#CopaAmerica2019: #Argentina imeibuka mshindi wa tatu katika michuano hiyo baada ya kuifunga #Chile goli 2-1
> Katika mchezo huo, Lionel Messi wa Argentina na Gary Medel wa Chile walipewa kadi nyekundu
> Mchezo wa Fainali utafanyika kesho kati ya #Brazil na #Peru mida ya saa 5 za usiku kwa saa za Afrika Mashariki

#PERU: VURUGU ZAIBUKA BAADA YA RAIS MARTIN VIZCARRA KUTOLEWA MADARAKANI
> Polisi wametumia mabomu ya machozi kuzuia waandamanaji eneo la Bunge wakati Rais wa Mpito akiapishwa
> Kuna hofu huenda vurugu za kisiasa zikatokea katika nchi hiyo
Soma - https://jamii.app/VuruguSiasaPeru

PERU: Rais wa zamani, Alejandro Toledo amehukumiwa kwenda Jela Miaka 20 na Miezi 6 kwa hatia ya kupokea Rushwa ya Dola Milioni 35 (takriban Tsh. 95,375,000,000) kutoka kwa Kampuni ya Ujenzi ya Brazil ili kutoa Kandarasi ya Ujenzi wa Barabara Kuu
Toledo ambaye aliitawala #Peru kuanzia Mwaka 2001 hadi 2006, alikubali Rushwa hiyo kwenye Ujenzi wa sehemu ya Barabara Kuu inayounganisha Mji wa Brazil wa Rio de Janiero hadi Lima
Peru ilitoa hati ya kukamatwa kwa #Toledo Mwaka 2017 na kuomba Uhamisho wake kutoka Marekani, ambako alikimbilia baada ya kuondoka Madarakani
Soma https://jamii.app/ToledoJailed
#JamiiForums #Accountability #Governance #Democracy

👍2