JAJI KIONGOZI: WANAOPELEKA KESI MAHAKAMANI BILA USHAHIDI WACHUKULIWE HATUA
> Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Dkt. Eliezer Fereshi amesema kesi zinazopelekwa bila ushahidi hupelekea mahabusu kuwa wengi na kesi kuchukua muda mrefu
Soma https://jamii.app/KesiBilaUshahidi

NAIBU SPIKA: BUNGE HALINA TAARIFA YA MBUNGE KUVULIWA UANACHAMA
> Akiwa Bungeni, Mbunge Jesca Kishoa (Viti Maalum) alisema ameondolewa kwenye Chama
> Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson asema hawana Mbunge asiye na Chama akimtaka afute kauli yake
Soma https://jamii.app/BungeTaarifa

MBUNGE CCM: BIASHARA ZA MBOWE HAZIJAFUNGWA NA SERIKALI, ALIDANGANYA WATANZANIA
- Jacqueline Ngonyani amesema biashara anazozifanya Freeman Mbowe ni za urithi na alikuwa anazifanya bila kuwapa mrejesho Wanafamilia ndipo walipokwenda Mahakamani
Soma https://jamii.app/NgonyajiMbowe

KLABU YA SIMBA YAFUNGIWA KUFANYA USAJILI KWA MUDA
- Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limeifungia Klabu ya Simba kusajili kwa kipindi kimoja kufuatia kutomlipa beki wao wa Ghana, Asante Kwasi
- Wametakiwa kumlipa Tsh. Milioni 25
Soma - https://jamii.app/FifaSanctionSimba
#JFLeo

ASKOFU GWAJIMA: KUNA WATU WENGI MAHABUSU KWA KUBAMBIKIWA UHUJUMU UCHUMI
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Mch. Josephat Gwajima amesema kuna watu 1,701 walio mahabusu ama kwa Utakatishaji Fedha au Uhujumu Uchumi
- Ameongeza βHaingii akilini kwanini Masheikh wa Uamsho wako ndani mpaka leo ni miaka 9. Itakuwaje mkagundua hawana hatia, mtawalipa nini kwa miaka waliyopoteza? Wangehukumiwa ikajulikana"
Soma https://jamii.app/GwajimaUtakatishaji

MNYIKA: TULILITAARIFU BUNGE KUHUSU KUFUKUZWA UANACHAMA WA WABUNGE 19 WA VITI MAALUM
> Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema tarehe 01 na 19 Desemba 2020, walitoa taarifa Bungeni kuhusu kufukuzwa kwa Wabunge walioapa mbele ya Spika
Soma - https://jamii.app/BungeCHADEMA

GAMBO: WALIOFUKUZWA KWA VYETI FEKI WALIPWE STAHIKI ZAO
> Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo ameiomba Serikali iwalipe waliofukuzwa kwa Vyeti feki kwa kuwa ni sehemu ya mafanikio ya Serikali, pia mishahara yao ilikatwa kuchangia Mifuko ya Jamii
Soma https://jamii.app/GamboVyetiFeki

NAPE: CHAMA KIKIWAFUKUZA WANACHAMA WAKE, UAMUZI WAO UHESHIMIWE
- Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) amesema Demokrasia ni pamoja na kuheshimu Taasisi zinazounda #Demokrasia ikiwemo Vyama vya Siasa
- Asema "Sasa hivi kuna Wanachama wapo Bungeni lakini CHADEMA ilishawafukuza. Kwanini wapo Bungeni? Wanatakiwa wasiwepo. Tufuate Sheria"
Tazama > https://youtu.be/_8c2NiSXZ7w

YouTube
Nape: Chama Kikiwafukuza Wanachama Wake, Uamuzi Wao Uheshimiwe
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) amesema Demokrasia ni pamoja na kuheshimu Taasisi zinazounda #Demokrasia ikiwemo Vyama vya SiasaAsema "Sasa hivi kuna Wana...
MBATIA: KWANINI TUNAWEKA βPRESSUREβ HADI WATU WANAKIMBIA NCHI?
> M/kiti huyo wa NCCR-Mageuzi amesema CCM imevibagua Vyama vingine vya Siasa kwa miaka 5
> Atoa wito kwa Rais Samia kumuita Tundu Lissu arudi Nchini na Ukabila uliopo uondolewe
Soma https://jamii.app/MbatiaKatiba

MADHARA YA ULAJI WA UDONGO
- Kuhisi kushiba muda wote, hivyo husababisha mwili kukosa virutubisho
- Kuna uwezekano wa kula sumu kwenye udongo
Soma > https://jamii.app/MadharaUlajiUdongo
#JamiiAfya #JFLeo #JamiiTalks

DC WA SONGWE ADAIWA KUTISHIA KUMUUA MBUNGE WA SONGWE
- Philipo Mulugo amemtuhumu Samuel Jeremiah kutishia kumuua kwa kumfuatilia kuhusu matumizi ya fedha za michango ya Wawekezaji wa Ufuta
- Pia, asema DC haelewani na DED wa Halmashauri ya Wilaya
Soma - https://jamii.app/DCSongweMbunge

TUNDU LISSU: KATIBA INARUHUSU MIKUTANO YA KISIASA ILA POLISI WANA SHERIA YA KUZUIA
- Amesema #Sheria za Tawala za Mikoa bado ni za Chama Kimoja
- RC's na DC's wanaweka Watu ndani, Rais ana Mamlaka ya kuweka Watu kizuizini bila kupelekwa Mahakamani
Soma https://jamii.app/LissuMikutano

UMEWAHI KUWA NA MATARAJIO MAKUBWA KISHA UKAUMIZWA?
- Matarajio yaliyokithiri juu ya jambo au mtu fulani huweza kupelekea msongo wa mawazo kwakuwa yasipotimia unaweza kuumia sana
- Hivyo usitegemee kupewa furaha na wengine, tafuta njia zako binafsi za kujifurahisha
#JamiiTalks

TMA: KIMBUNGA #JOBO KINAPUNGUZA KASI KADIRI KINAVYOISOGELEA NCHI KAVU
TMA imesema kuwa kimbunga hicho sasa kinasafiri kwa kasi ya 18Km/h
> Wananchi wametahadharishwa kuwa kitasababisha mawimbi makubwa baharini na mvua kubwa ukanda wa Pwani
Soma https://jamii.app/KimbungaJoboDhaifu

DAR: WATU 49 WAMEKAMATWA KWA TUHUMA ZA WIZI WA PIKIPIKI NA MAGARI
> Wamekamatwa maeneo mbalimbali ya Dar ktk oparesheni maalum
> Wamekutwa wakiwa na pikipiki 10 na vifaa vyake, gari moja likiwa limetolewa viti na vipuri vya magari
Soma https://jamii.app/WeziMagariDSM