Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
TABORA: Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limekanusha kuwa mtu aliyetambulika kuwa Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Igunga aliyeonekana akimuomba msamaha Makamu Mwenyekiti wa #CHADEMA, John Heche, si mtumishi wa Jeshi hilo
Kamanda wa Polisi Mkoa, Richard Abwao, amesema baada ya msako wamemkamata mtu huyo aliyetambulika kwa jina la Daud Paul Delim (49), Mkazi wa Mbagala A Wilayani Igunga aliyejifanya ni Mkuu wa Kituo cha Polisi
Ameongeza kuwa anaendelea kuhojiwa ili kujua alioshirikiana nao kuandaa picha mjongeo hiyo hasi na potofu na kuisambaza ili hatua stahiki za kisheria dhidi yao zichukuliwe
Soma https://jamii.app/RPCTabora
#JamiiAfrica #JFMatukio #JamiiForums

KENYA: Katika Kikao maalum cha Bunge cha kujadili suala hilo, IGP Douglas Kanja aliomba radhi kwa niaba ya Jeshi la Polisi na aliahidi kuwachukulia hatua maafisa waliompatia ripoti hiyo baada ya Uchunguzi wa Wasimamizi wa Utendaji wa Polisi (IPOA), akisema kuwa taratibu za kinidhamu zitafuata Miongozo ya Utendaji Kazi
Aidha, Wabunge walimhoji ni nani aliyechezea Mfumo wa CCTV Kituoni hapo siku hiyo ya tukio na kwa nini Ojwang alihamishwa kutoka Homa Bay hadi Nairobi, ambapo alisema
IPOA bado inachunguza eneo lote la uhalifu na itatoa ripoti kamili ya kilichoukumba Mfumo wa CCTV
Soma https://jamii.app/IGPAombaRadhi
#JamiiAfrica #JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #HumanRights

Leo Juni 12, 2025 #BajetiKuu ya Serikali kwa Mwaka 2025/26 inatarajiwa kusomwa Bungeni
Mdau, unadhani Serikali itawekeza zaidi kwenye Sekta gani muhimu?
Unadhani bajeti itagusa maisha yako kwa unafuu wa kodi, fursa mpya za ajira au maboresho katika huduma za kijamii?
Mjadala https://jamii.app/BajetiKuu26
#JamiiAfrica #JamiiForums #BajetiKuu26 #Governance

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amesema mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025 utafadhiliwa kwa Fedha za ndani
Amesema hayo Juni 11, 2025
Soma https://jamii.app/MsigwaUchaguzi2025
#JamiiForums #Democracy #Kuelekea2025 #JamiiAfrica #UchaguziMkuu2025
Amesema hayo Juni 11, 2025
Soma https://jamii.app/MsigwaUchaguzi2025
#JamiiForums #Democracy #Kuelekea2025 #JamiiAfrica #UchaguziMkuu2025
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mchambuzi na Mtangazaji, Edo Kumwembe kupitia Kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM ameeleza hoja ya Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba kuwa Wabunge wapewe 'plate number' maalumu sio kipaumbele cha Watanzania huku akitoa mfano kuwa Viongozi wengi wa Nchi masikini wanapenda maisha ya kifahari
Tarimba akiwa Bungeni, jana Juni 11, 2025 alisema namba hizo zitawatambulisha barabarani kwenye misafara au kwenye shughuli zao za kila siku, ili wapishwe na wafike haraka katika misafara yao
Soma https://jamii.app/UchambuziWaEdo
Video credits: Wasafi FM
#Democracy #JamiiForums #Kuelekea2025
Tarimba akiwa Bungeni, jana Juni 11, 2025 alisema namba hizo zitawatambulisha barabarani kwenye misafara au kwenye shughuli zao za kila siku, ili wapishwe na wafike haraka katika misafara yao
Soma https://jamii.app/UchambuziWaEdo
Video credits: Wasafi FM
#Democracy #JamiiForums #Kuelekea2025
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Rais #WilliamRuto amesema Usalama wa Kenya ni Haki ya Wananchi, hivyo Wahalifu wote wawe Raia au Maafisa wa Usalama wa Taifa lazima wawajibishwe Kisheria
Kauli hiyo ni baada ya uchunguzi wa Mwili wa Mwanaharakati na Mwanamitandao Albert Ojwang' aliyedaiwa kufariki kwa kujigonga ukutani, kubaini kuwa aliteswa na kupigwa vibaya akiwa chini ya ulinzi wa Polisi
Aidha, Bunge liliahirisha shughuli zake kujadili suala hilo ambapo Waziri wa Mambo ya Ndani, IGP, Mkurugenzi wa Upelelezi wa Jinai (DCI) waliitwa kujibu maswali kuhusu kesi hiyo, ambapo Taasisi ya Kusimamia Utendaji wa Polisi (IPOA) ilieleza Mifumo ya CCTV katika ofisi ya Mkuu wa Kituo Kikuu cha Polisi alipokuwa akishikiliwa Albert ilichezewa
Zaidi https://jamii.app/RutoUhalifu
Video Credits: BBC Swahili
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #HumanRights #Governance

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Bara, John Heche amesema Mtu aliyemuomba radhi katika ‘clip’ inayosambaa ni raia ambaye alifanya hivyo kwa niaba ya Mtoto wa dada yake ambaye alifanya vurugu wakati wa Mkutano wa chama hicho
Heche amesema “Huyu bwana alionesha ustaarabu wa hali ya juu kwa kukiri kosa la mtoto wa dada yake, anachofanya RPC ni kuficha madhaifu yao na kubadili ukweli wa mambo, hakuna sehemu yoyote katika mazungumzo hayo mtu huyo amejitambulisha kuwa ni Askari.”
Ikumbukwe, Kamanda wa Polisi Mkoa, Richard Abwao aliwaambia Wanahabari kuwa wamemkamata mtu huyo Daud Paul Delim (49), Mkazi wa Mbagala A, Wilayani Igunga ikielezwa alijifanya ni Mkuu wa Kituo cha Polisi
Soma https://jamii.app/HecheMkoaniTabora
#JamiiForums #Siasa #Kuelekea2025

Mdau wa JamiiForums.com kwenye Jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko anasema tangazo la Serikali kuwa uchaguzi Mkuu utafadhiliwa kikamilifu kwa fedha za ndani ni habari njema kwa uhuru wetu wa kisiasa lakini je, hii inaweza kuathiri ugawaji wa rasilimali kwenye miradi ya maendeleo au huduma za kijamii?
Anaongeza kuelekea kusomwa kwa Bajeti Kuu kwa mwaka wa fedha 2025/26, tujiulize; Je, tumetenga fedha za kutosha kwa uchaguzi bila kukwamisha miradi mingine muhimu kama afya, elimu na miundombinu?
Mdau anaendelea kwa kuhoji ni mikakati gani mipya ya mapato inakuja kusaidia kuhakikisha tunafikia malengo yote bila kumuumiza Mwananchi wa kawaida?
Mjadala https://jamii.app/BajetiKuu26
#JamiiForums #BajetiKuu26 #Uchumi #JamiiAfrica #Uwajibikaji #Accountability #Demokrasia

Mshiriki wa Stories of Change 2022 alisema Viongozi wateule waache kuwapotezea muda Wananchi wanapotafuta Haki kwenye Migogoro ya Ardhi sababu wapo wanaohangaika Miaka miwili bila kupata Haki na endapo RC au DC akibadilishwa Mtu anaanza kuteseka upya badala ya kueleweshwa tangu mwanzo ili aende kwenye Mabaraza ya Ardhi
Soma zaidi https://jamii.app/WateuleMigogoroArdhi
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #Uwajibikaji #SOC2022

Mdau wa JamiiForums.com kwenye Jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko anasema vipaumbele vya Serikali katika Bajeti Kuu kwa 2024/25 vilikuwa Kukamilisha miradi ya kielelezo na ya kimkakati, Kuimarisha Sekta za Uzalishaji, Kuimarisha Rasilimali Watu hususan Sekta za Jamii, Kuongeza matumizi ya TEHAMA na Kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara na uwekezaji wa Sekta Binafsi
Pia, kugharamia mishahara ya Watumishi wa Umma, Deni la Serikali, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa mwaka 2024 na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2025 na
Maandalizi ya Dira ya Maendeleo 2050
Mdau, unadhani vipaumbele kwa Serikali katika Bajeti Kuu ya Mwaka huu vitakuwa ni vipi?
Mjadala https://jamii.app/BajetiKuu26
#JamiiAfrica #JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #Governance #Uchumi
Pia, kugharamia mishahara ya Watumishi wa Umma, Deni la Serikali, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa mwaka 2024 na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2025 na
Maandalizi ya Dira ya Maendeleo 2050
Mdau, unadhani vipaumbele kwa Serikali katika Bajeti Kuu ya Mwaka huu vitakuwa ni vipi?
Mjadala https://jamii.app/BajetiKuu26
#JamiiAfrica #JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #Governance #Uchumi
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mdau anadai Wananchi wa Kata ya Majohe Wilayani Ilala wana changamoto kubwa ya huduma ya usafiri kutokana na ubovu wa barabara inayotoka Gongolamboto hadi Chuo Rada yenye urefu wa Kilometa tano
Anadai Barabara hiyo ni mbovu na hali huwa mbaya zaidi wakati wa mvua kwa kuwa wenye dalada wengi wamekataa kupitisha magari katika njia hiyo, huku waendesha pikipiki na Bajaji wakipandisha nauli kwa abiria
Mdau anadai barabara hiyo ni kama imesahaulika, kwani licha ya kutokarabatiwa kwa muda mrefu, ukarabati huo huwa wa kiwango cha chini, anatoa wito Mamlaka zinazohusika ziboreshe kwa kuwa Wananchi wanapata wakati mgumu kwa kukosa huduma bora ya usafiri
Soma https://jamii.app/BarabaraGongolamboto
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #ServiceDelivery #JFMdau2025

DAR: Mwenyekiti wa #CCM Wilaya ya Kinondoni, Shaweji Mkumbula, amesema Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, ameliacha Jimbo hilo hivyo watatafuta Mwakilishi mzuri
Soma https://jamii.app/GwajimaNaKawe
#JamiiAfrica #Kuelekea2025 #Siasa #UchaguziMkuu2025 #Democracy #JamiiForums
Video: FLOW MEDIA tz
Soma https://jamii.app/GwajimaNaKawe
#JamiiAfrica #Kuelekea2025 #Siasa #UchaguziMkuu2025 #Democracy #JamiiForums
Video: FLOW MEDIA tz
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
#BUNGENI: Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo akiwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa Mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/26, amesema utafiti uliofanywa na Taasisi ya Afrobarometer, Juni – Julai 2024 ulionesha kuwa 71% ya Wananchi waliohojiwa walisema wanaridhishwa na utendaji wa Serikali na 70% walisema nchi ipo katika mwelekeo sahihi.
Soma https://jamii.app/UtendajiSerikali
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #Utawala #Governance #Uwajibikaji

KENYA: Mamia ya Waandamanaji wamekusanyika katika maeneo mbalimbali jijini Nairobi na Miji mingine wakitaka haki itendeke kwa maafisa waliohusika na kifo cha Mwanamitandao Albert Ojwang', pamoja na kupinga mipango ya Serikali kuhusu Bajeti mpya inayotarajiwa kuwasilishwa Bungeni rasmi leo Juni 12, 2025 jioni na Waziri wa Fedha, John Mbadi
Kumekuwa na taarifa kwamba Serikali inapanga kusoma Bajeti mpya bila kubadilisha hatua kali za kodi kama vile kuongeza ada za huduma muhimu au kupunguza kodi kwa bidhaa za msingi kama mafuta na chakula, ambazo zilisababisha #Maandamano makubwa ya Juni 2024 yaliyosababisha vifo, majeruhi, na uharibifu mkubwa wa mali
Hata hivyo, waandamanaji wameeleza hofu yao kuwa huenda Serikali ikatumia mbinu zilezile, wakisisitiza umuhimu wa #Uwazi na ushirikishwaji kamili katika maamuzi yote ya kifedha yanayowahusu moja kwa moja
Soma https://jamii.app/MaandamanoBajeti25
#JamiiAfrica #JamiiForums #Transparency #Governance #Accountability #Uwajibikaji

DODOMA: Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba, anawasilisha Bungeni hotuba ya Mapendekezo ya Serikali kuhusu Bajeti Kuu kwa mwaka wa Fedha 2025/2026
Serikali imependekeza ukomo wa Bajeti wa Tsh. trilioni 57.04 kwa Mwaka wa fedha 2025/2026, ikiwa ni ongezeko la asilimia 13.4 ikilinganishwa na bajeti ya Tsh. trilioni 50.29 ya Mwaka wa Fedha unaomalizika Juni 30, 2025.
Fuatilia https://jamii.app/BajetuKuu2025
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #BajetiKuu2025 #Governance #Uwajibikaji