ELIMU: Jumla ya Watahiniwa 557,731 wameanza Mtihani wa Kidato cha 4 leo Novemba 11, 2024. Baraza la Mitihani la Tanzania (#NECTA), limesema Watahiniwa 543,386 ni Wanafunzi wa Shule ambapo Wavulana ni 250,562 (40%) na Wasichana ni 278,759 (53%)
Upande wa Watahiniwa wa Kujitegemea ni 28, 410 ambapo Wavulana ni 11,167 (39%) na Wasichana ni 17,243 (61%). Aidha, Idadi ya Shule zinazofanya Mtihani ni 5,585 na Vituo vya Watahiniwa wa kujitegemea ni 961
JamiiForums inawatakia Wahitimu wote kila la kheri katika Mitihani yao
Soma https://jamii.app/FormIVExams24
#JamiiForums #Governance #SocialJustice #JFHakiElimu #ChildRights #Accountability #JFDATA

❤2
MICHEZO: Manchester City na Arsenal ni kati ya timu zinazowania Ubingwa wa Ligi Kuu ya England “Premier League” zikiwa na idadi kubwa ya Wachezaji majeruhi ambao wanaweza kukosa zaidi ya mchezo mmoja
Soma https://jamii.app/MajeruhiEPL
#JFDATA #JFSports #JFEPL24 #JamiiForums
Soma https://jamii.app/MajeruhiEPL
#JFDATA #JFSports #JFEPL24 #JamiiForums
👍1
UCHUMI: Kwa mujibu wa ripoti za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Wizara ya Fedha hadi kufikia Septemba 2024, zinaonesha Deni la Serikali lilifikia Tsh. Trilioni 98.5 ambapo kwa kipindi cha Miaka 9 Deni hilo limeongezeka kwa Tsh. Trilioni 64.2
Ili Tanzania iondokane na Deni hilo, itachukua Miaka 11 kulipa kwa Wastani wa Tsh. Trilioni 8.8 kila Mwaka na haitatakiwa kukopa kwa kipindi chote hicho
Aidha, kwa takwimu za Septemba 2024 kutoka BoT, Deni la Taifa limefikia Dola za Marekani Bilioni 44.89 (Takriban Tsh. Trilioni 118.9) huku Deni la Serikali likichukua 83% ya Deni hilo.
Soma https://jamii.app/GovtDebt
#JamiiForums #Governance #Accountability #Economy #JFDATA

👍2
#DEMOKRASIA: Kwa mujibu wa matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024, Vijiji 9 havikufanya Uchaguzi katika nafasi 12,271 kati ya 12,280 za Mwenyekiti wa Kijiji vilivyopaswa kufanya Uchaguzi
Taarifa ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI imesema hali hiyo ilitokana na sababu mbalimbali ikiwemo Vifo vya Wagombea wa nafasi za Mwenyekiti wa Kijiji vilivyotokea baada ya Uteuzi.
Soma https://jamii.app/MatokeoLGE2024
#JamiiForums #JFDemokrasia #Governance #SerikaliZaMitaa2024 #YanayojiriUSM2024 #LGE2024 #JFDATA

DEMOKRASIA: Taarifa ya TAMISEMI imeeleza Chama cha Mapinduzi (CCM) imeshinda nafasi 4,213 kati ya 4,264 zilizokuwa zikigombewa kwa nafasi ya Mwenyekiti wa Mtaa
Aidha, Mtaa mmoja wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga, Mshindi hakupatikana kwasababu Kura za Wagombea wawili zilifungana
Soma https://jamii.app/MatokeoLGE2024
#JamiiForums #JFDemokrasia #Governance #SerikaliZaMitaa2024 #YanayojiriUSM2024 #LGE2024 #JFDATA
Aidha, Mtaa mmoja wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga, Mshindi hakupatikana kwasababu Kura za Wagombea wawili zilifungana
Soma https://jamii.app/MatokeoLGE2024
#JamiiForums #JFDemokrasia #Governance #SerikaliZaMitaa2024 #YanayojiriUSM2024 #LGE2024 #JFDATA
DEMOKRASIA: Kwa mujibu wa Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaliyotangazwa na Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa nafasi za Mwenyekiti wa Kitongoji, CCM imetangazwa kupata 98.26% ya Kura zote zilizopigwa Novemba 27, 2024
Aidha, TAMISEMI imesema Vitongoji 37 havikufanya Uchaguzi kwasababu mbalimbali ikiwemo Kufariki kwa Wagombea wa Vitongoji 8. Vitongoji 12 vitarudia Uchaguzi kutokana na Matokeo kufungana, vingine 9 vitarudia kutokana na Wagombea kutopata Kura za Kutosha
Soma https://jamii.app/MatokeoLGE2024
#JamiiForums #JFDemokrasia #Governance #SerikaliZaMitaa2024 #YanayojiriUSM2024 #LGE2024 #JFDATA
Aidha, TAMISEMI imesema Vitongoji 37 havikufanya Uchaguzi kwasababu mbalimbali ikiwemo Kufariki kwa Wagombea wa Vitongoji 8. Vitongoji 12 vitarudia Uchaguzi kutokana na Matokeo kufungana, vingine 9 vitarudia kutokana na Wagombea kutopata Kura za Kutosha
Soma https://jamii.app/MatokeoLGE2024
#JamiiForums #JFDemokrasia #Governance #SerikaliZaMitaa2024 #YanayojiriUSM2024 #LGE2024 #JFDATA
❤1
#DEMOKRASIA: Kwa mujibu wa Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaliyotangazwa na Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa nafasi za Mwenyekiti wa Kitongoji, CCM imetangazwa kupata 98.26% ya Kura zote zilizopigwa Novemba 27, 2024
Aidha, TAMISEMI imesema Vitongoji 37 havikufanya Uchaguzi kwasababu mbalimbali ikiwemo Kufariki kwa Wagombea wa Vitongoji 8. Vitongoji 12 vitarudia Uchaguzi kutokana na Matokeo kufungana, vingine 9 vitarudia kutokana na Wagombea kutopata Kura za Kutosha
Soma https://jamii.app/MatokeoLGE2024
#JamiiForums #JFDemokrasia #Governance #SerikaliZaMitaa2024 #YanayojiriUSM2024 #LGE2024 #JFDATA
Aidha, TAMISEMI imesema Vitongoji 37 havikufanya Uchaguzi kwasababu mbalimbali ikiwemo Kufariki kwa Wagombea wa Vitongoji 8. Vitongoji 12 vitarudia Uchaguzi kutokana na Matokeo kufungana, vingine 9 vitarudia kutokana na Wagombea kutopata Kura za Kutosha
Soma https://jamii.app/MatokeoLGE2024
#JamiiForums #JFDemokrasia #Governance #SerikaliZaMitaa2024 #YanayojiriUSM2024 #LGE2024 #JFDATA
👍1
#DEMOKRASIA: Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaliyotangazwa na Ofisi ya Rais-TAMISEMI yameonesha Vyama 7 vya Upinzani vimepata Wajumbe 1,580 wa Halmashauri za Kijiji huku CCM ikipata nafasi 229,075
Idadi hiyo kwa ujumla ni kati ya nafasi 230,834 zilizokuwa zikigombewa na Vyama 19 vya Siasa vilivyoshiriki Uchaguzi huo Novemba 27, 2024.
Soma https://jamii.app/MatokeoLGE2024
#JamiiForums #JFDemokrasia #Governance #SerikaliZaMitaa2024 #YanayojiriUSM2024 #LGE2024 #JFDATA
Idadi hiyo kwa ujumla ni kati ya nafasi 230,834 zilizokuwa zikigombewa na Vyama 19 vya Siasa vilivyoshiriki Uchaguzi huo Novemba 27, 2024.
Soma https://jamii.app/MatokeoLGE2024
#JamiiForums #JFDemokrasia #Governance #SerikaliZaMitaa2024 #YanayojiriUSM2024 #LGE2024 #JFDATA
DEMOKRASIA: Takwimu za Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 zilizotangazwa na Ofisi ya Rais-TAMISEMI zinaonesha kati ya nafasi 332,315 zilizokuwa zikigombewa, CCM imepata nafasi 329,314
Aidha, kwa mujibu wa TAMISEMI matokeo hayo yanatokana na Wapiga Kura 26,963,182 walioshiriki Uchaguzi huo uliofanyika Novemba 27, 2024 ambao ni sawa na 86.36% ya Wananchi waliokuwa na sifa ya Kupiga Kura.
Mdau, una maoni gani kuhusu Matokeo na Uchaguzi wote kwa ujumla?
Soma https://jamii.app/MatokeoLGE2024
#JamiiForums #JFDemokrasia #Governance #SerikaliZaMitaa2024 #YanayojiriUSM2024 #LGE2024 #JFDATA
Aidha, kwa mujibu wa TAMISEMI matokeo hayo yanatokana na Wapiga Kura 26,963,182 walioshiriki Uchaguzi huo uliofanyika Novemba 27, 2024 ambao ni sawa na 86.36% ya Wananchi waliokuwa na sifa ya Kupiga Kura.
Mdau, una maoni gani kuhusu Matokeo na Uchaguzi wote kwa ujumla?
Soma https://jamii.app/MatokeoLGE2024
#JamiiForums #JFDemokrasia #Governance #SerikaliZaMitaa2024 #YanayojiriUSM2024 #LGE2024 #JFDATA
ENGLAND: Cole Palmer (22) amekuwa Mchezaji wa Pili wa #Chelsea kufunga Magoli 30 katika timu hiyo ndani ya muda mfupi kwenye Ligi Kuu ya England (#PremierLeague)
Amefikisha idadi hiyo alipocheza mechi yake ya 60 akiwa Chelsea tangu aliposajiliwa kwa Pauni Milioni 40 (Takriban Tsh. Bilioni 133.7) kutoka Manchester City msimu uliopita
Soma https://jamii.app/EPLStatsChelsea
#JFSports #JFDATA #JFEPL24 #JamiiForums

RIPOTI: Taasisi ya Takwimu za Matukio ya Mahali Penye Migogoro ya Kijeshi (ACLED) imezitaja Nchi 10 za Afrika zilizokabiliwa na Migogoro iliyosababishwa na Vurugu za Kisiasa ambapo kwa Afrika, nchi ya Nigeria imeongoza huku ikiwa nafasi ya 5 kwa Nchi zote Duniani
Nchi za Afrika Mashariki zilizoonekana kusumbuliwa zaidi na Vurugu hizo ni DR-Congo (1), Somalia (2), Kenya (3) na Sudan Kusini (4). Aidha, katika orodha hiyo Tanzania imetajwa katika nafasi ya 23 Barani Afrika na 63 kwa nchi zote Duniani
Kwa mujibu wa ACLED, Nchi zilizofanya Uchaguzi Mwaka 2024 zimeshuhudia ongezeko la takriban 63% ya matukio ya Vurugu za Kisiasa ikilinganishwa na 21% matukio hayo katika Nchi ambazo hazikuwa kwenye vipindi vya Uchaguzi.
Soma https://jamii.app/ACLEDReport
#JamiiForums #Governance #HumanRights #AfricanPolitics #AfricanElections #JFDATA

ELIMU: Januari 4, 2025, Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) lilitangaza Matokeo ya Mtihani wa Upimaji wa Kitaifa kwa Kidato cha Pili ambapo lilisema Wanafunzi 116,251 (14.69%) wamepata Daraja 0
Pia, katika matokeo hayo, NECTA imefuta matokeo ya Wanafunzi 41 waliofanya udanganyifu na Wanafunzi 5 walioandika matusi kwenye Mitihani yao
Aidha, Shule 27 (0.46%) zimepata Daraja F katika Makundi ya Umahiri kwa Mwaka 2024 na Shule 155 kati ya 5,900 zimepata ufaulu wa Daraja A (2.63%).
Soma https://jamii.app/MatokeoSTD4FII
#JamiiForums #Governance #JFHakiElimu #Accountability #JFDATA

ELIMU: Januari 4, 2025, Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) lilitangaza kufuta matokeo ya Wanafunzi 100 waliofanya udanganyifu na watano walioandika Matusi kwenye Mitihani ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la 4
Pia, Matokeo yaliyotangazwa na NECTA yalionesha Wanafunzi 210,578 (13.76%) ya waliofanya Mtihani huo wamepata Daraja E
Aidha, Masomo ya Lugha kwa upande wa Somo la 'English Language' ufaulu wake umeshuka kwa 3.68% kulinganisha na ufaulu wa mwaka 2023.
Soma https://jamii.app/MatokeoSTD4FII
#JamiiForums #Governance #JFHakiElimu #Accountability #JFDATA
Pia, Matokeo yaliyotangazwa na NECTA yalionesha Wanafunzi 210,578 (13.76%) ya waliofanya Mtihani huo wamepata Daraja E
Aidha, Masomo ya Lugha kwa upande wa Somo la 'English Language' ufaulu wake umeshuka kwa 3.68% kulinganisha na ufaulu wa mwaka 2023.
Soma https://jamii.app/MatokeoSTD4FII
#JamiiForums #Governance #JFHakiElimu #Accountability #JFDATA
ENGLAND: Mshambuliaji Erling Haaland (24) amesaini mkataba mpya ambao utamwezesha kubaki katika Klabu ya Manchester City hadi Mwaka 2034, ambapo atalipwa Pauni 500,000 kwa wiki kutoka Pauni 375,000 kwa wiki alizokuwa akilipwa katika mkataba uliopita
Soma https://jamii.app/HaalandContract
#JFSports #JFDATA #JamiiForums
Soma https://jamii.app/HaalandContract
#JFSports #JFDATA #JamiiForums
❤1
Idadi ya Utumiaji wa Intaneti imeongezeka kwa 16% kutoka Milioni 41.4 kwa robo mwaka iliyoishia Septemba 2024 hadi Milioni 48 kwa robo ya mwaka iliyoishia Desemba 2024.
Idadi ya utumiaji wa intaneti inatokana na laini/waya ambazo zimetumia huduma hiyo angalau mara moja katika kipindi cha miezi mitatu
Aidha, kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita, Utumiaji wa Intaneti umeongezeka kutoka 26,078,506 kwa mwaka 2020 hadi 48,028,227 kwa mwaka 2024
Soma https://jamii.app/IntanetiData
#JamiiForums #JFData #JamiiAfrica #Internet

MICHEZO: Msimu wa 2024/2025 unaendelea katika Ligi mbalimbali, hizi ni baadhi ya namba zilizotengenezwa na Timu na Wachezaji katika siku za hivi karibuni kwa mujibu wa Tovuti ya Squawka
Soma https://jamii.app/TakwimuUlaya
#JFSports #JFDATA #JamiiForums
Soma https://jamii.app/TakwimuUlaya
#JFSports #JFDATA #JamiiForums
👍1
MICHEZO: Goli alilofunga Conor Gallagher dhidi ya Real Madrid (Machi 12, 2025) katika sekunde ya 27 ndilo Goli la haraka zaidi kufungwa na Mchezaji Muingereza katika Champions League, na ndilo goli la mapema zaidi kufungwa katika historia ya Atlético Madrid
Soma https://jamii.app/StatsMarch
#JFSports #JamiiForums #JFDATA
Soma https://jamii.app/StatsMarch
#JFSports #JamiiForums #JFDATA
👍1
Akizungumza katika Mkutano wa Wadau kujadili mchango wa Sekta ya Habari katika kufanikisha Uchaguzi Mkuu wa 2025, Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Doto Biteko amesema Vyombo vya Habari vimekuwa chanzo cha ajira kwa Watu katika upande wa Magazeti, Redio, Vyombo vya Habari vya Mtandaoni, Runinga pamoja na 'Blogs'
Zaidi soma https://jamii.app/WadauWaHabari
#PressFreedom #JamiiForums #JamiiAfrica #Democracy #KuelekeaUchaguzi2025 #JFDATA #UhuruWaHabari

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa Wadau wa Sekta ya Habari na wengine kuwa kuelekea wakati wa Uchaguzi Mkuu kuwe na kuvumiliana na kukubali kuwapa nafasi Watu kutoa mawazo yao
Amesema hayo wakati wa Mkutano wa Wadau kujadili mchango wa Sekta ya Habari katika kufanikisha Uchaguzi Mkuu wa 2025, ambapo pia amepata nafasi ya kuzindua Mfumo wa Vitambulisho kwa Waanahabari katika mfumo wa Kitigitali kupitia TAI-Habari, leo Julai 9, 2025
Zaidi soma https://jamii.app/WadauWaHabari
#PressFreedom #JamiiForums #JamiiAfrica #Democracy #KuelekeaUchaguzi2025 #JFDATA

JFKUMBUKIZI: Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 uliofanyika Oktoba 28, 2020 upande wa Urais yalitangazwa na Wilson Mahera Charles (aliyekuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi - NEC) yalionesha nafasi tatu za juu zilishikwa na John Magufuli alishinda kwa kupata Asilimia 84, akifuatiwa na Tundu Lissu 13% na Bernand Membe 05%.
Kufuatilia zaidi bofya https://jamii.app/MatokeoUchaguzi20
#JamiiAfrica #JamiiForums #JFKumbukizi #Siasa #UtawalaBora #JFDATA #Uchaguzi2020

❤3👎1