Vizuizi, Matatizo na Shida ambazo tunahitaji kuzishinda
Uzoefu wa Maisha hutufundisha mambo muhimu, na kutusaidia kukua, kujiimarisha na kuendelea kupevuka.
#JamiiForums #JamiiAfrica
Uzoefu wa Maisha hutufundisha mambo muhimu, na kutusaidia kukua, kujiimarisha na kuendelea kupevuka.
#JamiiForums #JamiiAfrica
#UREMBO: Mdau wa JamiiForums.com anasema Mwanamke anapokuwa na Uraibu wa Urembo bandia kwake anaona ni dalili za changamoto ya Afya ya Akili kwasababu Mwanamke anapokuwa na Msongo wa Mawazo wa kutokubalika huanza kuuchukia mwonekano wake wa Asili
Unakubaliana na Mtazamo huu?
Mjadala zaidi https://jamii.app/UremboBandia
#JamiiForums #JamiiAfrica #Maisha #JFChitChats #JFStories
Unakubaliana na Mtazamo huu?
Mjadala zaidi https://jamii.app/UremboBandia
#JamiiForums #JamiiAfrica #Maisha #JFChitChats #JFStories
π1
MWANZA: Mdau wa JamiiForums.com ambaye ni mkazi wa Ilemela anadai madhara ya Wachimbaji Moramu kuacha mashimo makubwa ni Watu au mifugo kudondokea kwenye makorongo, mashimo kujaa maji na kuwa chanzo cha mbu na madhara mengine mengi
Anatoa wito kwa Mamlaka zinazohusika kusimamia wanaochimba Moramu wawe na mikakati ya kupunguza madhara, anayemaliza kuchimba lazima afukie
Aidha, ameshauri Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Mwanza wafike katika eneo hilo wajionee hali ilivyo tete
Soma https://jamii.app/MoramuIlemela
#Uwajibikaji #Accountability #Governance #PublicHealth