JamiiForums
βœ”
52.6K subscribers
34.4K photos
2.45K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
MAREKANI: Bunge la Seneti limepitisha Muswada wa udhibiti wa bunduki Nchini humo

> Muswada huo unajumuisha ukaguzi mkali kwa Wanunuzi wa umri wa chini ya miaka 21 na kunyang’anya silaha kutoka kwa Watu wanaochukuliwa kuwa tishio

Soma: https://jamii.app/GunControllBill

#JamiiForums
πŸ‘17πŸ‘1
MWIGULU: HATUWEZI KUACHA KUKOPA KUOGOPA DENI KUWA KUBWA

Waziri wa Fedha amesema mikopo ya Serikali ni kwa ajili ya Maendeleo ya Miradi mikubwa ya Nchi na siyo ya kulipia Mishahara au Matumizi ya kawaida

> Amesema Deni la Serikali kwa uwiano wake na Pato la Taifa ni 31% wakati ukomo ni 55%

https://jamii.app/HojaZaMwigulu

#JamiiForums
πŸ‘Ž22πŸ‘12πŸ‘1
SRI LANKA: WAZIRI MKUU ATANGAZA ANGUKO LA UCHUMI

Bei ya Mafuta, Umeme na Uhaba wa Chakula vimetajwa kuwa chanzo cha anguko hilo huku Watu 11 wakifariki ktk foleni za kusubiri mafuta

> Watumishi wa Umma wametakiwa kufanya kazi siku 4 ili waweze kulima

Soma https://jamii.app/AngukoUchumi
πŸ€”14πŸ‘5😁1
DAR: MAJAMBAZI WATATU WAUAWA

Majambazi watatu wameuawa baada ya kupambana na Askari wa Jeshi la Polisi, leo Juni 24, 2022

> Tukio limetokea katika harakati za kutaka kupora kwenye duka eneo la Goba

Soma https://jamii.app/MajambaziGoba

#JamiiForums #JFMatukio
πŸ‘14πŸ‘6
FIFA YAIFUNGIA GEITA GOLD KUSAJILI

FIFA imetoa adhabu hiyo hadi Geita Gold FC itakapomlipa fedha zake aliyekuwa kocha wao, Mkuu Ettiene Ndayiragije

Kocha huyo raia wa Burundi alishitaki baada ya kuvunjiwa mkataba

Soma > https://jamii.app/GeitaYafungiwa

#JamiiForums #JFSports
πŸ‘11πŸ€”6
MDAU: Sipendezwi na tabia ya Watu kuwa na makorokoro (vyombo, nguo, fenicha au mabegi) mengi ambayo hawayatumii kwani huondoa unadhifu na umaridadi wa nyumba, kuwa na vitu vichache unavyoweza kuvitunza

> Je, una mchango gani kwenye hoja hii?

Soma: https://jamii.app/UnadhifuWaNyumba
πŸ‘24πŸ‘Ž1
USAJILI MBOVU KUMUONDOA RONALDO MAN. UNITED

Cristiano Ronaldo anaweza kuondoka Manchester United kama hakutakuwa na usajili mzuri utakaofanyika

Inadaiwa anawaniwa na Bayern Munich ya Ujerumani, lakini Klabu hiyo imekanusha taarifa hizo

Soma > https://jamii.app/RonaldoExit

#JFSports
πŸ‘18😁7
UKRAINE: VIKOSI VYAAMRIWA KUONDOKA SEVERODONETSK

Baada ya mapigano makali ya wiki kadhaa, Vikosi vya #Ukraine vimetakiwa kuondoka katika Mji huo ili kujipanga upya na kuepuka majeruhi zaidi

Mamia ya Raia bado wanahofiwa kusalia katika Mji huo

Soma - https://jamii.app/UkraineMji
πŸ‘23😁5
MOROCCO: Wahamiaji takriban 18 wanadaiwa kufariki na wengine kujeruhiwa wakati umati mkubwa ulipojaribu kuvuka mpaka kuingia eneo la Melilla, Uhispania Kaskazini

> Baadhi ya waliofariki wanadaiwa kuanguka kutoka juu ya uzio wa mpaka

Soma - https://jamii.app/MoroccoImmigrants
😒9πŸ‘6πŸ‘Ž3😁1
RAIS WA ZAMANI WA ANGOLA MAHUTUTI

Inaripotiwa Jose Eduardo Dos Santos aliyeongoza kuanzia 1979 - 2017 amelazwa Jijini Barcelona. Hata hivyo Ugonjwa wake haujawekwa wazi

Serikali ya Angola haijasema chochote kuhusu taarifa hizo

Soma > https://jamii.app/AngolaDosSantos

#JamiiForums
πŸ‘9😒3
MDAU: Vijana wengi wakifika mjini wanaendekeza starehe na kusahau kilichowapeleka huko. Kutokuwa na malengo husababisha matumizi mabaya ya pesa

Ni muhimu kujiwekea malengo na kuyazingatia bila kuyumbishwa na starehe au vitu vya kupita

Mjadala zaidi - https://jamii.app/VijanaKutokujitambua
πŸ‘17😁4πŸ”₯3
TUMIA '2FA' KULINDA AKAUNTI YAKO MTANDAONI

'Two-Factor Authentication' au 'Two Step Authentication' (2FA) husaidia kulinda Taarifa zako Mtandaoni kwa kuongeza ulinzi unapoingia (Log in) kwenye Mitandao mbalimbali ya kijamii

Soma - https://jamii.app/UdukuajiMtandaoni

#DigitalSecurity
πŸ‘23
TETESI: BOSI MPYA CHELSEA AMTAKA RONALDO

Todd Boehly amekutana na Jorge Mendes ambaye ni Wakala kuzungumzia usajili wa mteja wake, Cristiano Ronaldo

> Ronaldo amebakiza mwaka mmoja katika mkataba wake wa sasa ndani ya Man. United

Soma https://jamii.app/CR7Chelsea

#JamiiForums #JFSports
πŸ‘14πŸ’©4πŸ‘2😁2
PUTIN KUIPA BELARUS MFUMO WA NYUKLIA

Rais wa Urusi, Vladimir Putin ameahidi kutoa Mifumo ya Iskander-M inayoweza kufyatua makombora ya nyuklia

> Ni baada ya Rais wa Belarus kuwa na hofu kuhusu uchokozi wa majirani zake, Lithuania na Poland

Soma - https://jamii.app/RussiaBelarus
😁23πŸ‘9πŸ€”4πŸ‘1
SIKU YA KUPINGA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA DUNIANI

Kila mwaka Juni 26, Dunia inaadhimisha siku hii lengo kuifanya Dunia kuwa huru ktk matumizi ya #DawaZaKulevya

> Siku hii inaadhimishwa na Umoja wa Mataifa tangu mwaka 1987

Soma - https://jamii.app/WorldDrugDay

#JamiiForums #WorldDrugDay
πŸ‘12
AFYA: 'INTERNS' WATAKIWA KUSIMAMIWA VIZURI

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi ametoa wito kwa Watendaji katika Vyuo vya Afya na Hospitali kuwasimamia vizuri 'Interns' ili kuepusha kutibiwa na watu wasio wa uwezo

Unafikiri hatua hii itasaidia kuboresha Huduma za Afya?

Soma - https://jamii.app/InternsAfya
πŸ‘13
Umoja wa Mataifa (UN): Watu milioni 275 wametajwa kutumia #DawaZaKulevya katika ripoti ya 2021 huku Mtandao wa Siri ukifanya miamala ya Tsh. 734,895,000,000

> Ripoti mpya ya UN inatarajiwa kutolewa Juni 28, 2022

Soma - https://jamii.app/WorldDrugDay

#JamiiForums #WorldDrugDay
πŸ‘5😒1
AFRIKA KUSINI: Polisi wanachunguza chanzo cha vifo takriban 22 katika Klabu ya Usiku katika Kitongoji cha Jijini East London, vilivyotokea usiku wa Juni 25, 2022

> Mamlaka zimesema hakuna majeraha ya wazi yanayoonekana kwa Marehemu

Soma - https://jamii.app/VifoAfrikaKusini
πŸ‘5😒2
MAN. UTD INA IMANI YA KUMPATA DE JONG WA BARÇA

Man. Utd inaripotiwa kukaribia kufikia makubaliano na Barcelona kumsajili kiungo Frenkie de Jong

Inadaiwa uhamisho utakuwa na thamani ya Β£69m (Tsh. 195,960,000,000) na United wana imani ya kufanikiwa kabla ya Julai 2022

#JFSports
πŸ‘9πŸ‘Ž1
LIGI KUU: PRISONS 1-0 SIMBA

Tanzania Prisons imeshinda kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, Juni 26, 2022. Goli limefungwa na Benjamin Asukile

Prisons imefikisha pointi 29, imetoka nafasi ya 15 hadi ya 14, Simba imebaki nafasi ya pili

Soma > https://jamii.app/Prisons1Simba0

#JamiiForums
πŸ‘18πŸ’©9😁8😒3❀1