#COVID19: IFAHAMU CHANJO AINA YA #SINOPHARM
Chanjo hii imethibitishwa na WHO kuwa ni salama kukinga #CoronaVirus kwa Watu wenye miaka 18 na zaidi
Inatolewa kwa Dozi mbili ambapo Dozi ya pili hutolewa siku 21 - 28 baada ya Dozi 1
Soma - https://jamii.app/FahamuChanjo
#UVIKO3

CHANJO ZA COVID-19 HAZIATHIRI UCHANGIAJI WA DAMU
Wataalamu wa Afya wanasema kuchanja dhidi ya #CoronaVirus hakukuzuii kuchangia au kuchangiwa damu
Chanjo inajenga kinga mwili lakini mchanganyo wa dawa haubaki kwenye damu
Soma - https://jamii.app/ChanjoDamu

IFAHAMU CHANJO AINA YA #MODERNA
imethibitishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) kuwa ni salama kukinga #CoronaVirus kwa Watu wenye miaka 18 na zaidi
Inatolewa kwa Dozi mbili ambapo Dozi ya pili hutolewa siku 28 baada ya Dozi ya kwanza
Soma - https://jamii.app/FahamuChanjo
#UVIKO3
imethibitishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) kuwa ni salama kukinga #CoronaVirus kwa Watu wenye miaka 18 na zaidi
Inatolewa kwa Dozi mbili ambapo Dozi ya pili hutolewa siku 28 baada ya Dozi ya kwanza
Soma - https://jamii.app/FahamuChanjo
#UVIKO3
Yanayojiri katika Mjadala na ambao bado hawajapata Chanjo ya #COVID19 unaoendelea Clubhouse
#JamiiForums #UVIKO3 #CoronaVirus
#JamiiForums #UVIKO3 #CoronaVirus
IFAHAMU CHANJO AINA YA #ASTRAZENECA
Imethibitishwa na Shirika la Afya (WHO) kuwa salama kukinga #CoronaVirus kwa Watu wenye miaka 18 na zaidi
Inatolewa kwa Dozi mbili ambapo Dozi ya pili hutolewa wiki 8 mpaka 12 baada ya Dozi ya kwanza
Soma - https://jamii.app/FahamuChanjo
#UVIKO3
Imethibitishwa na Shirika la Afya (WHO) kuwa salama kukinga #CoronaVirus kwa Watu wenye miaka 18 na zaidi
Inatolewa kwa Dozi mbili ambapo Dozi ya pili hutolewa wiki 8 mpaka 12 baada ya Dozi ya kwanza
Soma - https://jamii.app/FahamuChanjo
#UVIKO3
CHANJO ZA COVID-19 HAZIATHIRI NGUVU ZA KIUME
Ripoti iliyotolewa na Taasisi inayojihusisha na Uandishi wa Makala za Afya Marekani (JAMA) inasema Chanjo haiingilii Mfumo wa Uzazi wa Mwanaume, bali hujenga Mfumo wa Kingamwili
Soma - https://jamii.app/ChanjoNguvuKiume
#UVIKO3 #CoronaVirus

COVID-19 HAISAMBAZWI NA TEKNOLOJIA YA 5G
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Virusi vya Corona haviwezi kusambaa kupitia mawimbi ya redio au simu
Tayari #CoronaVirus imeenea katika Nchi nyingi ambazo hazina mitandao ya simu ya 5G
Soma - https://jamii.app/Corona5G

UHOLANZI: Serikali ya Uholanzi imeanza kupeleka Wagonjwa wa #CoronaVirus Nchini Ujerumani kutibiwa ili kupunguza msongamano unaozizonga Hospitali zake
Idadi ya Wagonjwa imeongezeka sana kwa kiwango ambacho hakijawahi kuonekana tangu Mei
Soma - https://jamii.app/CovidRiseNether

MANYARA: ELIMU YA COVID-19 KUTOLEWA NYUMBA KWA NYUMBA
Mratibu wa Chanjo ya #CoronaVirus Mkoani humo, Suleiman Manoza amesema mwamko wa Chanjo ni mdogo
Wameiomba Wizara ya Afya kuwapatia Chanjo ya #Janssen ambayo inatolewa mara moja
Soma - https://jamii.app/DoorToDoor

FUATILIA TAARIFA ZA KIRUSI CHA OMICRON KUTOKA VYANZO SAHIHI
Jamii inashauriwa kupata taarifa za #CoronaVirus pamoja na Kirusi kipya kwa Wataalamu wa Afya na vyanzo vinavyoaminika
Usisambaze taarifa mpya mpaka ujiridhishe imethibitishwa
Soma - https://jamii.app/TaarifaChanjo

ISRAEL YATANGAZA KISA CHA KWANZA CHA 'FLURONA'
Mwanamke Mjamzito ambaye hajapata Chanjo ya Corona amekutwa na mchanganyiko wa Mafua (Flu) na #CoronaVirus
Mchanganyiko huo umetajwa kuwa hatari kwani Maradhi yote yanaathiri Mfumo wa Upumuaji
Soma https://jamii.app/IsraelFlurona
#UVIKO3 #JFAfya

RIPOTI: MATAJIRI WATAJIRIKA ZAIDI WAKATI WA COVID-19
Shirika la Oxfam lasema utajiri wa Mabilionea 10 wakubwa zaidi umeongezeka maradufu wakati wa #CoronaVirus
Mapato ya chini ya Mataifa masikini zaidi yalichangia vifo vya watu 21,000 kila siku
Soma - https://jamii.app/OxfamReport
#JFMatukio

ATHARI ZA COVID-19 KWENYE SEKTA YA ELIMU
#CoronaVirus imeathiri Sekta ya Elimu Duniani kote, na masomo ya takriban Wanafunzi Bilioni 1.6 wa Shule na Vyuo yaliathiriwa mwanzoni mwa mlipuko huo
Watoto kutoka Familia za chini hawakupata nafasi ya kuendelea na Masomo yao kama wengine kutokana na changamoto za Umeme na Vifaa vya kielektroniki
Soma - https://jamii.app/WorldEduDay
#EducationDay #JFElimu

NORWAY YAONDOA VIZUIZI VYA #COVID19
Waziri Mkuu asema raia wake wanalindwa vyema kwa Chanjo ya #CoronaVirus
Watu hawatolazimika kuvalia Barakoa ktk maeneo ya Umma wala kukaa umbali wa Mtu na Mtu. Watakaoathirika watakaa Nyumbani siku 4 tu
Soma - https://jamii.app/NoCoronaNorway

NCHI TATU ZA AFRIKA KUPEWA VIFAA VYA KUZALISHA CHANJO
Kampuni ya BioNTech na #Pfizer zitaleta Vifaa vya kutengeneza Chanjo #Rwanda, Senegal na Afrika Kusini Julai 2022
Vitawezesha utengenezaji wa Chanjo ya #CoronaVirus, #Malaria na Kifua Kikuu
Soma - https://jamii.app/VifaaChanjo
#JFAfya

AFRIKA KUSINI KUHARIBU DOZI 100,000 ZA CHANJO YA PFIZER
Afrika Kusini imerekodi idadi kubwa ya Maambukizi na vifo vya #CoronaVirus katika Bara la Afrika, hata hivyo utoaji Chanjo umepungua huku Nchi ikiwa na akiba ya kutosha ya dozi milioni 25
Soma - https://jamii.app/ExpireVaccineSA

Idara ya Taifa ya kusimamia Maafa haikuweza kutumia Tsh. Bilioni 4.31 ambazo zilichangwa na Wadau mbalimbali ili kukabiliana na janga la #CoronaVirus kwa kuwa haikupata maelekezo kutoka Mamlaka zinazohusika
#JamiiForums #Accountability #JFUwajibikaji #WAJIBU

HASARA NDANI YA KENYA AIRWAYS: SERIKALI KUPUNGUZA WAFANYAKAZI, SAFARI
Shirika la Ndege la Kenya (KQ) litafanya mabadiliko ya kiutendaji kutokana na hasara iliyoletwa na #CoronaVirus
Shirika hilo limetajwa kujiendesha kwa hasara Miaka Miwili Mfululizo
Soma - https://jamii.app/HasaraKenyaAirways

COVID-19: CHINA YAREJESHA LOCKDOWN BAADA YA MAAMBUKIZI KUONGEZEKA
Hatua kadhaa za 'Lockdown' zimewekwa katika Miji mikubwa ya #Beijing na #Shanghai ili kudhibiti Milipuko
Maambukizi ya #CoronaVirus Nchini China yalianza kuongezeka Mwezi Machi
Soma - https://jamii.app/ChinaCOVID

RUSHWA AFRIKA: Kumekuwepo upotoshaji mkubwa wa Taarifa na ukosefu wa Uwazi katika jinsi Nchi Wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) zimetumia Rasilimali Fedha za COVID-19
Fedha zilizotengwa kukabiliana na athari za #CoronaVirus katika Mataifa mbalimbali Barani Afrika zinawanufaisha Raia?
Soma - https://jamii.app/RushwaBaraniAfrika
#AfricaAgainstCorruption #KemeaRushwa