This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Utafiti huu wa kila Mwaka huangazia hali ya #Demokrasia katika Nchi 167 kwa kuzingatia vigezo vitano ikiwemo Mchakato wa Uchaguzi na Uwiano, Utendaji wa Serikali, Ushiriki wa Kisiasa, Utamaduni wa Kisiasa wa Kidemokrasia, na Uhuru wa Raia
Imegundulika zaidi ya theluthi moja ya idadi ya Watu Duniani inatawaliwa na Utawala wa Kidikteta, huku ni 6.4% tu wanaonufaika na Demokrasia kamili.
#GlobalDemocracyRankings #EUIResearch #DemocraticNations #DemocracyIndex2021 #JamiiForumsInsights #EIUDemocracyStudy #JamiiForums

👍4
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Video hii ilisambaa mitandaoni mwaka 2020 ikimuonesha Afisa wa Nigeria anayedaiwa kuzimia Bungeni baada ya kuulizwa kuhusu Matumizi ya Fedha za Umma
#JamiiForums #JamiiForumsInsights #Accountability #JFUwajibikaji

😁11👍3❤1