UNHCR: IDADI KUBWA YA WAKIMBIZI DUNIANI HUTOKEA NCHI TANO
Nchi hizo ni #Afghanistan, Myanmar, Sudan Kusini, Syria na #Venezuela
Kwa kila sekunde, kuna Mtu 1 anayakimbia Makazi yake kutokana na Mabadiliko ya Tabianchi/Hali ya Hewa
Soma - https://jamii.app/ClimateRefugees
#HumanRights

SHINYANGA: MBARONI KWA KUIBA MTOTO WA SIKU 20
Rehema Saidi (47) amekamatwa kwa tuhuma ya kuiba Mtoto Kituo cha Afya Lunguya
Wito umetolewa kwa Serikali kuimarisha ulinzi katika Vituo vya Afya na Zahanati ili kudhibiti wizi wa Watoto
Soma - https://jamii.app/WiziMtoto
#JFMatukio

WAZIRI NAPE: SHERIA YA ULINZI WA DATA NI YA MUHIMU
Amesema ni ya msingi katika Tanzania ya kidijitali ili watu wajiamini na kuwa huru
JamiiForums imekuwa mstari wa mbele kuitetea Haki ya Faragha kwa mujibu wa Ibara ya 16 ya Katiba
Soma https://jamii.app/NapeData
#DataProtection #DataPrivacy

MAREKANI YADAI INA ORODHA YA WANAOPASWA KUUAWA NA URUSI ITAKAPOIVAMIA UKRAINE
Marekani imedai miongoni mwa walengwa ni wapinzani wa kisiasa na makundi madogo ya watu wa Dini
Urusi imeendelea kukanusha kuwa na mpango wa kushambulia Ukraine
Soma - https://jamii.app/UrusiUkraine
#JFLeo

TANZANIA KUPATA MKOPO WA TRILIONI 1.5 KUTOKA BENKI YA DUNIA
Benki ya Dunia (WB) na #Tanzania zimesaini Mikataba ya Mkopo wa masharti nafuu wa Dola Milioni 650 kwa ajili ya Miradi ya kuboresha #Elimu na kuimarisha Usalama na umiliki ardhi
Soma - https://jamii.app/MkoboTrilioni
#Governance

HOJA: UNATAMANI UZEE WAKO UWEJE?
Mdau wa JamiiForums.com anasema akifikisha Miaka 60 hataki kutumia nguvu nyingi kutafuta riziki
Anatamani uwe wakati wa kukaa na Wajukuu zake. Pia, hatamani kuishi Mjini ambako kuna msongamano wa Watu
Je, nawe unataka Uzee wako uweje?
Mjadala - https://jamii.app/TamaaUzee
#Maisha

#MALI: Bunge la Mpito limepitisha kwa Kura zote Muswada wa kutawaliwa na Jeshi kwa miaka mitano. Mali iliingia katika Utawala wa Kijeshi baada ya Mapinduzi ya Mei 2021
Jumuiya mbalimbali zinashinikiza Utawala wa Kiraia kurejeshwa
Soma - https://jamii.app/MaliJeshi
#Democracy

Umoja wa Ulaya umewawekea Vikwazo Maafisa wa #Myanmar pamoja na #Biashara za Mafuta na Gesi kutokana na Mapinduzi ya Mwaka mmoja uliopita
50% ya Mapato ya Myanmar yanatokana na Fedha za Kigeni zinazopatikana kupitia rasilimali ya Gesi
Soma - https://jamii.app/EUBanMyanmar

BRAZIL: MAFURIKO YAUA WATU 176
Mvua kubwa iliyonyesha huko #Petropolis iliwafunika watu wengi kwenye tope na hadi sasa watu zaidi ya 110 bado hawajulikani walipo
Mvua zimesababisha mafuriko na maporomoko maeneo mbalimbali Nchini #Brazil
Soma - https://jamii.app/BrazilVifo176

#PAKISTAN: WANAOKOSOA MAMLAKA MTANDAONI KUFUNGWA HADI MIAKA 5
Wanaokosoa Jeshi, Mahakama au Maafisa wa Umma Mtandaoni watafungwa Miaka 5 na hakuna dhamana
Wanaharakati wanasema Sheria inazidi kuminya Uhuru wa Kujieleza ktk Taifa hilo
Soma - https://jamii.app/PakistanLawSM
#FreeSpeech

JE, WAJUA; Leo 22/02/2022 ni #Palindrome, ikimaanisha Namba inaweza kusomeka kwa kwenda mbele au kurudi nyuma bila kupoteza thamani
Pia leo ni 'Ambigram' ambayo humaanisha Sanaa inayoweza kufanya neno/namba lisomeke juu chini, na chini juu
Soma https://jamii.app/Paliondrome
#TwosDay

DAKTARI: MATUMIZI YA P2 HUCHANGIA MIMBA KUTUNGA NJE YA KIZAZI
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake, Godfrey Chale akizungumza na Global amesema utafiti uliofanyika #Ghana 2003 ulionesha Vidonge vya P2 husababisha Mimba kutungwa nje hasa kwa wanakosea matumizi
Soma - https://jamii.app/P2EctopicPreg
#Afya

SERIKALI: SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO YA 2015 INGETUMIKA IPASAVYO MAHABUSU ZINGEJAA
Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Habari, Kundo Mathew ambaye pia amesema kuna mkanganyiko kati ya Ofisi ya DCI na TCRA kutokana na Sheria hiyo
Soma - https://jamii.app/CyberCrimeAct
#DigitalRights

BURKINA FASO: WATU 60 WAFARIKI DUNIA KUTOKANA NA MLIPUKO MGODINI
Mamlaka zimesema mlipuko uliotokea mwenye Mgodi wa Dhahabu umetokana na vilipuzi vinavyotumika machimboni
Machimbo yasiyoidhinishwa yametajwa kuwa na ajali za mara kwa mara
Soma - https://jamii.app/BurkinaFasoMlipuko

RAIS SAMIA: KAMA UNAMJUA MUNGU HUWEZI KUMUUA MWENZIO
Asema "Kama unamjua Mungu huwezi kumuua mwenzio kwa Urithi, Kisasi au umeambiwa amekuroga hukuvuna"
Awaomba Viongozi wa Kimila kuwaambia Watu kinachotokea sicho tulichoamrishwa kwa Dini wala Mila
Soma https://jamii.app/SamiaMauajiTZ

Rais Samia Suluhu Hassan amesema hana tabia ya kutukuzwa wala kulinganishwa na Mungu na atajitahidi kuwa na Hekima na Uvumilivu
Amesema hayo leo, Februari 22, 2022 katika sherehe za Jubilee ya Miaka 25 ya Askofu Niwemugizi iliyofanyika Wilayani Ngara Mkoani Kagera.
#JamiiForums

KITU GANI KILIKUSAIDIA KUPATA KAZI?
Baadhi ya Wadau ndani ya JamiiForums.com wametaja vitu vilivyowasaidia kupata Kazi ikiwemo Maombi, kutembeza CV kwenye kila Ofisi, Kujitolea, Kujiamini kwenye Usahili na 'Connection'
Je, Wewe uliwezaje kupata Kazi?
Mjadala zaidi - https://jamii.app/MbinuAjira

DKT. KIGWANGALLA KUIPINGA SERIKALI JUU YA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA WILAYA NZEGA
Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa ameelekeza Makao Makuu kujengwa Lubisu badala ya Ndalla
Mbunge huyo wa Nzega Vijijini asema mchakato haujafuata Sheria na Kanuni
Soma https://jamii.app/NzegaDktKigwangalla

COLOMBIA YAHALALISHA UTOAJI MIMBA YA HADI MIEZI SITA
Mahakama ya Kikatiba imeruhusu utoaji Mimba hadi yenye wiki 24. Mashirika ya kutetea Haki za Wanawake yameripoti kuwa Wanawake 400,000 kila mwaka Nchini humo walikuwa wanatoa Mimba kwa siri
Soma - https://jamii.app/AbortionColombia

MDAU: MKOPESHE RAFIKI/NDUGU KIASI CHA FEDHA UNACHOWEZA KUSAMEHE
Anasema ili kulinda Heshima baina yako na Rafiki au Ndugu zako linapokuja suala la Fedha inabidi uwe na Akili sana
Utakapokuwa na uhitaji halafu uliyemkopesha anakuzungusha utabaki kuumia Moyoni, na kupotezeana Heshima huanzia hapo
Unakubaliana na Mdau huyu?
Mjadala - https://jamii.app/MkopoNduguRafiki
#JamiiForums #Maisha