ZANZIBAR: MAMLAKA ZAAGIZWA KUYABAINI MAJENGO HATARISHI
- Rais Mwinyi amezitaka Mamlaka zinazoshughulikia nyumba zilizopo Mji Mkongwe kuyabaini na kuyafunga majengo yote yaliyo ktk hali isiyoridhisha, ili kuepusha madhara yanayoweza kutokea
Soma - https://jamii.app/MajengoZnz

IRAQ KUKABILIWA NA UPUNGUFU WA NISHATI YA UMEME
> Iran imepunguza mauzo ya Gesi kwa #Iraq hadi Milimita Milioni 5 kutoka Milimita Milioni 50 kutokana na kusuasua kwa malipo
> Pia, #Tehran inalenga kupunguza usambazaji hadi Milimita Milioni 3
Soma https://jamii.app/IraqBlackoutIran

#CORONAVIRUS: CHANJO YA ASTRAZENECA YAONESHA MAFANIKIO
- Imeelezwa, Chanjo hiyo inaweza kutoa kinga kwa 100% baada ya mtu kupatiwa dozi mbili
- Hivi sasa, Chanjo ya AstraZeneca inafanyiwa tathmini na Taasisi ya Udhibiti wa Dawa ya Uingereza
Soma https://jamii.app/AstraZenecaVaccine

TAKRIBAN WATOTO 250,000 WA CABO DELGADO HATARINI KUPATA MAGONJWA
> UNICEF inasema, Watoto hao wanatishiwa na magonjwa ya kuharisha, kipindupindu na kusambaa zaidi kwa #COVID19
> Watoto wenye utapiamlo mbaya ndiyo hasa walio ktk hatari zaidi
Soma - https://jamii.app/DiseasesCaboDelgado

MAREKANI: RAIS TRUMP ASAINI MUSWADA WA MSAADA WA BILIONI 900
- Rais Donald Trump alikataa kutia saini hapo awali akiutaja Muswada huo kuwa fedheha
- Fedha hizo zinalenga kusaidia Mamlioni ya Wamarekani walioathirika na janga la #COVID19
Soma - https://jamii.app/TrumpCovidAid

UGANDA: MLINZI WA BOBI WINE ADAIWA KUGONGWA NA GARI LA JESHI
- Inadaiwa Francis Kalibala, aligongwa na gari la Jeshi wakati msafara wa Bobi Wine unatoka Masaka
- Msemaji wa Jeshi amesema Francis alianguka kutoka kwenye gari lililokuwa mwendokasi
Soma - https://jamii.app/BobiGuardDies

WHATSAPP KUTOFANYA KAZI KWENYE BAADHI YA SIMU MWAKA 2021
- Ni pamoja na #iPhone zinazotumia iOS ya chini ya toleo la 9 ikiwemo iPhone 4
- #Android zenye 4.0.2 kurudi nyuma zikiwemo HTC Desire, Motorola Droid Razr na Samsung Galaxy S2
Soma - https://jamii.app/WhatsAppAndroidIphone2021
#Technology

CHINA: MWANDISHI WA HABARI ALIYERIPOTI MLIPUKO WA #CORONAVIRUS AFUNGWA MIAKA 4
- Zhang Zhan (37) aliyekamatwa Mei amehukumiwa baada ya kukutwa na hatia ya kuchochea majibizano na ugomvi, shtaka ambalo mara nyingi hutolewa kwa Wanaharakati
Soma - https://jamii.app/MwandishiJelaChina

SERIKALI: WAMILIKI WASIGEUZE VYUO VYA FAMASI KUWA BIASHARA
- Msajili wa Baraza la Famasi amesema wanatarajia kupata Wataalamu watakaotoa huduma ktk Vituo vya Afya
- Ameeleza, idadi ya Wafamasia imekuwa ikiongezeka japokuwa sio kwa kasi kubwa
Soma https://jamii.app/VyuoBiashara

SERIKALI YATOA MIEZI 3 KWA TCRA KUMALIZA MALALAMIKO YA VIFURUSHI NA BANDO
> Pia, Waziri Dkt. Faustine Ndugulile ameiagiza TCRA kuhakikisha chaneli 5 za bure za TV zinazotakiwa kuonekana hata baada ya malipo ya king'amuzi kuisha zinaonekana
Soma - https://jamii.app/TCRAVifurushiSimu

RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA DED IGUNGA
- Uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga, Revocatus Kuuli umetenguliwa kufuatia tuhuma za kutwaa ardhi ya wananchi bila kufuata utaratibu na matumizi mabaya ya fedha za Serikali
Soma - https://jamii.app/DEDIgunga

TUNDURU: MAMA AUA MWANAYE ILI AKAFANYE KAZI ZA NDANI
> Neema Athumani (24), anatuhumiwa kumuua Rashfod Tariq (4) kwa kumuwekea sumu ya panya kwenye soda
> Alikamatwa akielekea Arusha kwa ajili ya kazi za ndani kutokana na ugumu wa maisha
Soma - https://jamii.app/KifoMtotoAjira

#COVID19: MAAMBUKIZI YA AFRIKA KUSINI YAFIKIA MILIONI MOJA
- Inakuwa nchi ya kwanza Afrika kurekodi idadi hiyo, ambapo maambukizi yamefikia 1,004,413
- Rais Cyril Ramaphosa anatarajiwa kutangaza masharti magumu zaidi kudhibiti maambukizi
Soma - https://jamii.app/1MCovidSA

FAHAMU KUHUSU VIKWAZO VYA KIUCHUMI NI NINI (SEHEMU YA 1)
- Vikwazo vya Kiuchumi ni matumizi ya mabavu ya kiuchumi bila kutumia Jeshi, kulishawishi Taifa fulani kubadili tabia yake, ama kupewa adhabu kwa kuvunja #Sheria za Kimataifa
- Uvunjifu huu unajumuisha mikataba ambayo Taifa hilo imeingia na kusaini na kuivunja, ama kuvunja makubaliano ya Kimataifa
Zaidi, soma - https://jamii.app/EconomicSanctions
#Sanctions #Economy

SERIKALI YAVUNJA MKATABA WA MRADI WA MAJI SAME
- Imevunja mkataba wa mradi wa maji wa Same, Mwanga na Korogwe na Kampuni ya M.A Kharafani uliogharimu zaidi ya Tsh. Bilioni 262
- Mradi ulipaswa kukamilika 2017 na kuhudumia Wananchi 438,000
Soma - https://jamii.app/MkatabaMajiSame

SAUDI ARABIA: MWANAHARAKATI MAARUFU AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 5
- Loujain al-Hathloul amekutwa na Hatia ya makosa kadhaa ikiwemo kuhatarisha Usalama wa Taifa
- Yeye na Wanaharakati wengine walikamatwa 2018 na kushtakiwa kwa makosa mbalimbali
Soma - https://jamii.app/ActivistJailed

RAIS MAGUFULI AAGIZA DARAJA LA BUSISI LIKAMILIKE NDANI YA MIAKA 3 BADALA YA 4
> Pia, amewataka Wananchi walime sana kipindi cha mvua kwasababu 2021 Nchi inaweza kukabiliwa na njaa, kutokana na Nchi nyingi zitahitaji chakula sababu ya #COVID19
Soma https://jamii.app/MaguBusisiKilimo

MAREKANI: BIDEN ADAI TIMU YAKE HAIPEWI TAARIFA MUHIMU
- Asema, wanakosa taarifa za maeneo makuu ya Usalama wa Taifa na wamepata vizuizi kutoka Wizara ya Ulinzi
- Amedai Mashirika muhimu kwa Usalama yamepata athari kubwa chini ya Utawala wa Trump
Soma - https://jamii.app/BidenUS

MAREKANI: REPUBLICAN WAFUNGUA KESI DHIDI YA MAKAMU WA RAIS
- Kesi inalenga kuangalia uwezo wa Mike Pence kama Makamu wa Rais, ambaye anapaswa kuongoza Mkutano wa Bunge Januari 6 wa kuhesabu kura na kuhitimisha ushindi wa Biden dhidi ya Trump
Soma https://jamii.app/MikePenceLawSuit

AFRIKA KUSINI: SERIKALI YAREJESHA MASHARTI YA KUDHIBITI #COVID19
- Wananchi wamepigwa marufuku kutoka nje kuanzia saa 3 usiku hadi saa 12 asubuhi bila kibali
- Mauzo ya pombe yamezuiwa na watu wote wametakiwa kuvaa barakoa ktk maeneo ya Umma
Soma https://jamii.app/CovidSA