JamiiForums
52.4K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Mamlaka katika eneo lililojitenga la Somalia liitwalo Somaliland, zimesitisha shughuli za #BBC zikiishutumu kwa kudhoofisha uaminifu wa Taifa hilo

#Somaliland ilitangaza uhuru kutoka kwa Somalia ktk ya Vita ya Wenyewe kwa Wenyewe mwaka 1991

Soma https://jamii.app/BBCSomaliland

#PressFreedom
👍8🤔5😁1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
NIGERIA: BBC YAIBUA MADAI YA UKATILI WA KINGONO DHIDI YA MAREHEMU NABII TB. JOSHUA

Kwa mujibu wa Uchunguzi ulioripotiwa na BBC, imedaiwa kuwa Kiongozi huyo wa Kanisa la Sinagogi la Mataifa Yote (#SCOAN) aliwanyanyasa Kingono na Kimwili baadhi ya Waumini wake ikiwemo Kuwapiga na Kuwafunga na Minyororo

Zaidi ya Watumishi na Waumini 25 wa Kiongozi huyo waliohojiwa na #BBC kutoka Mataifa ya Uingereza, Nigeria, Marekani, Afrika Kusini, Ghana, Namibia na Ujerumani wamedai walianza kufanyiwa vitendo hivyo wakiwa na umri kati ya Miaka 17 na 25 na wengine kulazimika kutoa Ujauzito zaidi ya mara 5

Kabla ya Kifo chake Mwaka 2021, Marehemu #TBJoshua alikuwa akitajwa miongoni mwa Wahubiri wenye ushawishi mkubwa Duniani huku akijizolea wafuasi wengi kupitia Vipindi vya Runinga vya Emmanuel TV

Soma https://jamii.app/TBJoshua

#JamiiForums #Accountability #SocialJustice #HumanRights #JFMatukio #JFSC
👍31