EL SALVADOR YATANGAZA HALI YA HATARI KUTOKANA NA MAUAJI YA MAGENGE
Vurugu za magenge zimeongezeka sana ambapo Watu 62 wameuawa Machi 26 pekee
Tangazo hilo linadhibiti Mikusanyiko huru, Uhuru wa Mawasiliano na linaruhusu ukamataji bila waranti
Soma - https://jamii.app/ElSavadorUnrest

GEITA: Watoto watatu wa Darasa la Tatu (Wa familia moja) wamebakwa na kulawitiwa na Mfanyabiashara (Mwanafamilia) mwenye uwezo kifedha kwny familia yao
> Walimu walimgundua mmoja wa Watoto hao baada ya kwenda shule akiwa na maumivu makali
Soma https://jamii.app/WatotoWabakwa
> Walimu walimgundua mmoja wa Watoto hao baada ya kwenda shule akiwa na maumivu makali
Soma https://jamii.app/WatotoWabakwa
BURKINA FASO: Spika wa Zamani, Alassane Bala SakandΓ© amekamatwa na baadaye kuachiwa baada ya kuwaambia Waandishi wa Habari kwamba Rais aliyeondolewa Madarakani, Roch KaborΓ© hayuko kwenye kifungo cha Nyumbani bali yuko kizuizini
Soma - https://jamii.app/SakandeArrested
#JamiiForums
Soma - https://jamii.app/SakandeArrested
#JamiiForums
MBEYA: Kamanda wa Polisi, Ulrich Matei amesema βWatu waache kuzua taarifa zinazosasababisha taharuki. Ajali ya Machi 27, 2022 iliyotokana na Scania kufeli breki imesababisha vifo vya watu wawili tu ambao ni Jeremiah Mwasega na Suza Mbwiga.β
Soma - https://jamii.app/MbeyaAjali
Soma - https://jamii.app/MbeyaAjali
TANGA: MBARONI KWA TUHUMA ZA MAUAJI BAADA YA KUFUMANIA
Mohamed B. Lukindo (43) anatuhumiwa kumuua Athumani Dolly usiku wa kuamkia Machi 28, 2022 Mtaa wa Vunja Bei, Handeni
> Inadaiwa, Mtuhumiwa alimkuta Athuman akiwa na mkewe nyumbani kwake usiku
Soma https://jamii.app/TangaMauaji

NSONGWI, MBEYA: Jeshi la Polisi linamshikilia Fidelis Komba (42), ambaye ni Mganga wa Tiba Asili kwa tuhuma za kumiliki noti bandia zenye thamani ya Tsh. 3,340,000
> Mutuhumiwa alikamatwa akiwa na noti 219 za Tsh. 10,000 na noti 230 za Tsh. 5,000
Soma - https://jamii.app/Mganga
> Mutuhumiwa alikamatwa akiwa na noti 219 za Tsh. 10,000 na noti 230 za Tsh. 5,000
Soma - https://jamii.app/Mganga
#UKRAINE: Waziri wa Uchumi, Yulia Svyrydenko amesema vita inavyoendelea imegharimu Nchi yao Dola bilioni 564.9 (sawa na Tsh. trilioni 1,310)
> Inaelezwa kuwa, Kilomita 8,000 za barabara na mita za mraba milioni 10 za makazi zimeharibiwa
Soma https://jamii.app/WarCosts
> Inaelezwa kuwa, Kilomita 8,000 za barabara na mita za mraba milioni 10 za makazi zimeharibiwa
Soma https://jamii.app/WarCosts
MOROGORO: Jeshi la Polisi linamshikilia Abdilah Yassin (Mpigadebe) ktk Kituo Kikuu cha Mabasi cha Msamvu kwa kumuua kwa kumchoma kisu Tazani Mndeme (Mpigadebe) wakati wakigombea abiria
> Tukio hilo limetokea leo Machi 28, 2022, saa 12 asubuhi
Soma - https://jamii.app/MpigaDebe
> Tukio hilo limetokea leo Machi 28, 2022, saa 12 asubuhi
Soma - https://jamii.app/MpigaDebe
#URUSI: Serikali inaandaa Amri ya Rais itakayowazuia Raia kutoka Marekani na Washirika wake ikiwemo Uingereza kuingia nchini humo
> Hatua hiyo ni kulipa kisasi dhidi ya vitendo visivyo vya kirafiki vya mataifa kadhaa ya kigeni kwa Nchi hiyo
Soma https://jamii.app/UrusiRaia
> Hatua hiyo ni kulipa kisasi dhidi ya vitendo visivyo vya kirafiki vya mataifa kadhaa ya kigeni kwa Nchi hiyo
Soma https://jamii.app/UrusiRaia
MAREKANI: Rais Joe Biden amesema hataomba radhi kwa kauli yake ya hivi karibuni kuwa Rais Vladimir Putin wa #Urusi hawezi kusalia madarakani
> Asema kauli yake ilikuwa kuonesha hasira ya kimaadili na siyo wito wa kuondoa utawala wa Urusi
Soma https://jamii.app/PutinVsBiden
> Asema kauli yake ilikuwa kuonesha hasira ya kimaadili na siyo wito wa kuondoa utawala wa Urusi
Soma https://jamii.app/PutinVsBiden
TANGA: Watu sita wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari aina ya Fuso (T 239 AFB) kuacha njia na kutumbukia kwenye korongo katika eneo la Barabara ya Soni/Mombo, Wilayani Lushoto
> Ajali hiyo imetokea Machi 29, 2022
Soma - https://jamii.app/FusoAjali
#JamiiForums
> Ajali hiyo imetokea Machi 29, 2022
Soma - https://jamii.app/FusoAjali
#JamiiForums
Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amemuhamishia Makao Makuu ya Polisi Dodoma aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, ACP Wankyo Nyigesa ili kupisha uchunguzi wa kinidhamu
> Machi 26, 2022, Wankyo alimuomba Rais Samia amteue kuwa IGP
Soma https://jamii.app/WankyoNidhamu
> Machi 26, 2022, Wankyo alimuomba Rais Samia amteue kuwa IGP
Soma https://jamii.app/WankyoNidhamu
FAHAMU FAIDA ZA KUPUMZIKA BAADA YA UCHOVU WA KAZI
Watu wenye majukumu hupunguza muda wa kupumzika ili kukamilisha majukumu. Kitaalamu ni muhimu kupumzika ili kuongeza uwezo wa kutunza kumbukumbu na kuondoa hatari ya kupata Kiharusi
Kupumzika hulinda Afya ya Moyo kwa kuwa usukumaji huwa tofauti unapopumzika. Pia, huongeza hamasa ya utendaji na kujenga mwili na huondoa Msongo wa Mawazo
Soma https://jamii.app/FaidaKupumzika

NIGERIA: Watu waliojihami wamelishambulia kwa risasi treni iliyokuwa na abiria 1,000 ktk Jimbo la Kaduna na kuwateka baadhi ambao idadi haijafahamika
> Watu wengi wanatumia treni baada ya mashambulio kuwa mengi kwa njia nyingine za usafiri
Soma https://jamii.app/TreniNigeria
> Watu wengi wanatumia treni baada ya mashambulio kuwa mengi kwa njia nyingine za usafiri
Soma https://jamii.app/TreniNigeria
Mwenyekiti wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais Uhuru Kenyatta ameidhinisha Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuwa Mwanachama wa EAC
> Maamuzi hayo yamefikiwa Machi 29, 2022 ktk Mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi Wanachama
Soma https://jamii.app/DRCinEAC
> Maamuzi hayo yamefikiwa Machi 29, 2022 ktk Mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi Wanachama
Soma https://jamii.app/DRCinEAC
Jeshi la Jamuhuri ya Kidemokrasia ya #Congo limesema limewakamata wanajeshi wawili wa #Rwanda waliohusika na shambulizi lililofanyika na Waasi wa M23
> UN imekuwa ikishutumu Rwanda na #Uganda kwa kuunga mkono M23 ingawa Serikali zote zinakanusha
Soma https://jamii.app/RwandaDRC
> UN imekuwa ikishutumu Rwanda na #Uganda kwa kuunga mkono M23 ingawa Serikali zote zinakanusha
Soma https://jamii.app/RwandaDRC
#SOMALIA: Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa tishio la baa la njaa nchini humo lililosababishwa na ukame linaweza kusababisha vifo 330,000 vya watoto walio chini ya miaka mitano
> Hii ni kutokana na vipindi vitatu vya mvua kupita bila mvua
Soma https://jamii.app/UkameSomalia
> Hii ni kutokana na vipindi vitatu vya mvua kupita bila mvua
Soma https://jamii.app/UkameSomalia
SHINYANGA: Imeripotiwa, Watoto 10 wenye umri wa miaka 6-12 toka Kata ya Mhongolo, Ngogwa na Wendele wamebakwa, kulawitiwa na wengine wakiliwa na fisi kwa kipindi cha miezi mitatu iliyopita
> Hayo yalitokea walipoagizwa dukani nyakati za usiku
Soma - https://jamii.app/Ukatili
> Hayo yalitokea walipoagizwa dukani nyakati za usiku
Soma - https://jamii.app/Ukatili
ZANZIBAR: Makamu wa Kwanza wa Rais, Othman Masoud Othman amesema Sheria ya Uchochezi inatoa fursa ya kutumika vibaya na Vyombo vinavyosimamia Sheria
> Ameongeza, wakati wa kuifanyia mapitio ili kulinda Uhuru wa Kujieleza na wa Habari nchini umefika
Soma https://jamii.app/Uhuru
> Ameongeza, wakati wa kuifanyia mapitio ili kulinda Uhuru wa Kujieleza na wa Habari nchini umefika
Soma https://jamii.app/Uhuru