NCHI TATU ZA AFRIKA KUPEWA VIFAA VYA KUZALISHA CHANJO
Kampuni ya BioNTech na #Pfizer zitaleta Vifaa vya kutengeneza Chanjo #Rwanda, Senegal na Afrika Kusini Julai 2022
Vitawezesha utengenezaji wa Chanjo ya #CoronaVirus, #Malaria na Kifua Kikuu
Soma - https://jamii.app/VifaaChanjo
#JFAfya

RAIS MWINYI: #ZANZIBAR HAINA WAGONJWA WA UVIKO-19
Serikali imesema hivi sasa hakuna Mgonjwa hata mmoja, lakini haiwezi kuweka wazi kama Ugonjwa umeisha moja kwa moja
Imeelezwa, hakuna kisa kipya kwa Wakazi wala Wageni tangu Januari 2022
Soma - https://jamii.app/COVIDZnz
#UVIKO3 #JFAfya

DKT. NDUGULILE: SERIKALI ILIPE DENI LA NSSF ILI KUONDOA TOZO DARAJA LA KIGAMBONI
Mbunge Dkt. Faustine Ndugulile amesema Wakazi wa Kigamboni hawana njia mbadala ya kutumia kama ilivyo kwa wa Msasani, Masaki na wengine wanaotumia Daraja la Tanzanite
Soma - https://jamii.app/DarajaNyerere
#Governance

UFARANSA KUONDOA VIKOSI VYAKE MALI
Rais Emmanuel Macron asema Vikosi vya Nchi hiyo vitaondoka Mali baada ya takriban miaka 10 ya kushirikiana na Wanajeshi wa Taifa hilo
Uamuzi huo umekuja wakati kuna uhasama kutoka kwa Utawala wa Kijeshi
Soma - https://jamii.app/FrenchTroopsMali
#JFDiplomasia

MOROGORO: AJALI ZA BODABODA ZATAJWA KUONGEZA WAGONJWA WA KIFAFA
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Mfumo wa Fahamu na Ubongo kwa Watoto, Dkt. Edward Kija amesema Watu 30 kati ya 100 ktk wilaya ya Mahenge wana Kifafa
Ajali za Bodaboda huchangia Ugonjwa huo kwa kuwa Watu hugonga Vichwa na kuathiri Ubongo, hasa wanapokuwa hawajavaa Kofia ngumu (Helmet)
Soma - https://jamii.app/KifafaMahenge
#EpilepsyAwareness #JFAfya

BUNGENI: Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imeshauri Serikali kujenga maghala makubwa yenye kuhifadhi Mafuta zaidi ya Lita za ujazo Milioni 1.25
Imesema hatua hiyo itawezesha kuagiza mafuta zaidi wakati Bei imeshuka katika Soko la Dunia
Soma - https://jamii.app/KamatiBeiMafuta

MOSHI: WAFANYABIASHARA WATAKA UCHUNGUZI WA MOTO SOKONI, WADAI NI NJAMA
Baadhi ya Wafanyabiashara wa Soko la Mbuyuni waomba Serikali kuunda Tume kuchunguza chanzo cha Moto uliotokea Februari 15, 2022 na kuteketeza Maduka 3 eneo la Stendi ya Mboya
Soma - https://jamii.app/TumeMotoSoko
#JFUwajibikaji

NJOMBE: WANAOTUHUMIWA KUMUUA KATIBU WA KANISA WAFIKISHWA MAHAKAMANI
Waliofikishwa Mahakamani ni Daniel Mwilango (Katekista) na Nickson Nyamideko
Nickson Myamba aliyekuwa Katibu wa Baraza la Walei Kigango cha Makambako aliuawa kwa kukatwa mapanga
Soma - https://jamii.app/MauajiKatibu
#JFMatukio

Rais wa #Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametengua Uteuzi wa Salum Yussuf Ali ambaye alikuwa Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar(ZRB) ili kupisha uchunguzi wa Ubadhirifu wa Tsh. Bilioni 9
Salum Yussuf alishika wadhifa huo tangu Machi 2021
Soma - https://jamii.app/KamishnaZRB
#JFUwajibikaji #Governance

GEITA: AJINYONGA BAADA YA KUACHIKA MARA TATU
Rebecca Benjamini (17) amefariki dunia baada ya kujinyonga kutokana na Msongo wa Mawazo kwa kuachwa kila akiolewa
Alikuwa akilalamika kwanini kila akiolewa anaachika, tayari alishaachika mara 3
Soma - https://jamii.app/KifoNdoaGeita

SERIKALI: ZAIDI YA 60% HUTUMIA TIBA ASILIA KABLA YA KWENDA HOSPITALI
Wizara ya Afya inalenga kuikuza Taaluma ya Tiba Asilia na Mbadala ili kuhakikisha Dawa zinakuwa bora
Dawa 73 zimesajiliwa hadi sasa na 20 zilileta mafanikio kipindi cha #COVID19
Soma - https://jamii.app/60TibaAsili

LISSU: KUFUTA KESI YA MBOWE SIO KUINGILIA UHURU WA MAHAKAMA
Makamu M/Kiti wa CHADEMA amesema hajamuomba Rais Samia aongee na Jaji bali aongee na Mwendesha mashtaka ambaye ni mteule wa Rais na ni sehemu ya Serikali Kuu sio sehemu ya Mahakama
Soma https://jamii.app/LissuMbowe
#JFSiasa

Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake wana Kesi ya Kujibu au Hapana leo Februari 18, 2022
Upande wa Mashtaka katika Kesi hiyo ya Uhujumu Uchumi yenye Mashtaka ya Ugaidi ulifunga Ushahidi Februari 15
Soma - https://jamii.app/UamuziKesiMbowe

RAIS SAMIA: WANASIASA WA TANZANIA HAKUNA HATA ALIYEUMWA NA SISIMIZI
Akizungumza na Idhaa ya Kiswahili ya DW amesema Wanasiasa wa Upinzani wako wengi Tanzania na hakuna anayeishi kwa mashaka hivyo Tundu Lissu aulizwe mashaka yake ni yapi
Soma - https://jamii.app/SiasaTz

INDIA: 13 WAPOTEZA MAISHA BAADA YA KUTUMBUKIA KISIMANI
Wamefariki dunia baada ya kuangukia ndani ya kisima wakiwa Harusini
Mamlaka zasema waliofariki ni Wanawake na Watoto, 11 walipoteza maisha eneo la tukio na wawili wakipatiwa matibabu
Soma - https://jamii.app/13DeadIndia

Rais Samia amesema Serikali ipo tayari kupokea Mapendekezo kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016, ambapo baadhi ya vipengele vimekuwa vikilalamikiwa kuwa kandamizi
Ameeleza hayo kwenye Mahojiano Maalum na DW
Soma - https://jamii.app/SheriaKandamizi
#PressFreedom

BAJETI ZITEKELEZE MIPANGO ILIYOPANGWA
Mdau anashauri kuwepo Mfumo shirikishi utakaosaidia Wananchi kushiriki katika kuonesha vipaumbele vya Maendeleo na Utekelezaji
Itasaidia Wananchi kuwa Wasimamizi wa Miradi katika maeneo yao
Soma - https://jamii.app/MdauSOC1
#StoriesOfChange #Accountability

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema suala la idadi ya Watu ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro ni kubwa, hivyo watakaotaka kuhama kwa hiyari Serikali itawahudumia
Pia, amewataka wakazi wasiwalazimishe Watu kubaki kwa kuwa Mtu anaweza kuishi kokote
Soma - https://jamii.app/NgorongoroPM

FREEMAN MBOWE NA WENZAKE WAKUTWA NA KESI YA KUJIBU
Mahakama imemkuta Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine watatu na Kesi ya Kujibu katika Mashtaka matano kati ya 6 kwenye Kesi ya Uhujumu Uchumi yenye Mashtaka ya Ugaidi inayowakabili
Jaji Joachim Tiganga amesema Mahakama imepitia vielelezo vyote vya Upande wa Mashtaka na Utetezi, na imeona upo Ushahidi Washtakiwa Wana Kosa la Kujibu
Soma zaidi - https://jamii.app/MboweKesiJibu