MAUAJI YA WAZEE YAPUNGUA. IMANI POTOFU NI CHANZO KIKUBWA
> Yamepungua kutoka 557 mwaka 2014 hadi 74 mwaka 2019 na mwaka huu idadi inatarajiwa kuwa chini ya 10
> Kipindi cha Uchaguzi hali huwa mbaya hata kwa walemavu kutokana na Imani potofu
Soma https://jamii.app/MauajiWazee

WHO: VIFO VYA #CORONAVIRUS VINAWEZA KUFIKIA MILIONI 2
> WHO imesema takwimu zinaweza kuwa kubwa zaidi kusipokuwa na mpango wa pamoja wa kimataifa
> Hadi sasa vifo 981,548 vimerekodiwa, 22,260,044 wamepona na maambukizi yamefikia 32,164,141
Soma https://jamii.app/COVID19Updates

ZANZIBAR: KATIBU WA TAWI WA ACT-WAZALENDO AKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUWAKATA MAPANGA WANACCM
> Ni Katibu wa Tawi la Kosovo, Shehia ya Kangani, Hassan Hamad Hassan (56) anayeshikiliwa kwa tuhuma ya kuwashambulia kwa mapanga wanachama wa CCM
Soma https://jamii.app/KatibuACTMapanga
#TZ2020

LUKUVI: HAKUNA KIONGOZI ALIYEPORA ARDHI. UMILIKI WA ARDHI HUFUATA SHERIA
> Waziri wa Ardhi amekanusha uvumi huo kutokana na baadhi ya kauli ambazo zimetolewa na viongozi wa Vyama vya Siasa wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020
Soma https://jamii.app/ArdhiViongozi

TUNDU LISSU AWAPONGEZA POLISI KWA KUSIMAMIA ULINZI WA MIKUTANO YAKE
> Pia, amesema ktk Uongozi wake kutakuwa na Uhuru kamili wa Vyombo vya Habari na marejesho ya Mikopo kwa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu itarudi kuwa 3% kama ilivyokuwa mwanzo
Soma https://jamii.app/PongeziPolisi

DAR: MGOMBEA WA ADC AHIMIZA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
> Akiwa Kinondoni, Queen Cuthbert Sendiga amesema ana uwezo mkubwa wa kusimamia mifumo mizuri ya kuiletea maendeleo Tanzania na kuwaomba wananchi wampigie kura ifikapo Oktoba 28
Soma https://jamii.app/ADC-Dar
#Uchaguzi2020

WAZIRI MKUU MTEULE WA LEBANON AJIUZULU
> Mustapha Adib ameachia madaraka kutokana na kushindwa kuunda Serikali mpya isiyoegemea upande wowote wa kisiasa
> Serikali ya awali ilijiuzulu kufuatia mlipuko mkubwa uliotokea Agosti 04
Soma - https://jamii.app/AdibResigns

PROF. LIPUMBA AAHIDI KUONGEZA MZUNGUKO WA FEDHA
> Mgombea Urais wa CUF amesema Hali ya umasikini inazidi na yeye ndiye mwenye glisi ya kulegeza vyuma vilivyokaza
> Ataboresha huduma kwa Wajawazito ikiwemo wataalam na vifaa tiba vya kutosha
Soma https://jamii.app/MzungukoFedhaLipumba

VISA VYA #CORONAVIRUS VYAFIKIA 32,435,527
> Nchi zilizoathirika zaidi ni Marekani-6,659,143, India-5,992,532, Brazil-4,718,115, Urusi-1,143,571 na Colombia-806,038
> Wagonjwa wapatao 22,450,261 wamepona na vifo vimefikia 986,471
Soma - https://jamii.app/COVID19Updates

ILANI: SERIKALI YA CHADEMA ITAFANYA NINI SIKU 100 ZA MWANZO?
> Itapunguza kiwango cha marejesho ya Mikopo ya Elimu ya Juu hadi 3% ya mshahara
> Itarejesha Uhuru wa Vyombo vya Habari na kufuta sheria zinazokiuka #HakiZaBinadamu nchini
Soma https://jamii.app/IlaniCDM

TABORA: SHULE YA ISTIQAAMA YAUNGUA KWA MOTO
> Polisi imethibitisha Shule ya Msingi na Awali inayomilikiwa na Taasisi ya Kiislam ya Istiqaama imeungua usiku wa kuamkia leo
> Hakuna madhara kwa binadamu na chanzo cha mto huo hakijafahamika
Angalia - https://youtu.be/Uqm7lqAJBd0

YouTube
TABORA: SHULE YA ISTIQAAMA YAUNGUA KWA MOTO
Polisi imethibitisha Shule ya Msingi na Awali inayomilikiwa na Taasisi ya Kiislam ya Istiqaama imeungua usiku wa kuamkia leo
Hakuna madhara kwa binadamu na chanzo cha mto huo hakijafahamika

SERIKALI YAKANUSHA WATENDAJI WA HALMASHAURI KUITWA DODOMA
> Imekanusha taarifa iliyotolewa na Tundu Lissu aliyesema Wakurugenzi wa Halmashauri nchi nzima wameitwa Dodoma na Mgombea Urais(CCM), Dkt. Magufuli ili kupewa maelekezo ya Uchaguzi
Soma - https://jamii.app/WatendajiDodoma

MARA: TUNDU LISSU AKUTANA NA FAMILIA YA MWALIMU NYERERE
> Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, amekutana na familia ya Hayati Baba wa Taifa huko Mwitongo
> Miongoni mwa wanafamilia waliomkaribisha ni Mtoto wa Mwalimu, Madaraka Nyerere
Soma https://jamii.app/LissuNyerere

MDAU: KUNA WAKATI INABIDI UMLEE MTOTO KAMA VILE HUJAMZAA WEWE
> Mdau wa Jamiiforums.com anasema lengo sio kumkomoa au kumuumiza mtoto bali ni kumtengenezea njia nzuri yenye ushujaa na ustahimilivu pindi atakapokuwa mwenyewe
> Baadhi ya watu hujikuta kwenye makundi ya watu wenye tabia mbaya katika jamii kwasababu wazazi wao waliwalea kwa kuwadekeza sana
Una maoni gani kuhusu hoja ya mdau?
Mjadala zaidi - https://jamii.app/KudekezaWatoto

LISSU: TUTAFUTA SHERIA ZINAZONYIMA DHAMANA KWA MAKOSA YOTE
> Tundu Lissu amesema, CHADEMA ikiingia madarakani itaruhusu makosa yote kuwa na dhamana kwa kuwa kutuhumiwa sio kuwa na hatia na hii ni ili mtu asifungwe kabla ya kukutwa na hatia
Soma https://jamii.app/LissuSirariSheria

MAN. CITY YACHEZEA KIPIGO KIZITO MBELE YA LEICESTER
> Manchester City ikiwa nyumbani katika uwanja wa Etihad imejikuta ikiambulia kipigo cha goli 5-2 kutoka kwa Leicester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England
> Leicester City inaongoza Ligi kwa tofauti ya magoli ikiwa na alama 9 huku Manchester City ikiwa katika nafasi ya 13 na alama 3
-
#JamiiForums #JFMichezo #Michezo #Sports #JFSports

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MKURUGENZI WA UCHAGUZI NEC: WATANZANIA WANATAKA BARABARA, HAWATAKI BLAH! BLAH!
> Dkt. Charles Mahera amesema, watanzania wanataka Afya iliyoimarika, miradi ya umeme na viongozi watakaolinda madini na sio watakaopeleka madini kwa wageni nje
Soma https://jamii.app/MkurugeziWaUchaguzi
#JFSiasa

LISSU: SIWEZI KUACHA KAMPENI KUITIKIA MAMBO YA MTANDAONI
> Tundu Lissu amesema hajapokea malalamiko wala wito wa kufika Tume ya Taifa ya Uchaguzi
> Jana (Septemba 27), Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dkt. Charles Mahera alisema wamemuandikia barua Lissu
Soma https://jamii.app/NECLissuMaadili

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
MGOMBEA URAIS WA ADC AAHIDI KUFUTA TOZO NA KODI ZISIZO NA MASHIKO
> Septemba 27, Queen Sendiga alitembelea Soko la Stereo Temeke na kuwaahidi wafanyabiashara kufuta tozo na kodi
> Pia, alifanya Mkutano Mbagala katika Viwanja vya Kurasini Mpya
Soma https://jamii.app/QueenSendiga