MANYARA: Mahakama ya Wilaya ya #Kiteto imemtia hatiani Mwenyekiti wa Kijiji cha #Kimana, Wilson Mshimi Ngolanya kwa kosa la kuomba #RushwaYaNgono ili asaidie kutatua Mgogoro wa Ardhi
Mahakama imesema imezingatia 'shufaa' za mshtakiwa na imemhukumu kifungo cha Miaka Miwili jela au kulipa faini ya Tsh. 500,000
Soma https://jamii.app/KitetoRushwa
#KemeaRushwa #VunjaUkimya

👍2
MANYARA: Baadhi ya Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta Katikati, Ngabolo na Olboloti Wilayani #Kiteto wamedai waliondolewa maeneo yao ya shamba kwa kigezo kuwa ni sehemu ya Hifadhi, wamerejea katika maeneo hayo wakidai utatuzi utapatikana wakati wao wakiendelea na Kilimo wanazodai ni za Hifadhi zinatumiwa na Wafugaji kulisha mifugo yao
Wamedai Viongozi wa ngazi ya Wilaya na Mkoa hawajafanikiwa kutatua changamoto iliyodumu kwa miaka kadhaa
Akizungumza na JamiiForums, Mkuu wa Mkoa wa #Manyara, Queen Sendiga amesema “Tumejipa hadi Januari 15, 2024 tuwe tumeimaliza. Nimeanza ziara ya kuitatua, naomba Wananchi wawe na imani na mimi, kila mtu atapata haki yake kwa mujibu wa Sheria.”
Soma https://jamii.app/WakulimaKiteto
#JFUwajibikaji #KemeaRushwa #Accountability #Governance #JamiiForums

❤1👍1
Mbunge wa Jimbo la #Simanjiro Mkoani #Manyara, Christopher Ole Sendeka amenusurika baada ya Watu ambao bado hawajafahamika kushambulia gari lake kwa risasi akiwa safarini katika Kijiji cha Ngabolo Wilayani #Kiteto, jana Machi 29, 2024
Akizungumzia tukio hilo Msemaji wa Jeshi la Polisi, DCP David Misime amesema “Jeshi la Polisi limepokea taarifa hiyo, Ole Sendeka na Dereva wake wote hawajapata madhara, uchunguzi umeanza baada ya kupokea taarifa.”
Ameongeza “Timu ya Wataalam wa Matukio yaliyohusisha matumizi ya risasi kutoka Makao Makuu #Dodoma imetumwa kwenda kushirikiana na Timu ya Manyara kubaini Wahusika na madhumuni yao au kusudio lao, baada ya uchunguzi taarifa kamili itatolewa.”
Soma https://jamii.app/OleSendeka
#JFMatukio #JamiiForums

👍8❤2🤔1