JamiiForums
βœ”
52.8K subscribers
34.4K photos
2.44K videos
31.3K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Jamii Forums kwa kushirikiana na Muhimbili University of Health and Allied Science (MUHAS), Muhimbili National Hospital (MNH), Tumaini la Maisha (TLM) na Wadau wengine wameandaa Mjadala utakaofanyika kupitia Clubhouse ya JamiiForums ili kuongeza uelewa juu ya Saratani kwa Watoto Nchini #Tanzania

Mjadala huu unatarajiwa kufanyika leo Februari 15, 2022

Link > https://jamii.app/MjadalaSarataniWatoto

#JamiiForums #CancerDay2022 #JFAfya
WAWILI WADAIWA KUFARIKI KUTOKANA NA KIPIGO CHA POLISI

Gazeti la Mwananchi limeripoti kufariki kwa Koba Ndalu(23) wa Morogoro na Jacob Elias wa Tabora

Walikamatwa kwa makosa ya Wizi ambapo Koba alifariki Februari 7 na Jacob alifariki Februari 12, 2022

Soma - https://jamii.app/TaboraMorogoro

#JFMatukio
MALI: Kwa mujibu wa Maafisa wa Fedha Afrika Magharibi, Nchi hiyo imeshindwa kulipa Madeni yanayofikia Euro Milioni 81 katika Soko la Fedha la Ukanda huo

Siku kadhaa zilizopita, Serikali ya Kijeshi ilitoa rai ya kuondolewa vikwazo vilivyowekwa ikionya vitaleta madhara makubwa kiuchumi na kijamii

Soma - https://jamii.app/MadeniMali

#JFUchumi #Governance
Jamii Forums kwa kushirikiana na Muhimbili University of Health and Allied Science (MUHAS), Muhimbili National Hospital (MNH), Tumaini la Maisha (TLM) na Wadau wengine wameandaa Mjadala utakaofanyika kupitia Clubhouse ya JamiiForums leo Februari 15, 2022 ili kuongeza uelewa juu ya Saratani kwa Watoto Nchini #Tanzania

Je, una swali gani au ungependa kufahamu nini kuhusu hali ya #Saratani kwa Watoto?

Karibu ujiunge nasi katika Mjadala > https://jamii.app/MjadalaSarataniWatoto

#JamiiForums #CancerDay2022 #JFAfya
MDAU: NI WAKATI WA TANZANIA KUANGAZIA VYANZO VINGINE VYA MAPATO

Anashauri tusimamie Rasilimali zetu, kwani itasaidia kupanua Biashara za kikanda kuliko wazo letu la kwanza kama Taifa kuwa Kodi

Anapendekeza tutumie Kilimo kama fursa ya kutuvusha akisema Kodi nyingi hazitotufikisha tunapohitaji kufika kama Taifa na zitazidi kuumiza Wananchi

Soma - https://jamii.app/MapatoSOC

#StoriesOfChange #Governance
Mjadala huu unatarajiwa kufanyika leo Februari 15, 2022 ambapo Wataalamu mbalimbali wa #Afya wataeleza kwa kina kuhusu Saratani ya Watoto na namna ya kukabiliana nayo

Karibu ujiunge nasi katika Mjadala huu

Link > https://jamii.app/MjadalaSarataniWatoto

#JFAfya
ETHIOPIA: Kwa mara ya kwanza ndani ya Miezi sita, Shirika la Afya (WHO) limepata Kibali cha kusambaza vifaa vya matibabu Jimbo la #Tigray

Serikali ya #Ethiopia ilizuia karibu usambazaji wote wa misaada kufuatia miezi kadhaa ya mvutano wa Kisiasa

Soma - https://jamii.app/WHOTigrVifaa

#Governance
Utafiti uliofanywa na Wataalamu umeonesha takriban robo tatu ya Watanzania waliopata #COVID19 wana umri sawa au chini ya miaka 60

Utafiti ulifanywa kwa miezi miwili na Wagonjwa 121 waliofika Hospitali mbili zenye hadhi ya rufaa walifuatiliwa

Soma https://jamii.app/COVID19Tanzania

#UVIKO3 #JFAfya
INDIA YAZUIA UPATIKANAJI WA 'APPS' 54 ZA KICHINA

India inaamini Taarifa za Watumiaji zilikuwa zikitumwa #China kutumia 'App', kisha kutumika kwa namna inayoweza kuhatarisha Usalama wa Taifa

Tangu Mwaka 2020, #India imefuta Apps 321 za Kichina

Soma - https://jamii.app/ChinaAppsIndia

#DigitalRights
Wataalamu mbalimbali wa #Afya wataeleza kwa kina kuhusu Saratani ya Watoto na namna ya kukabiliana nayo

Je, una swali gani au ungependa kufahamu nini kuhusu hali ya #Saratani kwa Watoto? Karibu ujiunge nasi katika Mjadala

Link > https://jamii.app/MjadalaSarataniWatoto

#JamiiForums #CancerDay2022

#JFAfya
DAR: Hussein Ramadhani (30) Mkazi wa Sinza, anatuhumiwa kuvaa sare za Polisi na kufanya uhalifu wa unyang’anyi wa kutumia nguvu

Amekutwa na buti za Polisi, kadi za Benki na NSSF zenye jina la Florence Victor Kiondo. Pia, amewahi kufungwa kwa wizi

Soma - https://jamii.app/AjifanyaPolisi

#JFMatukio
SERIKALI: MATUMIZI HOLELA YA P2 YANAWEZA KUSABABISHA UGUMBA NA SARATANI

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema wanatambua kuna matumizi mabaya ya Dawa hizo hasa kwa Watoto wa Shule akieleza, "Kwa sasa inaonekana wanaogopa zaidi mimba kuliko UKIMWI!"

Soma - https://jamii.app/SerikaliP2

#JFAfya
Ungana nasi katika Mjadala ambapo Wataalamu mbalimbali wa #Afya wataeleza kwa kina kuhusu Saratani ya Watoto na namna ya kukabiliana nayo

Je, una swali gani au ungependa kufahamu nini kuhusu hali ya #Saratani kwa Watoto?

Bonyeza > https://jamii.app/MjadalaSarataniWatoto

#JFAfya
Ungana nasi katika Mjadala huu unaoendelea ndani ya Clubhouse - https://jamii.app/MjadalaSarataniWatoto

#JFAfya
Ungana nasi katika Mjadala huu unaoendelea ndani ya Clubhouse - https://jamii.app/MjadalaSarataniWatoto

#JFAfya