MICHEZO: Chama cha #ACTWazalendo kimesema uamuzi wa Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (#TPLB) kuahirisha mchezo wa #Yanga dhidi ya #Simba (Machi 8, 2025) haukuzingatia hasara mbalimbali zilizotokana na kuahirishwa kwa mchezo huo
ACT imesema inaona mwenendo wa Bodi hiyo umejaa malalamiko kutoka kwa Wadau wengi, kwa kuwa imekuwa ikiongozwa na utashi wa timu hizo za Kariakoo, jambo linaloharibu taswira ya ligi, heshima ya Tanzania kisoka na kuleta hasara kwa wadhamini, mashabiki na Wafanyabiashara
Kupitia tamko la Naibu Waziri Kivuli wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo (ACT), Monalisa Joseph Ndala lililowekwa ndani ya JamiiForums.com amesema wanaitaka Bodi ya Ligi iliyopo madarakani kujitafakari kama inafaa kuendelea kusimamia Ligi Kuu Bara au inapaswa kujiengua
Soma https://jamii.app/ACTYangaSimba
#JamiiForums #JFSports #KariakooDerby

👍3
BAADA YA SAMIA KUKUTANA NA VIPNGOZI WA YANGA, SIMBA; VIONGOZI TPLB WAJIUZULU
Baada ya mgogoro wa muda mrefu kuhusu Yanga na Simba kucheza mchezo wa Ligi Kuu, Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Steven Mnguto amewasilisha barua ya kujiuzulu huku Rais wa #TFF, Wallace Karia akimsimamisha Kazi Afisa Mtendaji Mkuu wa #TPLB, Almasi Kasongo
Haya yametokea ikiwa ni saa chache baada ya Rais Samia kufanya mazungumzo na Viongozi wa Klabu za #Simba na #Yanga na kisha taarifa kutoka kuwa mchezo huo uliokuwa uchezwe Juni 15, 2025 umeahirishwa hadi Juni 25, 2025
Soma https://jamii.app/TPLB_Wajiuzulu
#JamiiAfrica #JFSports

❤1