JamiiForums
52.5K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Kwa mujibu wa Mtandao wa ngumi za Kulipwa wa Dunia (#Boxrec), Bondia Hassan Mwakinyo amefungiwa na Bodi ya Ngumi za Kulipwa Uingereza (BBBC) kupigana Nchini humo ila sababu haijawekwa wazi

Haijawekwa wazi Marufuku hiyo ni ya muda gani

Zaidi - https://jamii.app/MwakinyoAfungiwa

#JFSports
👍10🤔7👏2😁2👎1
NDONDI: Bingwa wa Mkanda wa WBC Afrika, Fadhili Majiha 'Kiepe Nyani' amekuwa bondia wa kwanza wa #Tanzania kupata hadhi ya nyota Nne na 4.5 akivunja rekodi ya #HassanMwanyiko na #TonyRashid katika Mtandao wa #Boxrec

Majiha amefikia kiwango hicho wiki moja baada ya kushinda kwa pointi dhidi ya Bongani Mahlangu wa Afrika Kusini, pia anashika nafasi ya 7 kati ya 1,056 uzani wa Bantam

Mwakinyo ndiye bondia wa kwanza Nchini kufikia Hadhi ya Nyota 4, kwa sasa ana nyota 2 (Super Walter), Tony Rashid ana nyota 2.5 (Super Bantam)

Soma https://jamii.app/RekodiZaNdondi

#Sports #Boxing #JamiiForums
👍7