JamiiForums
52.8K subscribers
34.4K photos
2.44K videos
31.3K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Mjadala wa Haki ya Faragha na Ulinzi wa Taarifa binafsi unaoendelea hivi sasa ndani ya JamiiForums

Fuatilia - https://www.clubhouse.com/join/jamiiforums/2gXFqw3K/MzaY4W7B

#DataPrivacy
Yanayojiri katika Mjadala wa 'Haki ya Faragha na Ulinzi wa Taarifa Binafsi' unaoendelea Clubhouse

Fuatilia - https://www.clubhouse.com/join/jamiiforums/2gXFqw3K/MzaY4W7B

#DataPrivacy
KENYA YAKABILIWA NA UHABA WA KONDOMU

Imeelezwa, Vituo vya Afya vya Umma, Hoteli na Migahawa vinakabiliwa na uhaba huo kutokana na mvutano wa ushuru kati ya Wafadhili na Serikali

Kenya husambaza bure takriban Mipira milioni 180 kila Mwaka

Soma - https://jamii.app/LackCondomKE
UJERUMANI: Bunge limeidhinisha Sheria mpya za kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Corona

Miongoni mwa yaliyopitishwa ni Mtu atalazimika kuonesha uthibitisho wa ikiwa amechanjwa, amewahi kuugua Corona na kupona au kupima anapokuwa maeneo ya kazi na ktk usafiri wa Umma

Soma - https://jamii.app/GermySheriaUviko
#UVIKO3
UGANDA: WATUHUMIWA 5 WA MILIPUKO JIJINI KAMPALA WAUAWA NA POLISI

Wengine 21 wakamatwa ikiwa ni sehemu ya Uchunguzi wa Milipuko ya kujitoa mhanga iliyotokea mapema wiki hii

#Uganda imeimarisha usalama na Rais Museveni ameapa kuwashinda magaidi

Soma - https://jamii.app/5ArrestedUG
Vipo visababishi vingi vya Magonjwa ya Afya ya Akili ikiwemo sababu za Kijamii na Kisaikolojia kama Umasikini, kutengwa na Jamii, Utegemezi, Upweke na Upotevu wa vitu (kufiwa na Mtu wa karibu, kupoteza Mali, Kazi au kupata Ulemavu)

Pia, Mafarakano na mipasuko katika Jamii/Familia pamoja na matatizo ya Mahusiano, kukosa huduma muhimu, Unyanyasaji wa Kijinsia na Ubaguzi wa aina mbalimbali

Soma zaidi - https://jamii.app/SignsMentalDisorder
#AfyaAkili