#IRAQ: BUNGE LASHINDWA KUCHAGUA RAIS KWA MARA YA TATU MFULULIZO
Ni Wabunge 178 pekee kati ya 329 waliokuwepo ikiwa ni idadi isiyofika theluthi mbili inayohitajika
Wabunge lazima wamchague Mkuu wa Nchi, na lazima atoke Jamii ya Wakurdi
Soma - https://jamii.app/RaisIraqMkwamo
#Democracy

#Ujerumani ambayo ni mnunuzi mkubwa wa Mafuta na Gesi kutoka #Urusi imetangaza mgao wa bidhaa hizo kwa raia wake na imesema inaweza kuacha kuagiza mafuta kutoka Urusi
> Kuanzia Machi 31, 2022, Urusi itaanza kuuza mafuta kwa fedha yake (Ruble)
Soma https://jamii.app/MgaoWaMafuta
> Kuanzia Machi 31, 2022, Urusi itaanza kuuza mafuta kwa fedha yake (Ruble)
Soma https://jamii.app/MgaoWaMafuta
Mapungufu yaliyobainishwa ktk utekelezaji wa Miradi kwa utaratibu wa βForce Accountβ yamepelekea Kukosekana kwa thamani ya Fedha ktk miradi
Mfano; Majengo kupata nyufa muda mfupi baada ya kukamilika ikiwemo Shule za Sekondari Berege na Mazae
#JamiiForums #Accountability #WAJIBU
Mfano; Majengo kupata nyufa muda mfupi baada ya kukamilika ikiwemo Shule za Sekondari Berege na Mazae
#JamiiForums #Accountability #WAJIBU
ARUSHA: Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, imepanga kuwa Mei 31, 2022 itatoa hukumu ya Kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake 6
> Kesi hiyo itatajwa Aprili 13, 2022 kabla ya hukumu
Soma - https://jamii.app/SabayaKesiArusha
> Kesi hiyo itatajwa Aprili 13, 2022 kabla ya hukumu
Soma - https://jamii.app/SabayaKesiArusha
PHILIP MANGULA ANG'ATUKA, KINANA ACHUKUA NAFASI
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Philip Mangula ameachia wadhifa wake alioushika tangu Novemba 13, 2012
> Nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman Kinana
Soma https://jamii.app/MangulaAngatuka

BURUNDI: BBC YAREJESHEWA KIBALI CHA UTANGAZAJI MIAKA 3 BAADAYE
Sauti ya America pamoja na BBC zilisimamishwa wiki mbili kabla ya Kura ya Maoni ya Marekebisho #Katiba ili kumruhusu Rais wa zamani, Pierre Nkurunziza kuongoza hadi 2034
Soma - https://jamii.app/BBCBurundi
#MediaFreedom

β€1
MAREKANI NA UINGEREZA: Wanaompotosha Rais wa Urusi, Vladimir Putin ni washauri ambao wanahofu ya kumwambia ukweli jinsi vita na Ukraine itakavyofanya Urusi kuwa dhaifu muda mrefu
Soma - https://jamii.app/RussiaUkraineUS
#JamiiForums #RussiaUkraine
Soma - https://jamii.app/RussiaUkraineUS
#JamiiForums #RussiaUkraine
IRINGA: Kitengo cha Usalama Barabarani Mkoani humo kimepiga marufuku Watoto chini ya umri wa Miaka 9 kupanda Bodaboda
Imeelezwa Wazazi na Walezi ndio wanaoongoza kuwapakia Watoto kwenye usafiri huo wakati wa kwenda na kurudi Shuleni
Soma - https://jamii.app/WttPikpikIringa
#ChildSafety
Imeelezwa Wazazi na Walezi ndio wanaoongoza kuwapakia Watoto kwenye usafiri huo wakati wa kwenda na kurudi Shuleni
Soma - https://jamii.app/WttPikpikIringa
#ChildSafety
MAHAKAMANI: Diana Bundala 'Mfalme Zumaridi' na wenzake 83 wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mwanza kwaajili ya kusomewa maelezo ya awali ya mashtaka yanayowakabili
> #Zumaridi amekosa dhamana sababu ya aina ya kesi yake huku wenzake 7 wakipata
Soma > https://jamii.app/ZumaidiDhamana
> #Zumaridi amekosa dhamana sababu ya aina ya kesi yake huku wenzake 7 wakipata
Soma > https://jamii.app/ZumaidiDhamana
Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi imemsamehe na kumrejeshea Uanachama, Bernard Membe baada ya kuomba msamaha
Membe ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje alifukuzwa Uanachama Februari 2020 kwa makosa ya kinidhamu
Soma - https://jamii.app/CCMMembe
#Siasa
Membe ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje alifukuzwa Uanachama Februari 2020 kwa makosa ya kinidhamu
Soma - https://jamii.app/CCMMembe
#Siasa
π1
BALOZI WA NORWAY AITEMBELEA JAMII FORUMS
-
Balozi wa Norway nchini Tanzania, Elisabeth Jacobsen ametembelea Ofisi za Jamii Forums jijini Dar
-
Balozi Elisabeth amepata wasaa wa kuzungumza na Uongozi wa Jamii Forums, pamoja na Watendaji wake juu ya masuala anuai ikiwamo kujifunza jinsi JF inavyoendesha shughuli zake
-
#JamiiForums

DAR: Profesa Mkumbo ameshauri Barabara ya Dar-Moro-Dodoma ipanuliwe ili kupunguza ajali kutokana na wingi wa magari yanayotumia njia hiyo
> Asema hayo akipotoa heshima za mwisho kwa Profesa Honest Ngowi na Innocent Mringo waliofariki kwa ajali
Soma https://jamii.app/DarDomBarabara
> Asema hayo akipotoa heshima za mwisho kwa Profesa Honest Ngowi na Innocent Mringo waliofariki kwa ajali
Soma https://jamii.app/DarDomBarabara
USA: Baada ya Mwigizaji, #WillSmith kumpiga kibao Mwigizaji mwenzake, #ChrisRock ktk Tuzo za #Oscar2022, Waandaaji wa tuzo hizo 'The Academy' wameanza rasmi mchakato wa kuchukua hatua za kinidhamu dhidi yake
> Uamuzi rasmi utatolewa Aprili 18, 2022
Soma: https://jamii.app/Academy
> Uamuzi rasmi utatolewa Aprili 18, 2022
Soma: https://jamii.app/Academy
RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO MADOGO YA BARAZA LA MAWAZIRI
George Simbachawene atakuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera na Uratibu
> Damas Ndumbaro anakuwa Wizara ya Katiba na Sheria
> Pindi Hazara Chana anakuwa Waziri wa Maliasili na Utalii

Rais wa #Marekani, Joe Biden ametangaza kutoa pipa milioni 1 za mafuta kila siku kwa kipindi cha miezi sita ili kupunguza bei ya mafuta
> Baadhi ya Wataalamu wamesema mafuta hayo hayatapunguza vya kutosha athari za bei ghali kwenye Soko la Kimataifa
Soma https://jamii.app/MafutaMarekani
> Baadhi ya Wataalamu wamesema mafuta hayo hayatapunguza vya kutosha athari za bei ghali kwenye Soko la Kimataifa
Soma https://jamii.app/MafutaMarekani
PAKISTAN: Upinzani umemtaka Waziri Mkuu, Imran Khan ajiuzulu wakati Bunge likisubiri Aprili 4, 2022 kupiga kura inayoweza kumtoa Madarakani
> Analaumiwa kwa kushindwa kusimamia Uchumi uliosababisha mfumuko wa bei na kupanda kwa nakisi ya bajeti
Soma - https://jamii.app/KhanImpeach
> Analaumiwa kwa kushindwa kusimamia Uchumi uliosababisha mfumuko wa bei na kupanda kwa nakisi ya bajeti
Soma - https://jamii.app/KhanImpeach