JamiiForums
βœ”
52.5K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
WATOTO KUTOKWA NA HAJA KUBWA BILA KUJIJUA NI TATIZO KATIKA UTUMBO MPANA

> Kitaalamu Ugonjwa huo unaitwa Hirschsprung’s Disease, na unawakabili watoto wengi

> Ni Ugonjwa unaochukuliwa kama tabia, lakini ni tatizo lililo nje ya uwezo wa mtoto

Soma https://jamii.app/UgonjwaKujinyea
#JFAfya
TCRA: WANAWAKE HUDHALILISHWA SANA MITANDAONI KUTOKANA NA KUPIGA PICHA TATA

> Kwa mujibu wa kesi wanazozipokea, waathirika hubainika walihusika kuchapisha maudhui hayo ya ngono

> Suala hilo linachangiwa na ugawaji wa nywila kwa watu wa karibu

Soma https://jamii.app/SocialMediaBullying
RIPOTI: WATUMIAJI WA INTANETI TANZANIA WAFIKIA MILIONI 27.1

> Kwa mujibu wa takwimu mpya za TCRA, Watumiaji wamefikia idadi hiyo Juni kutoka Milioni 26.8 ya mwezi Machi

> Hii inaashiria ongezeko la fursa mtandaoni kama biashara na maarifa

Soma - https://jamii.app/WatumiajiIntaneti
#JFLeo
KAGERA: MBARONI KWA KUUA AKIJARIBU KUTOA MIMBA

> Frodius Protace (24) anatuhumiwa kumuua Saraiya Idd (25) kwa kujaribu kumtoa mimba ya miezi sita

> Mtuhumiwa alikiri kushiriki mafunzo ya kozi fupi ya Ufamasia lakini hajawahi kuajiriwa

Soma https://jamii.app/TuhumaZaKuua
RAIS MAGUFULI AMKABIDHI NYUMBA MZEE MWINYI
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Magufuli amemkabidhi nyumba Rais Mstaafu, Ally Hassan Mwinyi
-
Mzee Mwinyi amekuwa akiishi kwenye nyumba aliyojenga mwenyewe iliyoko Mikocheni jijini Dar, nyumba ambayo ipo karibu na Nyumba ya Mwalimu Nyerere
-
Ally Hassan Mwinyi ni Rais wa Pili wa Tanzania, aliyeongoza tangu mwaka 1985 hadi mwaka 1995
-
#JFLeo #JamiiForums #JFSiasa
KENYA YASHUKU KUPIGWA NA WIMBI LA PILI LA #CORONAVIRUS

> Kenya imethibitisha watu 685 kuambukizwa #CoronaVirus ndani ya saa 24

> Jumla ya walioambukizwa ni 44,881 huku 28 wakiwa mahututi. Wizara imetahadharisha wananchi kufuata kanuni

Soma https://jamii.app/SecondWaveKE
#JFLeo
MAJALIWA: MCHAGUENI DKT. MAGUFULI KWANI SIO MLALAMISHI

> Amesema, Wananchi wanatakiwa kumchagua mgombea huyo kwa kuwa ana uwezo wa kusimamia kazi ipasavyo

> Amewataka wananchi kutofanya makosa kwa kuchagua wagombea wasioweza kuwatumikia

Soma - https://jamii.app/MajaliwaKigoma
#TZ2020
ZANZIBAR: AAFP YAAHIDI KUWATOLEA MAHARI VIJANA

> Mgombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya AAFP, Said Soud Said amesema atahakikisha vijana wanaoa na mahari itatolewa na Serikali

> Amesema hatua hiyo itapunguza tabia ya ubakaji

Tazama https://youtu.be/khS5kPLW2AA
#Uchaguzi2020
PROF. LIPUMBA: NITATEUA MA-DC WATAKAOSIMAMIA MAENDELEO YA WANANCHI, SIO WANASIASA

> Endapo atachaguliwa, Mgombea huyo wa Urais kupitia CUF amesema atahakikisha Wakuu wa Wilaya wanapoteuliwa wanakuwa na vigezo vyote vya Utumishi wa Serikali

Soma https://jamii.app/LipumbaUteuziDCs
#TZ2020
JE, SHERIA YA UCHAGUZI INASEMA NINI KUHUSU MGOMBEA KUFARIKI?

> Endapo Msimamizi wa Uchaguzi atajiridhisha kuwa Mgombea amefariki kabla ya muda wa mwisho wa upigaji kura, basi atasitisha Uchaguzi katika Jimbo

Zaidi, soma > https://jamii.app/MgombeaKufariki

#Uchaguzi2020 #TZ2020
DKT. BENHAJJ: ELIMU YA UENDESHAJI WA MASHAURI YA UCHAGUZI ILETE MABADILIKO CHANYA

> Jaji wa Mahakama Kuu amesema, Wananchi wanaamini Mahakamani ni mahali pa kupata #Haki

> Amewaomba Watendaji kufanya kazi kwa kuzingatia mwongozo wa #Sheria

Soma https://jamii.app/ElimuUchaguzi
#TZ2020
DKT. KALEMANI: TANESCO HAKIKISHENI UMEME HAUKATIKI WAKATI WOTE WA UCHAGUZI

> Amewataka Mameneja wa TANESCO kuhakikisha umeme haukatiki

> Amesisitiza zaidi usikatike Oktoba 28, kwasababu wanataka wananchi wapige kura kwa uhuru na uhakika

Soma - https://jamii.app/UmemeUchaguzi
#TZ2020
DKT. MAGUFULI: WANAOTAKA MUANDAMANE WAMESHAKATA TIKETI ZA KWENDA ULAYA

> Amesema "Vijana msidanganywe na vitu vya bure vya kuambiwa mjipange barabarani. Usijiangalie wewe tu, mwangalie mdogo/mama yako kama ataweza kukimbia kama wewe"

Soma - https://jamii.app/JPMBagamoyo
#Uchaguzi2020
CECILIA MWANGA: KATIKA UONGOZI WANGU SITAWAACHA SALAMA WABAKAJI

> Mgombea Urais kupitia Demokrasia Makini amesema, atahakikisha watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wanapewa adhabu kali kwasababu vitendo hivyo vinasababisha mmomonyoko wa Maadili

Soma https://jamii.app/CeciliaKampeniPwani
#TZ2020
RAIS MSTAAFU KIKWETE: DKT. MAGUFULI ATASHINDA, SINA WASIWASI

> Amesema, "Utashinda sana na Chama chetu kitashinda na kitaendelea kuongoza Taifa letu"

> Ameeleza kuwa, wananchi wanatambua mengi yaliyofanyika na wataonyesha shukrani Oktoba 28

Soma https://jamii.app/JPMBagamoyo
#TZ2020
DKT. MWINYI: NIPO TAYARI KUFANYA KAZI NA WAZANZIBARI WOTE WAKIWEMO DIASPORA

> Mgombea Urais #Zanzibar kupitia CCM amesema analenga kufanya Mapinduzi ya kiuchumi

> Ametoa wito kwa Diaspora walio tayari kurudi nyumbani kufanya hivyo haraka

Soma - https://jamii.app/MwinyiDiasporaZnz
#TZ2020
MEMBE: NATAKA KUFUNGA BAO DAKIKA YA 89 KUTOKA BENCHI. WATANZANIA MKAE MACHO

> Mgombea Urais wa JMT kupitia ACT-Wazalendo amesema amejipanga, amefanya kazi na atakuwa na nguvu za kutosha ktk dakika za lala salama ili kujipatia ushindi

Soma https://jamii.app/Membe2020Uchaguzi
#Uchaguzi2020
MEMBE: #ZANZIBAR WANAHOJI, KWANINI WAPEWE SIKU 2 ZA KUPIGA KURA ILA TANZANIA BARA SIKU 1?

> Amesema zoezi la upigaji kura likifanyika kwa siku 2 linatoa mwanya wa kufanyika figisufigisu na inaweza kuleta fujo kama ilivyotokea #Zimbabwe

Soma https://jamii.app/Membe2020Uchaguzi
#Uchaguzi2020
QUEEN SENDIGA: NIKICHAGULIWA KUWA RAIS NITAMPA DKT. MAGUFULI UWAZIRI WA UJENZI

> Atafanya hivyo kutokana na jinsi Magufuli alivyoimudu sekta hiyo akiwa Waziri

> Atahakikisha Wagombea waliowania Urais wanapata uongozi ndani ya Serikali yake

Soma https://jamii.app/QueenUwaziriJPM
#TZ2020
UNAWEZA KUTUMIA KITAMBULISHO MBADALA IWAPO UMEPOTEZA KADI YAKO YA MPIGA KURA

> Wapiga Kura waliopoteza kadi zao wanaruhusiwa kutumia Pasi za Kusafiria, Kitambulisho cha Taifa au Leseni za Udereva kupiga kura

Soma > https://jamii.app/VitambulishoUchaguzi

#Uchaguzi2020