Mmoja wa washiriki wa Shindano la Stories of Change aliandika andiko la Ujumbe kwenda kwa Rais, ambapo alishauri mambo kadhaa ikiwemo Rais kuweka dira ya Taifa itakayofanya mrithi wa kiti chake kuendeleza mazuri yote yatakayokuwa kwenye Dira hiyo na siyo mtazamo wake binafsi
Soma zaidi Ujumbe huu hapa https://jamii.app/UjumbeRaisSOC23
#JamiiForums #Governance #Uwajibikaji #SOC2023

Kupiga kura sio Haki tu bali ni jukumu lako kama raia. Unapokaa kimya kwa kutopiga kura, unawapa wengine nafasi ya kuamua kuhusu Maisha yako, Serikali yako, na mustakabali wa Nchi yako.
Usikubali sauti yako ipotee! Piga kura ili kuipata Jamii unayoitaka, na kwa kizazi kijacho. Kura yako ina thamani – itumie!
#PigaKura #SautiYakoNguvuYako #Demokrasia #HakiZaKiraia #JamiiForums #Accountability #CivilRights #Democracy

Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuwasilisha hoja akilitaka Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC) kuwasaidia Wahitimu kwa kuwapatia Leseni mapema akidai wanapitwa na fursa nyingi Mtaani, ufafanuzi umetolewa na Baraza
Afisa Uhusiano na Mawasiliano wa #TNMC, Ezekiel Nyalusi akizungumza na JamiiForums, amesema “Muuguzi akifaulu, anatakiwa kula kiapo, akiapishwa ndio anakabidhiwa Leseni na Cheti, kuna takribani Wauguzi 3,500 waliofaulu, hadi kufikia Februari 14, 2025 kati yao takribani 2,000 walikuwa wameshahakikiwa."
Ameongeza: “Kinachofanyika kwa sasa ni maandalizi ya mahafali, hivyo Mwanafunzi hataweza kuona Leseni yake hadi ale kiapo siku ya mahafali, inawezekana hali ya kisoko kwa sasa inachangia wahitaji Leseni haraka. Wawe na Subira, wasubiri mahafali.”
Soma https://jamii.app/LeseniMapemaTNMC
#JamiiForums #Accountability #PublicHealth

👍1
MWANZA: Mdau wa JamiiForums.com anasema pembezoni mwa Barabara ya Kona ya Bwiru kuelekea Kitangiri na inayounga mpaka Bwiru, kumejaa uchafu unaotolewa kwenye mifereji ya Barabara hiyo
Anasema Uchafu unaweza kukaa hadi Mwezi mzima bila kuzolewa, hali inayosababisha Barabara kuwa nyembamba na watembea kwa miguu kujikuta wanatembea katikati ya Barabara, hivyo Usalama wao hatarini na pia kuchafua muonekano wa Jiji
Ametoa wito kwa Viongozi kushughulikia suala hilo
Soma https://jamii.app/UchafuMitaroBarabara
#Accountability #JamiiForums #Uwajibikaji

❤2👍1
Vipi Mdau, na wewe unaye rafiki ambaye 'mlishibana' sana ila kwa sasa hata hamjuliani hali?
Nini kilitokea Urafiki wenu ukaisha?
Shiriki Mjadala huu zaidi https://jamii.app/MarafikiHawadumu
#JamiiForums #LifeLessons #Maisha #JFChitChats #JFStories

Katika safari ya kujenga taifa lenye uongozi bora na maendeleo endelevu, kila mmoja wetu ana jukumu la kusimama imara dhidi ya #Rushwa katika uchaguzi
Kila kura ina thamani kubwa kuliko pesa yoyote unayoweza kupewa. Usiuze haki yako ya kuchagua kiongozi bora
#ChaguaKiongoziSioPesa #KemeaRushwa25 #Accountability #Demokrasia #ServiceDelivery #Uwajibikaji

👍2
Kusoma kwa undani habari hizi na nyingine zilizojiri juma lililopita bofya https://jamii.app/YaliyojiriJumaLililopita
#JamiiForums #YaliyojiriJumaLililopita #JFToons

DODOMA: Mdau aliyejitambulisha kuwa Mwanafunzi wa UDOM ametoa wito kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Uongozi wa Chuo chake kushughulikia changamoto za mfumo ya ulipaji ada, akidai una changamoto na unaweza kusababisha wakashindwa kufanya mitihani
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa UDOM, Rose Mdami amezungumza na JamiiForums amesema, Wanafunzi ambao wanalipiwa mkopo 100% hawana tatizo, lakini wanaolipiwa chini ya kiwango hicho wanatakiwa kukamilisha kulipa kiasi ambacho kinatakiwa kwa kuwa hilo ni jukumu lao na sio la Bodi wala Chuo
Soma https://jamii.app/ChangamotoAdaUDOM
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #JFMdau2025