SIMIYU: Mtumiaji wa Jukwaa la JamiiForums.com ametoa wito kwa Mamlaka ikiwemo ya Bonde la Ziwa Viktoria ambao ndio wasimamizi wa Mradi, kuwafanyia tathmini ya ardhi ya Wananchi waliothiriwa na Ujenzi wa Bwawa la Maji katika Kijiji cha Iyogelo ili walipwe stahiki zao kama makubalino yalivyokuwa
Soma https://jamii.app/BwawaMaswa
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #SocialJustice #Governance #ServiceDelivery

🥰1
Taarifa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imeeleza Watu tofauti wakiwemo Viongozi na Wanachama wamefika katika Gereza la Keko ambapo Mwenyekiti wa Chama hicho, #TunduLissu anashikiliwa, lakini hawakufanikiwa baada ya kuelezwa kuwa hayupo katika gereza hilo bila maelezo yoyote juu ya alipopelekwa
CHADEMA imelitaka Jeshi la Magereza, mamlaka husika na vyombo vya dola kutoa taarifa wazi na za haraka kwa umma kuhusu mahali alipopelekwa Lissu, huku ikisisitiza kuwa iwapo bado anashikiliwa katika Gereza la Keko, ni haki ya familia, viongozi na wanachama kumuona
Soma https://jamii.app/LissuGereza
#JamiiForums #Demokrasia #Siasa #Kuelekea2025

👍2
Ijumaa Kuu ni siku ya kutafakari upendo wa kweli na kujitoa kwaajili ya wengine
Tunawatakia Wakristo wote Ijumaa Kuu njema, yenye utulivu, imani na matumaini mapya
#JamiiForums #GoodFriday

👍1
UCHUMI: Shirika la Fedha Duniani (IMF) limetangaza kwamba limefikia makubaliano ya awali na Serikali ya Tanzania ambayo yakipitishwa, itapokea Ufadhili wa takriban Tsh. Trilioni 1.18 (dola milioni 441.)
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirika hilo makubaliano hayo yamefikiwa kama sehemu ya mapitio ya tano ya Mpango wa Mikopo ya Muda Mrefu (ECF) pamoja na mapitio ya pili chini ya Mpango wa Uhimilivu na Uendelevu wa Maendeleo (RSF).
Soma https://jamii.app/IMFUfadhiliTanzania
#JamiiForums #Transparency #JFUchumi #Economy

👍1👎1
DAR: Baada ya #CHADEMA kuzitaka Mamlaka za juu kueleza alipo Mwenyekiti wao, Tundu Lissu, wakidai hayupo katika Gereza la Keko, JamiiForums imewasiliana na Msemaji wa Jeshi la Magereza, Elizabeth Mbezi, ambaye amesema “bado sijazipata hizo taarifa
Alipoulizwa kama kuhamisha Watuhumiwa na Wafungwa ni siri, Elizabeth amesema "Inategemea na makosa, yapo makosa wanahamishwa kwa siri na yapo makosa hawahamishwi kwa siri."
JamiiForums ilipohitaji kujua tuhuma za Lissu ni kati ya ambazo zimo kwenye orodha ya wanaotakiwa kuhamishwa kwa siri, amesema "Ngoja nifuatilie kwanza."
Soma https://jamii.app/LissuGereza
#JamiiForums #Demokrasia #Siasa #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025

DEMOKRASIA: Kwa mujibu wa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Mwaka 2025 zilizosainiwa na Vyama vya Siasa, licha ya Maafisa wa uchaguzi kuruhusiwa kuwa na simu katika Vituo vya Uchaguzi, Simu na vifaa vya Mawasiliano kwa wakati wote vimetakiwa kuwa vimeondolewa mlio na viwe kwenye mtetemo
Imeelezwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kwa kushauriana na Serikali na Vyama vyote vya Siasa imeandaa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi, ili kuweka msingi utakaozingatiwa na Washiriki wa Uchaguzi pamoja na hatua za kinidhamu zinazoweza kuchukuliwa kwa atakayekiuka Kanuni hizi
Soma https://jamii.app/SimuMarufukuVituoni
#JamiiForums #Kuelekea2025 #Governance #DigitalRights

❤2👍1
Miongoni mwa Balozi hizo ni za Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Eritrea, Gambia, Lesotho, na Sudan Kusini. Pia, Ofisi ndogo za Balozi za Douala (Cameroon) na Durban (Afrika Kusini)
Taarifa imeeleza Balozi hizo zikifungwa kutaanzishwa Vituo vya Kikanda, vitakavyokuwa na timu ndogo ya Watumishi na ufanisi zaidi
Wachambuzi wa masuala ya Kidiplomasia wameeleza kuwa hatua hiyo ikifanikiwa, itawaweka Waafrika wanaotafuta visa za kwenda Marekani katika changamoto zaidi za kusafiri na gharama, kwani watahitaji kusafiri umbali mrefu hadi Vituo vya jirani kupata Huduma
Soma https://jamii.app/TrumpEmbassies
#JamiiForums #Diplomacy #Governance

❤1
TANZIA: Mratibu wa zamani wa Shindano la Urembo la “Miss Tanzania”, Hashim Lundenga, amefariki leo Aprili 19, 2025 katika Hospitali ya Kitengule – Tegeta, Dar es Salaam
Mshirika wa karibu wa Marehemu, Bosco Majaliwa, ameeleza Lundenga ambaye amekuwa Mgonjwa kwa muda alikimbizwa hospitalini hapo Asubuhi ya leo baada ya kuzidiwa lakini muda mfupi baadaye akafariki
Lundenga alisimamia kwa mafanikio makubwa Mashindano ya Miss Tanzania na kuyapa umaarufu. Pia, aliwahi kuhudumu kwenye Kamati ndani ya Klabu ya Yanga. Taratibu za mazishi zinaendelea nyumbani kwake Boko
Soma https://jamii.app/RIPLundenga
#JFMatukio #RIPLundenga #JamiiForums

DAR: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (#CHADEMA) kimetoa taarifa kuwa Viongozi wakuu wa Chama wamekutana na Uongozi wa Jeshi la Magereza na kufahamishwa kuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu amehamishiwa katika Gereza la Ukonga
CHADEMA imesema Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara, John Heche, anatarajiwa kufika Gereza la Ukonga, leo Aprili 19, 2025 kwa ajili ya kumwona #TunduLissu na kuzungumza naye kuhusu hali yake
Ikumbukwe Aprili 18, 2025 baada ya CHADEMA kudai hawajui Lissu alipo kutokana na kumkosa katika Gereza la Keko, Msemaji wa Jeshi la Magereza, Elizabeth Mbezi, alizungumza na JamiiForums na kusema “Bado sijazipata hizo taarifa, ngoja nifuatilie.”
Soma https://jamii.app/LissuUkonga
#JamiiForums #Democracy #Siasa #JFMatukio #Kuelekea2025

❤1👍1
Aprili 11, 2025, Maeneo ya Kaskazini mwa Nchi ya China yalikumbwa na dhoruba iliyosababisha upepo mkali wenye kasi ya Kilomita 150 kwa Saa, ambapo Miti takriban 300 ilianguka na Magari kuharibika
Kutokana na athari hizo Mamlaka zilitoa tahadhari kwa Watu wenye uzito wa chini ya Kilogramu 50 kutotoka nje kwa kuhofia kubebwa na upepo
Eeeheee Mdau, dhoruba ikitokea Kilo zako zitakubeba au tutakupoteza? 😂😂😂
Mjadala https://jamii.app/UpepoChina
#JamiiForums #ChinaStorm #ClimateChange

DAR: Makamu Mwenyekiti wa #CHADEMA - Bara, John Heche, amesema amekutana na Mwenyekiti wao Taifa, #TunduLissu katika Gereza la Ukonga anakoshikiliwa ambapo Kiongozi huyo amewataka Wanachana wao kuendeleza mapambano
Akizungumza katika Mkutano wa hadhara Ukonga - Mombasa, Heche amesema "Nimetoka gerezani na nimeonana na Lissu, kama mnavyojua alikamatwa na alifunguliwa kesi kubwa ya uhaini, ambayo hukumu yake ni kifo.”
Ameongeza "Wamemhamisha Lissu kutoka Keko kuja Ukonga bila kutaarifu wanafamilia yake, Nchi hii sio kikundi fulani kinachoamua kila kitu. Lissu amesema mapambano yaendelee na mimi nasema mapambano yaendelee."
Soma https://jamii.app/LissuUpdaatesApril19
#JamiiForums #Democracy #Siasa #JFMatukio #Kuelekea2025
Akizungumza katika Mkutano wa hadhara Ukonga - Mombasa, Heche amesema "Nimetoka gerezani na nimeonana na Lissu, kama mnavyojua alikamatwa na alifunguliwa kesi kubwa ya uhaini, ambayo hukumu yake ni kifo.”
Ameongeza "Wamemhamisha Lissu kutoka Keko kuja Ukonga bila kutaarifu wanafamilia yake, Nchi hii sio kikundi fulani kinachoamua kila kitu. Lissu amesema mapambano yaendelee na mimi nasema mapambano yaendelee."
Soma https://jamii.app/LissuUpdaatesApril19
#JamiiForums #Democracy #Siasa #JFMatukio #Kuelekea2025
👍1
JamiiAfrica is seeking for a Monitoring, Evaluation and Learning (MEL) Specialist that will play a key role in strengthening our results-based programming through rigorous monitoring, insightful evaluation, and learning systems that inform adaptive management and strategic decision-making.
Qualifications & Experience:
- Bachelor’s Degree in Monitoring & Evaluation, Social Sciences, Development Studies, Public Policy or a related field. A Master’s degree is an added advantage.
- At least 5 years of progressive experience in MEL roles within NGOs, donor- funded projects, or civil society organizations.
- Proven expertise in both quantitative and qualitative MEL methodologies, tools, and software (e.g., Excel, Power BI, KoboToolbox, SPSS, etc.).
Send your CV, a Cover Letter and three References to vacancies@jamii.africa with the subject line: MEL Specialist– JamiiAfrica
For more info visit https://jamii.app/MELSpecialist
#JamiiAfrica #JamiiForums #JFOpportunities #JamiiOpportunities