JamiiForums
52.6K subscribers
34.4K photos
2.46K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOENDA KWENYE 'INTERVIEW'

Vaa Vizuri: Saikolojia ya kuvaa vizuri ni kama umeweza kujipangilia mwenyewe katika Mavazi yako hata kazi yao utaifanya kwa uangalifu na unadhifu

Wahi Kufika: Inashauriwa kufika sehemu ya usaili Nusu Saa kabla ya muda ili kuyasoma Mazingira na kutuliza akili yako

Uliza maswali ya Msingi: Ukipewa nafasi ya kuuliza maswali uliza mambo yaliyo ndani ya #Ajira au #Fursa uliyoitiwa, usiongee 'sana'

Zaidi https://jamii.app/UsailiAjira

#JamiiForums #UsahiliWaKazi #JobInterviews #Interviews #Internships #Opportunities
2👍1
Ni muhimu kuzingatia umaridadi wakati wa kwenda kwenye Usaili wa Kazi au fursa fulani

Vitu muhimu vya kuepuka ni Nguo zenye rangi ya kung'aa na urembo mwingi, Mapambo mengi kama, hereni, bangili, pete na Nywele zenye rangi rangi, pia Usivae mavazi yanayokuonesha upo kawaida sana 'casual' kama 'Tshirt na Jeans'

Usipake au kupulizia Manukato yenye harufu kali, 'Makeup' nzito nayo ni 'too much'. Acha 'headphones' zako nyumbani

Kumbuka: Utavaa mavazi tajwa hapo juu ikiwa tu aina ya Usaili itakulazimu kufanya hivyo kama Usaili wa Mitindo na Fasheni

Zaidi https://jamii.app/MavaziYasiyofaa

#JamiiForums #JobInterviews #Maisha #UsailiWaKazi
👍21