#ETHIOPIA: SERIKALI YARIDHIA KUONDOA HALI YA DHARURA
Hali ya Dharura ya miezi 6 iliwekwa Novemba 2021 baada ya Vikosi vya #Tigray kusema vinaelekea Addis Ababa
Serikali imesema sasa vitisho vinaweza kudhibitiwa kupitia taratibu za kawaida
Soma - https://jamii.app/HaliDharuraEth
#Governance

KILIMANJARO: Polisi mstaafu, Omary Charema Msangi amejinyonga bafuni kwa kutumia waya wa pasi
> Mmoja wa ndugu amedai Mke wa marehemu aliuza mali ikiwemo Nyumba na Mashamba Mumewe alipokuwa Dar kwa matibabu. Aliporejea alilazimika kupanga
Soma - https://jamii.app/MstaafuAjinyonga
#JFMatukio

MDAU: JAMII ITAMBUE HUDUMA BORA NI HAKI YAO
Anashauri Wananchi wafundishwe madhara ya kuchagua Viongozi watoa Rushwa ambao hujilipa kwa Uwekezaji walioufanya kupata Kura, na kuacha Wananchi wakiendelea kukosa Maji, Elimu na Huduma nyingine
Soma - https://jamii.app/RushwaJamii
#StoriesOfChange #Governance #KemeaRushwa

RAIS SAMIA: ANAYEKOSEA MAAMUZI NITAMREKEBISHA, SITAMFUKUZA
Asema ili kupunguza mzigo wa kazi, huwa anawaambia Wasaidizi wake kufanya maamuzi kwenye masuala yaliyo ndani ya uwezo wao
Katika Mahojiano na Jambo Tanzania ameeleza, "Nitakurekebisha mara ya kwanza, ya pili na ya tatu. Mara ya nne unaendelea kukosea nitajua huwezi"
Soma - https://jamii.app/RaisMaamuzi
#JFSiasa #Governance

RUKWA: MBARONI KWA KUMUUA MJAMZITO NA WANAYE KWA DENI LA GUNIA 2 ZA MAHINDI
Philipo Vincent (22) amemkata mapanga Mjamzito wa miezi 8 na Watoto akimdai Tsh. 100,000
Marehemu alimwambia Mtuhumiwa asimdai kwa nguvu kwa kuwa hakumtuma amkopeshe
Soma - https://jamii.app/MjamzitoDeni

Wataalamu wanasema Roketi ya Tajiri Elon Musk, #SpaceX iliyorushwa 2015 na kushindwa kurudi Duniani iko kwenye mwendo wa kugonga sehemu ya Mwezi (dark side of the Moon) Machi 4, 2022
Hata hivyo, hakutakuwa na madhara katika tukio hilo la kugongana
Soma - https://jamii.app/MbalamweziRoketi
#JFTech

UAE KUONDOA MARUFUKU KWA WASAFIRI KUTOKA NCHI 12 ZA AFRIKA
Mataifa hayo ni Tanzania, Kenya, Afrika Kusini, Nigeria, Ethiopia, Congo, Botswana, Eswatini, Lesotho, Msumbuji, Namibia na Zimbabwe
Marufuku iliwekwa kutokana na Kirusi cha Omicron
Soma https://jamii.app/UAEBanLifted
#UVIKO3

AFGHANISTAN: Jumuiya ya Kimataifa yahimizwa kuruhusu misaada iliyositishwa kuepusha Familia kuuza Watoto ili kupata Chakula
Umoja wa Mataifa umesema Taliban inapaswa kuzingatia Haki za Msingi za Wanawake na Watoto
Soma - https://jamii.app/AfghaniCrisis
#HumanRights

MDAU: KUJIAMINI HUIPA NAFSI YAKO KICHOCHEO CHANYA
Anasema kujiamini ni Imani binafsi kwenye uwezo, jitihada au maamuzi katika kukabiliana na Mazingira
Hali hii hupunguza Msongo wa Mawazo kwani usipojiamini utafanya vitu visivyokusaidia kukua
Soma - https://jamii.app/Kujiamini
#JFMdau

MDAU: KUOA UKIWA KIJANA HUKUPA NIDHAMU YA MATUMIZI YA FEDHA
Anasema japokuwa Ndoa ina changamoto zake lakini haiondoi faida ambazo Mtu huzipata kutokana na Ndoa
Anasema wasiooa wanaweza kutumia Fedha ovyo lakini ukiwa umeoa utafikiria Familia
Soma - https://jamii.app/VijanaNdoa

ULINZI WA DATA: Wakati mwingine Taarifa hukusanywa kwa nia njema, lakini Changamoto ni kwamba wengi hawana namna ya kuzitunza
Kuwepo Sheria ya #UlinziWaData kutasaidia kufahamu uhifadhi na usalama wa taarifa hizo upoje
Soma - https://jamii.app/UtunzajiTaarifa
#DataProtection

RWANDA: WASIOPATA CHANJO KUTORUHUSIWA MAENEO YA UMMA
Serikali imewataka Wananchi kupata Chanjo kamili ya #COVID19 ili kuruhusiwa kuingia maeneo ya umma
Watu milioni 7 wameshapata Chanjo kamili na zaidi ya milioni 8 wamepata Chanjo ya kwanza
Soma https://jamii.app/RwandaUmma

BURKINA FASO: Wanajeshi waliomtoa Rais Roch Kabore wamewaonya waliokuwa Mawaziri kutoondoka Mji Mkuu wa Nchi hiyo, au kukwamisha mazungumzo kuhusu namna ya kurejesha Utawala wa Demokrasia
Kabore alipinduliwa kwa kushindwa kudhibiti hali ya usalama
Soma https://jamii.app/MinistersBurkinaF
#Governance #Democracy

ANACHOWEZA KUFANYA MZAZI KUHAKIKISHA MTOTO ANABAKI SALAMA MTANDAONI
1) Kuwaeleza Watoto umuhimu wa kuweka nywila (Password) kwenye vifaa vyao
2) Kuhakikisha Mtoto haweki taarifa zake binafsi ikiwemo mahali anapoishi au namba ya simu
Soma - https://jamii.app/WatotoMitandao
#ChildSafety #DigitalRights

WB: UCHUMI WA DUNIA UTAKUA KWA 4.4% KWA MWAKA 2022
Benki ya Dunia imesema unakua kidogo na ilivyokadiriwa awali. 2023 ukuaji wa Uchumi utapungua hadi kufikia 3.8%
Nchi zinazoendelea zitakuwa na ukuaji mdogo ikilinganishwa na Nchi zilizoendelea
Soma https://jamii.app/Uchumi2022

WIZARA YA AFYA: TANZANIA NI MOJA YA NCHI ZENYE WAGONJWA WENGI WA SELIMUNDU DUNIANI
Wizara ya Afya imesema kila mwaka watoto 11,000 huzaliwa na Selimundu (sickle cell) nchini
> Serikali inafanya marekebisho ya Sera ya Afya ili kukabiliana na ugonjwa huo
Soma https://jamii.app/SeliMunduTz
#JFAfya

BURKINA FASO: Luteni Kanali Paul-Henri Damiba aliyeongoza Mapinduzi asema Jeshi litakutana na makundi mbalimbali ya Jamii kujadili mchakato wa kufanya mageuzi
Amesema Nchi hiyo inahitaji msaada wa Washirika wa Kimataifa kuvuka hali ya sasa
Soma - https://jamii.app/DamibaSpeech

Denmark imetangaza kuondoa vikosi vyake vilivyokuwa vinapambana na Magaidi nchini Mali baada ya kuwa na mzozo wa kidiplomasia
> Mali imekaidi kuitisha uchaguzi Februari kama ilivyohitajika na Jumuiya za Kimataifa
Soma https://jamii.app/DenmarkMali

Gazeti la Mwananchi la Januari 28, 2022 limeandika mtuhumiwa wa mauaji ya Musa Hamisi, Gilbert Kalanje (Mrakibu wa Polisi) ndiye aliyemtishia Waziri Nape Nnauye bastola Machi 23, 2017
> 2017, Serikali ilisema aliyemtishia bastola Nape si Polisi
Soma https://jamii.app/MauajiBastola
#JFUwajibikaji #Accountability

Mahakama Kuu ya #Tanzania imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia akipinga mchakato wa kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai
Mahakama imesema hakuna ukiukwaji wa Kikatiba uliofanyika
Soma - https://jamii.app/PingamiziNdugai
#JFSiasa