This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (#CHADEMA), John Mrema, amesema hawana mpango wa kujitoa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 licha ya kudai kumekuwa na changamoto nyingi zinazokandamiza Chama chao
Soma https://jamii.app/CHADEMAPressNov8
#Kuelekea2025 #Siasa #JamiiForums
Soma https://jamii.app/CHADEMAPressNov8
#Kuelekea2025 #Siasa #JamiiForums
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kitaendelea kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hata kama Wagombea wao wote wataenguliwa kuelekea kwenye Uchaguzi huo
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema, leo Novemba 8, 2024, katika Mkutano na Waandishi wa Habari
Soma https://jamii.app/CHADEMAPressNov8
#Kuelekea2025 #Siasa #JamiiForums
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema, leo Novemba 8, 2024, katika Mkutano na Waandishi wa Habari
Soma https://jamii.app/CHADEMAPressNov8
#Kuelekea2025 #Siasa #JamiiForums
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Fahamu Masharti ya Mkataba wa Faragha wa Wageni waliokuwa wakihudhuria Sherehe za P. Diddy maarufu 'Diddy Party'
Kwa sasa P Diddy yupo katika gereza la MDC Brooklyn, New York akisubiri kesi yake kusikilizwa ambapo baadhi ya makosa yanayomkabili ya biashara haramu ya ngono, uhalifu na Unyanyasaji wa Kijinsia
Soma https://jamii.app/NDADiddyParties
#JamiiForums #trendingvideos

DAR: Mdau wa JamiiForums.com ameshauri Mamlaka husika kutolea ufafanuzi wa utaratibu wa kulipia malipo ya taka katika Kata ya Yombo Vituka, kwani imekuwa kero kwa wakazi wa eneo hilo
Soma https://jamii.app/UtaratibuUlipajiTaka
#JamiiForums #Accountability #ServiceDelivery
Soma https://jamii.app/UtaratibuUlipajiTaka
#JamiiForums #Accountability #ServiceDelivery
Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa Wanawake kuwania nafasi za uwakilishi katika Majimbo ikiwemo Kugombea Ubunge na nafasi nyinginezo
Anasema ushiriki wa Wanawake kwenye nafasi zenye ushindani utasaidia kuonesha umahiri wao katika masuala muhimu ya Kijamii na hasa ya Kisiasa
Soma https://jamii.app/WanawakeKuingiaMajimbo
#JamiiForums #WomenInPolitics #WanawakeNaSiasa #WomenRights #JFWomen #Governance #Demokrasia #Democracy

MWANZA: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Uongozi wa Soko la Samaki na Dagaa katika Mwalo wa Mswahili, kuboresha usafi wa Mazingira katika Soko hilo, ili kuwaepusha Wafanyabiashara/Wateja na magonjwa ya kuambukiza kutokana na hali ya Uchafu iliyopo
Soma https://jamii.app/MwaloMswahiliUchafu
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji
Soma https://jamii.app/MwaloMswahiliUchafu
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji
Unakumbuka kituko gani ulichowahi kufanyiwa na Fundi Nguo?
Mjadala zaidi https://jamii.app/VitukoFundiNguo
#JamiiForums #JFStories #Maisha #JFChitChats
Mjadala zaidi https://jamii.app/VitukoFundiNguo
#JamiiForums #JFStories #Maisha #JFChitChats
Michakato ya Haki na Uwazi katika Uchaguzi ni mwanzo wa Maendeleo ya Nchi
Bila kutenda Haki ni ngumu kupata Viongozi wanaowajibika
Soma https://jamii.app/LGE2024CP
#JamiiForums #Governance #KiongoziSahihiMtaaImara #SerikaliZaMitaa2024 #CivilRights
Bila kutenda Haki ni ngumu kupata Viongozi wanaowajibika
Soma https://jamii.app/LGE2024CP
#JamiiForums #Governance #KiongoziSahihiMtaaImara #SerikaliZaMitaa2024 #CivilRights
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Akizungumza na waandishi wa Habari Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema amedai kuwa fomu za Wagombea wa Chama chao zimechezewa ili kuwakosesha sifa na vigezo vya kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Soma https://jamii.app/FomuKuchezewaWagombea
#JamiiForums #JFDemokrasia #Governance #CivilRights
Soma https://jamii.app/FomuKuchezewaWagombea
#JamiiForums #JFDemokrasia #Governance #CivilRights
DODOMA: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amesema Wagombea wote ambao hawajaridhishwa na Uteuzi wa Wagombea wa nafasi za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa waweke pingamizi ndani ya siku 2, kati ya Novemba 8 na 9, 2024
Waziri amesema pingamizi linaweza kuwasilishwa kwa Maandishi, Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi atalishughulikia pingamizi hilo na kutoa uamuzi ndani ya Siku 2 tangu alipolipokea
Ameongeza, iwapo Mgombea hatoridhika na uamuzi wa Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi juu ya pingamizi lake, ana haki ya kukata rufaa kwenye Kamati ya Rufaa ndani ya muda usiozidi Siku 4 baada ya uamuzi huo kutolewa. Maana yake Rufaa ziwasilishwe kuanzia Novemba 10-13, 2024
Soma https://jamii.app/MchengerewaPress
#JamiiForums #Siasa #Kuelekea2025 #Democracy #Governance