JamiiForums
52.5K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi ni kumbukumbu ya kila Mwaka inayoadhimisha mafanikio na michango ya Wanawake na Wasichana katika Sekta ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi, na Hisabati (STEM)

Siku hii inahamasisha Wanawake na Wasichana zaidi kufuata na kujiunga na taaluma za Sayansi na Teknolojia lengo likiwa ni kuvunja vizuizi na dhana potofu ambazo Kihistoria zimezuia Ushiriki wa Wanawake katika sekta hizi

Soma https://jamii.app/WanawakeNaSTEM

#JamiiForums #STEM #GenderEquality #JFWomen #UNWomen
👍2
Siku ya Kimataifa ya Wasichana katika Teknolojia ya Habari na Mawasiliano huadhimishwa kila Alhamisi ya Nne ya Mwezi Aprili kwa lengo la kusisitiza umuhimu wa Wasichana katika #ICT

Pia, siku hii hutumika katika kuhamasisha Wasichana na Wanawake wadogo kuchagua masomo ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati (STEM)

Mtag Msichana au Mwanamke yeyote ambaye anasoma au yupo katika Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

Soma https://jamii.app/GirlsInICT2024

#JamiiForums #TechWorld #WomenInTech #GirlsInICT #STEM #SikuYaWasichanaKatikaICT #JFWomen #JFDigitali
👍3
Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi huadhimishwa Februari 11 kila Mwaka kusherekea mafanikio na michango ya Wanawake na Wasichana katika Sekta ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi, na Hisabati (STEM)

Siku hii inahamasisha Wanawake na Wasichana zaidi kufuata na kujiunga na taaluma za Sayansi na Teknolojia lengo likiwa ni kuvunja vizuizi na dhana potofu ambazo Kihistoria zimezuia Ushiriki wa Wanawake katika sekta hizi

Soma https://jamii.app/WanawakeSayansi25

#JamiiForums #STEM #GenderEquality #JFWomen #UNWomen