JamiiForums
52.5K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
CAF: YANGA YASONGA MBELE KWA KISHINDO, YASHINDA 5-1

Yanga imepata ushindi huo dhidi ya ASAS ya #Djibouti katika mchezo wa Hatua ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye Uwanja wa Azam Complex Jijini Dar es Salaam

Kwa matokeo haya #Yanga imesonga mbele kwa magoli 7-1 kwa kuwa katika mchezo wa kwanza baina ya timu hizo ilishinda 2-0

Raundi ya Pili, Yanga inatarajiwa kucheza dhidi ya #AlMerrikh ya #Sudan

Soma https://jamii.app/Yanga5ASAS1

#JFSports #CAFCL #JamiiForums
👍3🔥21
#Yanga imepata ushindi wake dhidi ya #AlMerrikh ya #Sudan kwenye Uwanja wa Pele Nchini #Rwanda wakati Simba imetifuana na #PowerDynamos ya #Zambia kwenye Uwanja wa Levy Mwanawasa
-
Timu hizo zinatarajiwa kurudiana wiki mbili zijazo Nchini Tanzania ambapo timu zitakazofanya vizuri hatua hiyo zitaingia Hatua ya Makundi

Soma https://jamii.app/CAFSept16

#JFSports #CAF #JamiiForums
👍6😁1😢1