ELIMU: Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (#HESLB) imesema Wanafunzi 80 wa Shahada za Uzamili katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) ambao wamedahiliwa katika Programu za Sayansi na Ubunifu, wamepangiwa ruzuku zenye thamani ya Tsh. Milioni 623.2 kupitia 'Samia Scholarship'
HESLB imesema Wanafunzi walioomba fursa hizo wanashauriwa kuangalia taarifa zao kupitia akaunti walizoombea (SIPA) na wanatakiwa kujisajili kwenye mfumo wa malipo wa Kidigitali (DiDiS), kupitia kwa Maafisa wa HESLB katika Chuo cha NM-AIST
Januari 20, 2025, Wadau wa JamiiForums.com walidai kuwa licha ya Chuo kufunguliwa Januari 13, 2025 na majina yao kupitishwa kwenye listi ya wanufaika, hakukuwa na maelekezo yoyote wala fedha za Ufadhili hazikuwa zimeingia kutoka HESLB na Chuoni hakukuwa na ufafanuzi kuhusu wao
Soma https://jamii.app/UfadhiliSamia25
#JamiiForums #Accountability #ServiceSelivery