MDAU: WOGA ULIONAO KWA JAMBO LA KUSADIKIKA NI MKUBWA KULIKO JAMBO DHAHIRI
Mshiriki wa Shindano la 'JF Stories of Change' anasema Imani potofu dhidi ya Chanjo ya UVIKO-19 ni kutokana na woga, kukosa uelewa na kusikiliza propaganda
Anasema ili kuweza kufanya Maamuzi sahihi kwaajili yako na Jamii nzima ni vyema uwe na taarifa sahihi wakati wote bila kushawishika kwa kuogopeshwa na Watu wachache wanaohodhi taarifa
Msome - https://jamii.app/SCChanjoCorona
#UVIKO3 #StoriesOfChange

TANESCO: HAKUNA MGAO WA UMEME
Akiwa EFM, Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Maharage Chande amesema hakuna tatizo la mgao wa umeme kwa kuwa wanazalisha umeme kiwango cha juu
Matatizo ya kukatika kwa umeme yanatokana na eneo la Usambazaji
Soma - https://jamii.app/MgaoUmeme

Mifumo ya TEHAMA Serikalini inalenga kuongeza udhibiti wa makusanyo ya Fedha za Umma, ufanisi wa utoaji Huduma za Kijamii, kuongeza Mapato na kuleta tija katika Matumizi ya Fedha
Ukaguzi wa CAG ulibaini Mamlaka za Serikali za Mitaa 18 na baadhi ya Taasisi za Serikali hazina Sera na Mipango Mikakati ya Mifumo ya TEHAMA. Pia, Sera na Mipango Mikakati iliyopo haiendani na Kanuni za Fedha katika Taasisi zilizokaguliwa
Soma - https://jamii.app/SeraTehama
#JFUwajibikaji

CHADEMA KUTOSHIRIKI UCHAGUZI MDOGO WA NGORONGORO
Chama kimeandika barua kwa Tume ya Uchaguzi (NEC) kuitaarifu hakitoshiriki Uchaguzi mdogo wa Jimbo hilo na Kata 7
Kimesisitiza kuundwa Tume Huru ya Uchaguzi itakayohakikisha Chaguzi zinakuwa za Haki
Soma https://jamii.app/ChademaUchaguzi

VIPENGELE VINAVYOTAJWA KUWA CHANGAMOTO KATIKA DEMOKRASIA
(i) Kuongezeka kwa tofauti (Gap) za Kiuchumi na Kijamii miongoni mwa Wananchi: Sehemu nyingi Wananchi wana Haki ya kushiriki Uchaguzi lakini Matajiri ndio wana nafasi ya kushinda
(ii) Ufisadi na Uzembe: Katika Nchi nyingi za Kidemokrasia, Viongozi wa Kisiasa na Maafisa wa Serikali sio waaminifu
Soma - https://jamii.app/ChallengesDemocracy
#Democracy

👍1
ROMBO: Mwenyekiti wa Kitongoji cha Urua, Kijiji cha Mfuruashe, Agustine Moshi (35) amemuua mkewe Anastasia Augustine (31) kwa kumkata na kitu chenye ncha kali kisha kujinyonga
Sababu yatajwa kuwa ni wivu wa mapenzi
Soma - https://jamii.app/RomboWivu
Sababu yatajwa kuwa ni wivu wa mapenzi
Soma - https://jamii.app/RomboWivu
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Serikali imeanza mazungumzo na Wawekezaji wa Kampuni ya Equinor na Shell wanaotarajiwa kutekeleza Mradi wa Tsh. Trilioni 70 wa Uchimbaji gesi asilia Kusini mwa Tanzania
Soma https://jamii.app/GesiAsilia
Soma https://jamii.app/GesiAsilia
JE, WAJUA: Mgonjwa/Mtu anayetumia Dawa aina ya #Metronidazole (Flagyl) haruhusiwi kabisa kutumia Kilevi wakati anapotumia Dawa. Unashauriwa kuanza kutumia Pombe Siku 3 baada ya kumaliza Dozi
Mchanganyiko wa Dawa hii na Kilevi huweza kuleta Madhara kwa baadhi ya Watu ikiwemo kiungulia kikali, kutapika, kuongezeka kwa Mapigo ya Moyo, Maumivu makali ya Kichwa, Presha kushuka na hata Kifo
Soma - https://jamii.app/FlaglyKilevi
#Afya

Ungana nasi katika Mjadala huu utakaofanyika kupitia Clubhouse ya JamiiForums
#WAJIBU #JamiiForums #JFUwajibikaji #Accountability

ACT-WAZALENDO: KUSUSIA UCHAGUZI NI KUKIUKA KATIBA
Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Mkoani Njombe, Ally Mhagama asema #Katiba inatambua ushiriki wa Vyama ktk Uchaguzi kwa kushindana kwa hoja
Chama hicho kitashiriki Uchaguzi wa Udiwani Njombe Mjini
Soma https://jamii.app/KuziraUchaguzi

Kuelekea maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, kila mmoja katika Jamii anapaswa kutambua anao wajibu wa kukemea vitendo hivyo
Usawa wa Haki na Uwajibikaji ni muhimu ili kupunguza unyanyasaji wa kijinsia
Soma - https://jamii.app/JamiiUkatili
#16DaysofActivism #TAMWA

BUNGENI: Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Dkt. Charles Kimei amesema Majimbo yaliyo mpakani mwa nchi yana changamoto ya magendo
> Ametaka Wizara ya Mambo ya Ndani itoe kauli inachukua hatua gani kwa kuwa Wachaga (ambao pia wako mipakani) wanapenda magendo
Soma https://jamii.app/DktKimei

NAPE: AWAMU YA 5 ILIKOPA DOLA BILIONI 9 BILA UWAZI
> Mbunge huyo wa Mtama amesema Deni la Taifa sasa limefikia Tsh. Trilioni 64 na kutaka miradi iliyofanywa kwa mikopo ktk Serikali ya Awamu 5 iangaliwe kama inaendana na Fedha zilizokopwa
Soma https://jamii.app/DeniUwazi
#JFSiasa

ETHIOPIA: KIONGOZI WA WAASI ASEMA WANAKARIBIA KUCHUKUA USHINDI
Kiongozi wa Waasi amesema vikosi vyake vipo karibu na Mji Mkuu, Addis Ababa wakijiandaa kuudhibiti Mji huo
Inaelezwa Wapiganaji wanaoiunga mkono Serikali wanaendelea kuasi
Soma - https://jamii.app/WaasiAddisEthp
#JFLeo

TABIA HATARISHI KATIKA MATUMIZI YA MTANDAO/INTANETI
1. Kufungua Link/Baruapepe au Nyaraka (Documents) usizozijua. Hii inaweza kusababisha Shambulizi la Kimtandao
2. Kuunganisha Akaunti zako za Mitandao ya Kijamii (Syncs): Endapo Akaunti 1 ikishambuliwa huweza kuleta urahisi wa kushambulia na nyingine
3. Kutumia Password moja kwenye Akaunti tofauti: Tumia Nywila (Password) tofauti kwa kila Mtandao unaoutumia au Baruapepe ili kuondoa urahisi wa kudukuliwa
Soma - https://jamii.app/BadOnlineBehav
#DigitalSafety #DataProtection

NIGER: WATOTO 25 WAFARIKI KWA KUUNGUA MOTO
Watoto wa miaka mitano hadi sita Mjini Maradi wamefariki dunia kutokana na moto ambao chanzo chake hakijafahamika
Madarasa Nchini humo hujengwa kwa mbao na majani, ikielezwa Watoto hujazana sana
Soma - https://jamii.app/Watoto25Niger

KESI YA MBOWE: PINGAMIZI LA HATI YA UKAMATAJI MALI ZA WASHTAKIWA LATUPILIWA MBALI
Jaji Joachim Tiganga ametupilia mbali pingamizi lililowekwa na Upande wa Utetezi wakipinga Mahakama kupokea Hati ya Ukamataji Mali za washtakiwa 2 ktk kesi hiyo
Soma https://jamii.app/PingamiziMali

'PLATFORM' YA SIASA AFRIKA SIO CHAGUO SAHIHI LA MAENDELEO KWA VIJANA
Mshiriki wa Shindano la 'Stories of Change' anasema kuna mifano mingi ya Wanasiasa Vijana ambao baada ya kuondoka kwenye Mfumo walipoteza Mali na kuanza kuhangaika
Anasema Vijana wa Kiafrika wakiwekeza nguvu kubwa katika Sekta ya #Biashara na Ujasiriamali wana nafasi kubwa sana ya kufanikiwa kwasababu ni rahisi kukutana na 'connection' kwa Watu mbalimbali.
Msome - https://jamii.app/SiasaVijana
#JamiiForums

JE, WAJUA: Kutafuna 'Big G' (Bubble Gum) huongeza Umakini kwenye kazi, huongeza Mtiririko wa Damu kwenye Ubongo na kusaidia kuboresha kumbukumbu
Tafiti zinaonesha Kutafuna 'Big G' mara mbili kwa siku kwa muda wa Wiki mbili huweza kusaidia kupunguza Wasiwasi, Msongo wa Mawazo, Uchovu, na Magonjwa mengine ya Akili
Soma - https://jamii.app/FaidaBigG