LINDI NA MTWARA ZATAHADHARISHWA KUHUSU KIMBUNGA CHA JOBO
> TMA imetahadharisha Mikoa ya mwambao wa Bahari ya Hindi hasa Lindi na Mtwara kuhusu Kimbunga ambacho kipo Kaskazini mwa Madagascar
> Kitasababisha ongezeko la upepo na mawimbi
Soma https://jamii.app/KimbungaJobo

CHAD: WAASI WATISHIA KUMTOA MADARAKANI RAIS WA MPITO (MTOTO WA RAIS IDRISS DEBY)
- Waasi wa 'Front for Change and Concord in Chad' wamesema wapiganaji wake kwa sasa wanaelekea katika Mji Mkuu wa N'Djamena
- Wasema #Chad sio Nchi ya kifalme
Soma - https://jamii.app/ChadCrisis

MAREKANI: BINTI WA MIAKA 16 APIGWA RISASI NA POLISI
> MaβKhia Bryant ambaye ni Mmarekani Mweusi amefariki dunia baada ya kupigwa risasi nne na Polisi wa Colombus, Jimbo la Ohio kutokana na madai kuwa alishika kisu kuwadhuru Wasichana wengine
Soma https://jamii.app/RisasiMarekani

NCHI ZA MASHARIKI YA KATI ZATAJWA KUONGOZA KWA MAUAJI YA BINADAMU
- Shirika la Amnesty International limerekodi matukio 483 ya adhabu ya kifo Duniani mwaka 2020
- Nchini #Iran adhabu ya kifo inatumiwa kukandamiza wapinzani na waandamanaji
Soma - https://jamii.app/DeathsCentralEast

#MYANMAR: WATU MILIONI 3.4 WATASHINDWA KUPATA CHAKULA
> WFP imekadiria watu watashindwa kupata Chakula ndani ya miezi 3 - 6 ijayo, kutokana na kukosa Ajira na vyakula kupanda bei
> Watu 250,000 hawana makazi, na watu 738 wameuawa kutokana na ghasia
Soma https://jamii.app/MynamarNjaa

VYANZO VYA MSONGO WA MAWAZO (STRESS) KATIKA ENEO LA KAZI
- Mshahara mdogo: Malipo madogo inatajwa kuwa sababu kubwa ya Msongo wa Mawazo kwa Wafanyakazi kutokana na kutokukidhi mahitaji kikamilifu
- Kukosekana kwa fursa za kukua kitaaluma: Ukuaji kitaalam unamaanisha kupata ujuzi mpya na uzoefu wa kazi ambao utasaidia kufikia lengo
- Kukosa nafasi ya kushiriki katika maamuzi: Hii inamaanisha Viongozi wa kati na wa juu huwasimamia Wafanyakazi wao kwa kuamua kila kitu bila kuwashirikisha wa chini
Soma https://jamii.app/MawazoHuzuni
#StressAwarenessMonth #Employees

KANUNI ZA BUNGE ZATENGULIWA KURUHUSU BAADHI YA VIONGOZI WAINGIE NDANI YA UKUMBI WA BUNGE
> Kanuni ya 160 (1) ya Kanuni za Kudumu za Bunge toleo la Juni 2020 zatenguliwa ili Viongozi walioalikwa na Spika waingie ndani ya Ukumbi wa Bunge
Tazama https://youtu.be/Ezf66HMNV0k

YouTube
Bunge Latengua Kanuni kuruhusu Rais Samia Suluhu kuingia Ukumbini
Bunge limetengua kanuni kuruhusu hotuba ya Rais Samia Suluhu.Pamoja na Rais, wengine watakaoingia Bungeni ni: Makamu wa Rais, Dkt. Phillip Mpango; Rais wa Za...
UNATAKA KUSAJILI KAZI YA SANAA NA HUJUI VITU VINAVYOHITAJIKA? ANDAA VIFUATAVYO (SEHEMU YA 1)
- Nakala 2 za kazi yako ya sanaa
- Picha 2 za 'Passport Size'
- Nakala ya picha za utambulisho, Kitambulisho cha Kitaifa au cheti cha kuzaliwa
Soma > https://jamii.app/SajiliSanaa

KUKOSEKANA KWA DARAJA LOYA: KILA MWAKA WATU ZAIDI YA 20 WANAFARIKI
- Mbunge wa Igalula, Venant Protas, ameomba fedha za ujenzi ili kunusuru Wananchi wanasombwa na Mto
- Asema Ujenzi wa Daraja hilo umekuwa ukipigiwa kelele tangu Mwaka 2013
Soma - https://jamii.app/DarajaLoya

MAKETE: WATUMISHI WATATU WAHUKUMIWA KWA MAKOSA YA RUSHWA NA UBADHIRIFU
- Wamehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela kila mmoja kwa kuomba, kupokea rushwa na ubadhirifu wa fedha za makusanyo ya ushuru kwa njia ya POS na hawakuziwasilisha kwa Halmashauri
Soma - https://jamii.app/JelaWatumishiMakete

UNATAKA KUSAJILI KAZI YA SANAA NA HUJUI VITU VINAVYOHITAJIKA? ANDAA VIFUATAVYO (SEHEMU YA 2)
- Ushahidi wa maandishi kuhusu uhusiano kati ya aliyeenda kusajili na wahusika wengine ikiwa ni kikundi
- Nakala ya makubaliano inayoonesha ushiriki wa wahusika wengine
Soma > https://jamii.app/SajiliSanaa
#JamiiForums #JFSanaa

ARUSHA: 3 WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI
> Washtakiwa walikusanya ushuru wa utalii wa utamaduni kati ya Julai 2017 hadi Machi 2018 na hawakuwasilisha makusanyo Halmashauri ya Karatu na kusababisha hasara ya Tsh. 11,409,045
Soma https://jamii.app/KaratuUhujumu

KILIMANJARO: MBARONI KWA TUHUMA ZA KUMPIGA NA KUMSABABISHIA KIFO MKEWE
> Zakayo Kimaro anatuhumiwa kumpiga na kumsababishia kifo Magdalena Makishe (61)
> Kimaro amedaiwa kumuuza ng'ombe wa mkewe na alipoulizwa akamshambulia mkewe kwa fimbo
Soma https://jamii.app/MkeSihaMauaji

DODOMA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo analihutubia Bunge kwa mara ya kwanza
- Hotuba ya Rais Samia inatarajiwa kutoa dira ya Uongozi wake tangu alipochukua kijiti kutoka kwa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli
Fuatilia - https://youtu.be/bgAuUQupxxU
#JFLeo

Hotuba ya Rais Samia Suluhu BUNGENI, Dodoma - Aprili 22, 2021
Hotuba ya Rais Samia Suluhu Bungeni, Dodoma
#Samia #Suluhu #Hotuba #Bungeni #Dodoma
Rais Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kuhutubia Bunge la Tanzania katika hotuba itakayotoa mwelekeo wa nini hasa amepanga kutimiza katika muhula wake wa kwanza madarakani.β¦