Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imeitisha mkutano na Wadau kujadili na kupata maoni kuhusu viwango vya nauli za usafiri Nchini
> Mkutano utafanyika Aprili 13, 2022 ktk Kituo cha Mikutano cha Julius Nyerere, Dar es Salaam
Soma https://jamii.app/LATRANauli
#JamiiForums

SERIKALI: Matukio ya Ukatili 27,838 yaliripotiwa katika Vituo vya Polisi tangu mwaka 2019 hadi Machi 2022
> Matukio hayo ni: Ubakaji (19,726), Ulawiti (3,260), Kuunguzwa kwa Moto (198), Kutupa Watoto Wachanga (443) na Kipigo (4,211)
Soma - https://jamii.app/RipotiUkatiliTZ

BURKINA FASO: Mahakama ya Kijeshi imemhukumu Blaise Compaore Rais wa Nchi hiyo kuanzia 1987 - 2014 kifungo cha maisha kwa kuhusika katika mauaji ya 1987 ya Mtangulizi wake, Thomas Sankara
Sankara aliuawa kwa risasi Jijini Ouagadougou
Soma - https://jamii.app/CompaoreLifeSentence
#JFLeo

IGP SIRRO AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI
Aliyekuwa RPC Dodoma, SACP Onesmo Lyanga amepelekwa Makao Makuu ya Polisi, nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa RPC wa Kaskazini Unguja, ACP Martin Otieno
Soma - https://jamii.app/RPCMabadiliko

FREEMAN MBOWE: Viongozi wengi wanahutubia tujifunze Kiswahili, ni lugha yetu ya Taifa lakini kinazungumzwa Shule za Kata. Viongozi na watu wenye uwezo wanasomesha watoto katika Shule za Mfumo wa Kiingereza, huu ni ubaguzi
Soma > https://jamii.app/MboweElimuTZ
#JamiiForums #Education
Soma > https://jamii.app/MboweElimuTZ
#JamiiForums #Education
HASUNGA: TATIZO LA AJIRA LITAKUWA BOMU KUBWA LISIPOWEKEWA MIKAKATI
Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga amesema, "Serikali imesema itatoa Ajira lakini hiyo itakuwa hatua moja. Vijana wanaomaliza ni takriban 90,000 - 100,000 kwa mwaka, kwahiyo haitoshi"
Soma > https://jamii.app/TatizoAjiraTZ

YANGA YAIFUNGA AZAM FC 2-1, YAFIKISHA POINTI 51
Yanga imepata mabao yake kupitia Djuma Shaban na Fiston Mayele. Bao la Azam FC limefungwa na Rodgers Kola
Yanga imefikisha Pointi 51 wakati Azam FC imebaki na Pointi 28
Soma - jamii.app/YangaAzamFC
#JamiiForums #JFSports

DAR: Wananchi wa Mkoa huo na maeneo ya Pwani wametahadharishwa juu ya kununua mafuta ya kwenye madumu kwani wauzaji wanachota baharini
Hiyo ni kutokana na mafuta mengi kumwagika baharini ukanda wa Pwani ikidaiwa yanatoka kwenye meli
Soma - https://jamii.app/MafutaBaharini

Marekani imesema inaamini Mali nyingi za Rais Vladimir Putin zimefichwa na Wanafamilia
Kauli hiyo inakuja kufuatia vikwazo vipya dhidi ya Watu wa karibu wa Putin wakiwemo Mabinti zake, Katerina Vladimirovna Tikhonova na Maria Vladimirovna Vorontsova
Soma - https://jamii.app/VikwazoWttPutin

Bodi ya Magavana wa Chuo cha #Academy imetangaza tarehe ya Kikao cha Maamuzi ya Shauri la #WillSmith kumshambulia #ChrisRock kwenye tuzo za #Oscar2022 kuwa ni Aprili 8, 2022
> Aidha, Will alijiuzulu kwa hiyari ktk Chuo hicho Aprili 1, 2022
Soma: https://jamii.app/WillSmith

Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby ameishauri Serikali iruhusu uagizaji binafsi wa mafuta
> Asema, Mfumo wa Uagizaji wa Pamoja unafanya kutokuwepo ushindani wa bei pale inapopanda kwenye soko ambalo mafuta yanaagizwa na kunakuwa hakuna mbadala
Soma https://jamii.app/MafutaKuagiza

SERIKALI: KUNA ONGEZEKO LA WAGONJWA WA SARATANI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Profesa Abel Makubi amesema kwa takwimu Wananchi wanaokutwa na maradhi ya Saratani wamefikia 40,000 kila mwaka huku wengi wakiwa ktk hali mbaya kiafya
Soma - https://jamii.app/SarataniOngezeko
#CancerAwareness

ZELENSKY: MAFUTA YA URUSI KUTOWEKEWA VIKWAZO KUNAGHARIMU MAISHA YA WATU
Rais wa #Ukraine amesema Moscow imekuwa inapata Fedha nyingi kutokana na mauzo ya mafuta, hivyo haioni haja ya kuchukulia kwa uzito Mazungumzo ya Amani
Soma - https://jamii.app/OilRussia
#RussiaUkraineWar

KIGOMA: Baadhi ya Madereva wa Bajaji ktk Manispaa ya Kigoma Ujiji wameandamana na kufunga barabara kushinikiza kupandishwa kwa bei za usafiri kutoka Tsh. 500 hadi Tsh. 1,000 kwa wanaochangia usafiri
> Hii ni baada ya bei mpya za mafuta
Soma > https://jamii.app/KigomaNauli
> Hii ni baada ya bei mpya za mafuta
Soma > https://jamii.app/KigomaNauli
SIKU YA AFYA DUNIANI: Maadhimisho ya mwaka 2022 yanabeba ujumbe "Dunia Yetu, Afya Yetu"
Shirika la Afya Duniani linakadiria kuwa zaidi ya vifo Milioni 13 Duniani kila mwaka hutokana na sababu za kimazingira zinazoweza kuepukika
Soma - https://jamii.app/SikuYaAfya2022
#WorldHealthDay

Bondia mstaafu, Floyd Mayweather atapanda ulingoni Mei 14, 2022 kupigana na Don Moore katika Pambano la Raundi 8 la Maonyesho, Dubai
Mara ya mwisho #Moore kupigana ni 2018 wakati #Mayweather ni 2017
Soma - https://jamii.app/BondiaFloyd

MDAU: NINI KINAKWAMISHA WATU KUKUA KIUCHUMI?
Anasema yeye amekuwa mtafutaji kwa takriban miaka 15 lakini maendeleo yake hayalingani na muda huo wa utafutaji
Anaeleza, baadhi ya watu watakwambia, "Acha pombe, Wanawake na starehe"
Je, vitu hivyo pekee ndiyo kikwazo cha kufikia Maendeleo?
Mjadala > https://jamii.app/UchumiMdau

KUMBUKIZI YA MIAKA 50 YA KIFO CHA HAYATI ABEID AMANI KARUME
Rais wa Tanzania; Samia Suluhu Hassan, Rais wa Zanzibar; Dkt. Hussein Mwinyi na Viongozi mbalimbali wameadhimisha Siku hii kwa Dua na kuweka mashada kwenye kaburi la aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Amani Karume
Karume alizaliwa Agosti 04, 1905 na aliuawa kwa kupigwa risasi Aprili 07, 1972
#KarumeDay

SIMBA YAIFUNGA COASTAL UNION 2-1
Mabao ya Bernard #Morrison na Meddie #Kagere yameipa #Simba ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union
Ni katika Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Mkwakwani Mkoani Tanga, leo Aprili 7, 2022
Soma - https://jamii.app/SimbaCoastal

MKUU WA TRAFIKI: MARUFUKU TRAFIKI NA DEREVA KUZUNGUKA NYUMA YA GARI
Wilbrod Mutafungwa amesema hayo baada ya malalamiko ya rushwa dhidi ya Trafiki wanaosimamisha magari na Madereva au Makondakta kuwafuata na βkumalizanaβ nao nyuma ya gari
Soma - https://jamii.app/TuhumaZaRushwa