JamiiForums
52.8K subscribers
34.4K photos
2.44K videos
31.3K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Mdau wa JamiiForums.com anasema Katiba mpya, Tanzania mpya, Watu wenye mtazamo chanya, Mtazamo wa Haki, Utu na Uwajibikaji ni tamanio la kila Mtanzania na sio Upinzani peke yao

Unakubaliana naye?

Shiriki Mjadala huu zaidi https://jamii.app/WatzMabadiliko

#JamiiForums #UchaguziMkuu2025 #KuelekeaUchaguzi2025
2
Sheria zinapotungwa au kutumika kwa nia ya kukandamiza taarifa au kuogopesha Waandishi, zinaathiri #Haki ya raia kupata taarifa sahihi

Haki ya Kujieleza ni Haki ya msingi inayohitaji kulindwa na kuheshimiwa na kila Mtu, hasa kupitia Vyombo vya Habari

#WorldPressFreedomDay #WPFD2025 #PressFreedom #MediaAndAI #AIForMedia
DODOMA: Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X (zamani Twitter), Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amesema hatakuwepo katika kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi 2025 na hajateua Afisa au Kiongozi yeyote kwenda kushiriki kwa niaba yake

Aidha, Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara, John Heche, ameandika "Chama chetu hakitashiriki kusaini maadili ya Tume isiyo na Maadili. Tume kupitia Watumishi wake inashiriki kuiba kura, wanawaengua Wagombea wetu kwa uongo, wanahujumu na kuzuia Mawakala wetu kuingia kwenye vituo"

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Vyama vya Siasa na Serikali wanatarajiwa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi leo Aprili 12, 2025, yatakayotumika kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, huku ikielezwa Chama cha Siasa ambacho hakitasaini Maadili hayo hakitaruhusiwa kushiriki kwenye Uchaguzi

Soma https://jamii.app/MnyikaMaadiliUchaguzi

#Siasa #UchaguziMkuu2025 #Kuelekea2025 #JamiiForums
👍5
Hebu mpe mbinu Mdau huyu ili asipoteze Wateja kwasababu ya tabia ya kukopwa

Mjadala zaidi https://jamii.app/WatejaKukopa

#JamiiForums #JFStories #JFChitchats #Biashara #Uchumi
👍1
DODOMA: Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima, amesema Vyama 18 vya Siasa vimeridhia na kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa Mwaka 2025

Zoezi hilo limefanyika leo Aprili 12, 2025 ambapo imeelezwa Vyama vya Siasa ambavyo havijasaini au vimekataa kusaini Kanuni hizo havitaruhusiwa kushiriki katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025

Soma https://jamii.app/VyamaMaadili18

#JamiiForums #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025 #Demokrasia
Mdau wa JamiiForums.com anasema Upendo kwa Mazingira ni kielelezo cha Utu na ukitaka kujua Moyo wa Mtu, angalia anavyotendea Viumbe wasio na Sauti ya kujitetea

Unakubaliana na Mdau?

Soma https://jamii.app/UnyamaMitiWanyama

#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo - Taifa, Othman Masoud Othman, amesema wamefanya jitihada kubwa kuleta hali ya maridhiano #Zanzibar kabla ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 ili kuepusha maafa yasiokuwa ya lazima, lakini wenzao hawakuwa tayari

Othman ambaye pia ni Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, amesema wakati wanatafuta suluhisho la changamoto za kisiasa Zanzibar walikutana na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na kukubaliana mambo kadhaa, lakini cha kushangaza, zilipoundwa Timu za Utekelezaji wa maagizo wenzao wakaja na mengine mapya wakati hakuna muda wa majadiliano tena

Soma https://jamii.app/MaridhianoZbarMitini

#Demokrasia #UchaguziMkuu2025 #Kuelekea2025 #JamiiForums
JamiiAfrica is seeking for a Monitoring, Evaluation and Learning (MEL) Specialist that will play a key role in strengthening our results-based programming through rigorous monitoring, insightful evaluation, and learning systems that inform adaptive management and strategic decision-making.

Qualifications & Experience:
- Bachelor’s Degree in Monitoring & Evaluation, Social Sciences, Development Studies, Public Policy or a related field. A Master’s degree is an added advantage.
- At least 5 years of progressive experience in MEL roles within NGOs, donor- funded projects, or civil society organizations.
- Proven expertise in both quantitative and qualitative MEL methodologies, tools, and software (e.g., Excel, Power BI, KoboToolbox, SPSS, etc.).

Send your CV, a Cover Letter and three References to vacancies@jamii.africa with the subject line: MEL Specialist– JamiiAfrica

For more info visit https://jamii.app/MELSpecialist

#JamiiAfrica #JamiiForums #JFOpportunities #JamiiOpportunities
JamiiAfrica seeks two skilled and creative Graphic Designers to join our Digital Democracy Hub. This is more than just a design role, you'll be a Visual Storyteller helping to shape how Citizens connect with Information, Express themselves and Engage with Governance issues.

Qualifications and Experience:
• At least 3 years of experience in graphic design, preferably within NGOs, social enterprises or advocacy-related work.
• Graphics Designer related Certificate or reference
• Familiarity with modern design software and technologies (Creative Suites and other graphic designing software)
• Strong portfolio showcasing a range of creative work.
• Bonus: Skills in motion graphics, animation or video editing.

Send your CV, a Cover Letter, and a Portfolio of your work (or a link to it) to vacancies@jamii.africa with the subject line: Application for Graphic Designer - JamiiAfrica

For more Info visit https://jamii.app/GraphicDesigners

#JamiiAfrica #JamiiForums #JFOpportunities #JamiiOpportunities
👍1
JamiiAfrica is seeking a visionary, tech-savvy and strategic leader to serve as the Digital Democracy Hub Coordinator. This is a pivotal role in advancing our vision of Digital Democracy; where technology and Digital Platforms are used to Amplify Citizen Voices, Promote Accountability and Enhance Participatory Governance

Qualifications and Experience:
• Bachelor’s or Master’s degree in Digital Media, ICT for Development, Public Policy, Political Science, Communication or related field.
• At least 5 years of experience in digital innovation, civic tech, media, governance, or related development work
• Proven track record in managing digital platforms or initiatives that promote social impact.

Send your CV, Cover Letter and Contact Details for three Referees to vacancies@jamii.africa with the subject line: Application for the Digital Democracy Hub Coordinator – JamiiAfrica

For more info visit https://jamii.app/DigitalDemocracyHubCoordinator

#JamiiAfrica #JamiiForums #JFOpportunities #JamiiOpportunities
Taarifa sahihi ni msingi muhimu kwa Wananchi kufanya maamuzi sahihi kuhusu Maisha yao na Taifa lao. Wanapokuwa na taarifa sahihi, Wananchi wanaweza kuchukua hatua zinazowawezesha kuwa na maisha bora.

#WorldPressFreedomDay #WPFD2025 #PressFreedom #MediaAndAI #AIForMedia
TANZIA: Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Usambazaji Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Aprili 13, 2025 majira ya Saa 6 hadi Saa 7 usiku katika ajali iliyotokea Wilayani Bunda, Mkoani Mara

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mara, Pius Lutumo amesema kuwa ajali hiyo ilitokea baada ya gari la Mkurugenzi lililokuwa likitokea Mwanza kwenda Bunda kugongana uso kwa uso na lori

Soma https://jamii.app/TanziaMkurugenziTANESCO

#JamiiForums #RIPGissima
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Kiongozi wa Chama cha #ACTWazalendo, Dorothy Semu ameeleza chama hicho kwa kushirikiana na Asasi za Kisheria kitafungua kesi kupinga Kanuni za Uchaguzi na Maadili zinazoongoza Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025

Amesema hayo Aprili 12, 2025 kwenye mkutano wa ACT akidai Kanuni hizo ni kandamizi ikiwemo ile inayoeleza Chama cha Siasa kilichoshindwa kusaini kanuni hizo kimepoteza sifa ya kuwa miongoni mwa vyama shiriki vya Uchaguzi huo, na chaguzi zote ndogo zitakazofanyika ndani ya kipindi cha miaka mitano (5) ijayo

Soma https://jamii.app/CHamaKutoshirikiUchaguzi

#JamiiForums #Demokrasia #Uwajibikaji #Siasa #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025
👍1😁1
Wadau mbalimbali ndani ya JamiiForums.com wamejadili na kushauri kuwa ni muhimu kujifunza ujuzi nje ya masomo yanayofundishwa Shuleni na Vyuoni.

Una maoni gani juu ya mada hii?

Mjadala zaidi https://jamii.app/UnabakizaNiniKichwani

#JamiiForums #Lifestyle #JFChitChats