Kukataa kutoa Rushwa si uamuzi rahisi. Watu wengi wanaweza kujikuta katika hali ngumu ya kuchagua kati ya kukataa Rushwa na mahitaji yao ya msingi au fursa za kuboresha Maisha yao. Lakini Mfumo wa Sheria na Utawala katika Nchi unaweza kuwa na mapungufu, hivyo kuleta changamoto kubwa kwa Watu kushikilia msimamo wa kukataa kutoa Rushwa
Jamii inayoelewa umuhimu wa Maadili na #Uwajibikaji, Watu wanaokataa kutoa Rushwa wanaweza kuchukuliwa kama waanzilishi wa Mabadiliko chanya. Kwa kushikilia Maadili na kusimama imara dhidi ya Mfumo wa Rushwa, wanaweza kuwa mfano bora kwa wengine
Mjadala zaidi https://jamii.app/KukataaRushwa
#JamiiForums #KemeaRushwa #SerikaliBilaRushwa #Corruption

😁4👍3👏1
Vijana ni Nishati ya Taifa, Wao ni chanzo cha Fahari na Matumaini kwa Nchi husika ila ikitokea Nishati hiyo isipotumiwa Vizuri na kuongozwa kwa Uadilifu, inaweza kuwa hatari kwa Jamii
Vijana huathiriwa zaidi na Athari za Ufisadi na Rushwa katika Taifa ikiwemo kukatishwa tamaa kutokana na kutokuwepo kwa Usawa na Maadili mabovu katika Jamii, ukosefu wa Fursa za Kiuchumi na Ajira.
Soma https://jamii.app/VijanaNishatiRushwa
#JamiiForums #KemeaRushwa #Corruption #YouthVoices #Accountability

👍2