KENYA: WATU 279 WAONESHA DALILI MBAYA BAADA YA CHANJO YA COVID19, MMOJA AFARIKI
> Bodi ya Famasia na Sumu (PPB) ya #Kenya imeanza uchunguzi wa kifo na majibu yatatoka Aprili 9, 2021
> Wakenya 370,000 wameshapatiwa chanjo ya #Astrazeneca
Soma https://jamii.app/ChanjoKenya

KENYA: RUTO ATETEA UAMUZI WA KUPATA CHANJO YA SPUTNIK-V
- Naibu Rais William Ruto amesema Viongozi wengine akiwemo Rais Uhuru Kenyatta walipoamua kupata Chanjo ya #AstraZeneca, inawezekana kuna mtu alisahau kumpa mwaliko wa tukio hilo
Soma > https://jamii.app/RutoSputnikV

DR-CONGO YAANZA KUTOA CHANJO YA CORONA
> Taifa hilo limepokea Dozi Milioni 1.7 za Chanjo ya #AstraZeneca na wameanza kutoa kwa hiari kwa raia
> Awali utoaji chanjo hiyo ulisitishwa baada ya mataifa mengine kushuku usalama na ufanisi wake
Soma https://jamii.app/ChanjoDRC

MALAYSIA: #ASTRAZENECA KUTOLEWA KWA WENYE MIAKA 60 NA ZAIDI
- Mamlaka zasema Chanjo hiyo ni salama kutumika. Maafisa wanapitia taarifa kabla haijaidhinisha kwa Vijana
- Nchi kadhaa zimesitisha au kudhibiti utoaji kutokana na ripoti za ugandaji damu
Soma https://jamii.app/AstraZMalaysia

DRC: UMOJA WA MATAIFA WACHUKUA DOZI MILIONI 1.3 ZA COVID19 ILI ZISIISHE MUDA WA MATUMIZI
> Chanjo ya #Astrazeneca iliyopokelewa DRC itaisha muda wa matumizi Juni 24
> UNICEF imechukua dozi hiyo ili kuzipeleka #Senegal, Comoros, #Ghana na Angola
Soma - https://jamii.app/DRCChanjoUN

UMOJA WA ULAYA HAUJAONGEZA MKATABA WA KUPATA CHANJO YA ASTRAZENECA
Mkataba wa Umoja wa Ulaya (EU) na #AstraZeneca utaisha mwezi Juni
> Mei 8, Kamisheni ya EU iliingia makubaliano ya hadi 2023 na BioNTech/Pfizer ya ununuzi wa dozi za nyongeza
Soma https://jamii.app/AstrazenecaVsEU

MALAWI: CHANJO 19,000 ZA #COVID19 ZILIZOISHA MUDA WA MATUMIZI KUHARIBIWA
Mamlaka za Afya zitaharibu dozi 19,000 za #AstraZeneca ambazo zimeisha muda wa matumizi
Maafisa wasema kutumia chanjo iliyopita muda itawaoongezea woga raia
Soma - https://jamii.app/MalawiChanjo

KENYA KUPOKEA DOZI 72,000 ZA #ASTRAZENECA KUTOKA SUDAN KUSINI
Chanjo zilirejeshwa ktk Mpango wa COVAX baada ya Sudan Kusini kushindwa kuzigawa kabla muda wa matumizi haujaisha
Wakenya wengi wamekuwa na wasiwasi kutokana na kutopata Chanjo ya pili
Soma > https://jamii.app/AstraZenecaKE

RWANDA: DOZI YA PILI YA ASTRAZENECA YAANZA KUTOLEWA
#Rwanda imeanza kutoa dozi ya pili ya #AstraZeneca kwa watu ambao walipata dozi ya kwanza ili kukamilisha dozi
> Rwanda imesifiwa kuwa mstari wa mbele ktk kupambana na #COVID19 kwa nchi za Afrika
Soma https://jamii.app/RwandaChanjo

DR CONGO: HOSPITALI ZA KINSHASA ZALEMEWA NA MAAMBUKIZI YA #COVID19
Taifa hilo limerekodi visa takriban 35,000 na vifo 830
Kampeni ya Chanjo ilichelewa kwa zaidi ya mwezi mmoja kutokana na hofu juu ya athari za #AstraZeneca
Soma > https://jamii.app/HospKinshasa
#UVIKO3

UGANDA KUPOKEA DOZI 175,200 ZA CHANJO YA #ASTRAZENECA
Dozi hizo zilitolewa na Ubalozi wa Ufaransa chini ya Programu ya COVAX
#Uganda iliyoripoti ongezeko la maambukizi ya Corona hivi karibuni pia inakabiliwa na uhaba wa Oxygen
Soma > https://jamii.app/AstraZenecaUG

KENYA: UTOAJI CHANJO YA #COVID19 WAATHIRI UCHANGIAJI DAMU
Huduma za uchangiaji Damu Nchini #Kenya zimeathiriwa kutokana na masharti kwa waliopokea Dozi 1 au zote za #AstraZeneca kutakiwa kusubiri kwa angalau siku 7 kabla ya kuchangia Damu
Soma - https://jamii.app/CoronaDamuKE

WALIOCHOMA ASTRAZENECA YA INDIA HAWATAPEWA PASI YA KUINGIA ULAYA
Umoja wa Ulaya umesema unaitambua Chanjo ya #AstraZeneca toleo la Vaxzevria inayotengenezwa Ulaya
> AstraZeneca ya India imetolewa kwa Nchi za Kipato cha Chini na Kati
Soma https://jamii.app/AstrazenecaYaIndia

KENYA YAAZIMIA KUCHANJA WATU WOTE IFIKAPO DESEMBA 2022
Wakenya milioni 1.04 hadi sasa wamepata Dozi ya Kwanza ya #AstraZeneca, huku wanaotakiwa kuchomwa ni milioni 26
> Watu 416,000 wanaweza kuchomwa Chanjo ya #Pfizer kama Dozi ya Pili
Soma https://jamii.app/2022Chanjo

CHANJO YA JOHNSON & JOHNSON YAIDHINISHWA INDIA
Mbali na #JohnsonAndJohnson Mamlaka za Afya Nchini humo zimeidhinisha Chanjo kadhaa ikiwemo #AstraZeneca
India imekuwa ikirekodi wastani wa Visa vipya 30,000 hadi 40,000 kwa siku tangu Julai
Soma > https://jamii.app/JohnsonIndia

#UGANDA: WANAFUNZI WA AFYA KUPEWA KIPAUMBELE KATIKA CHANJO
Serikali imefanya hivyo ili kuwezesha Taasisi za Utoaji Elimu ya Afya kufunguliwa
Zoezi la chanjo linarejea baada ya dozi 300,000 za #Sinovac na 286,080 za #AstraZeneca kupokelewa
Soma https://jamii.app/UGChanjo

DR CONGO YAPOKEA DOZI 250,000 ZA #MODERNA
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inatajwa katika nchi zenye upinzani mkubwa wa chanjo. Watu chini ya 100,000 wamepata chanjo tangu Aprili 2021
Awali, Taifa hilo lilikuwa linapokea #AstraZeneca
Soma - https://jamii.app/ModernaDRC

IFAHAMU CHANJO AINA YA #ASTRAZENECA
Imethibitishwa na Shirika la Afya (WHO) kuwa salama kukinga #CoronaVirus kwa Watu wenye miaka 18 na zaidi
Inatolewa kwa Dozi mbili ambapo Dozi ya pili hutolewa wiki 8 mpaka 12 baada ya Dozi ya kwanza
Soma - https://jamii.app/FahamuChanjo

UGANDA KUHARIBU DOZI ZAIDI 400,000 ZILIZOISHA MUDA
Kasi ndogo ya utoaji Chanjo dhidi ya #COVID19 imesababisha Chanjo za Moderna na #AstraZeneca kuisha muda wa matumizi
Dozi 12,220,106 zimetolewa hadi sasa. Uganda imerekodi Vifo 3,378
Soma - https://jamii.app/DoziLakiNne
#UVIKO3 #JFAfya

KENYA: Wizara ya Afya nchini humo imetangaza kuisha kwa muda wa matumizi kwa zaidi ya dozi 800,000 za #COVID19 aina ya #AstraZeneca
> Wizara hiyo imesema kuanzia sasa itakuwa inapokea dozi zenye miezi 4 kabla ya muda wa kuisha matumizi
Soma https://jamii.app/Kenya800k
#JamiiForums