ACT-WAZALENDO: WATAKAOIBA KURA WATAADHIBIWA NA MUNGU
> Mwenyekiti wa Ngome ya Wazee ya ACT-Wazalendo, Yassin Mohammed amesema maombi ya aliyedhulumiwa hukubaliwa haraka
> Pia, amewataka wananchi wachague Chama kinachojali maslahi ya wananchi
Soma https://jamii.app/ACTKuraKampeni
#JFLeo

TIK TOK YAFUTA MAMIA YA VIDEO BAADA YA KUPOKEA MAOMBI 296 KUTOKA SERIKALI YA URUSI
> Baada ya kupokea maombi hayo wameondoa maudhui 711
> Aidha, video 104,543,719 zimeondolewa kwenye mtandao huo kutoka maeneo mbalimbali duniani
Soma > https://jamii.app/TikTokUrusi
#TikTok

AFRIKA KUSINI: WAZIRI AKATWA MSHAHARA MIEZI MITATU KWA KUCHANGANYA CHAMA NA SERIKALI
> Nosiviwe Mapisa-Nqakula alikuwa ktk ziara rasmi ya kitaifa nchini #Zimbabwe Septemba 9 na aliwabeba abiria wengine wanachama wa ANC kwa hisani.
Soma https://jamii.app/WaziriAfrikaKusini

TARIME: POLISI WAKANUSHA KUSHAMBULIA MSAFARA WA LISSU
- Kamanda wa Polisi, ACP Mkonda amesema wamewapiga mabomu ya machozi waliokuwa wanawarushia mawe Polisi
- Msafara wa Lissu upo njiani kuelekea Serengeti ukiongozwa na Polisi
Soma https://youtu.be/TWn9fTZN5hg
#Uchaguzi2020

YouTube
Tarime - Rorya: Polisi Wakanusha kupiga Mabomu ya Machozi Msafara wa Tundu Lissu
BILIONEA AGAWA MALI ZOTE ILI AISHI MAISHA YA KAWAIDA
> Charles Feeney alianzisha Atlantic Philanthropies Foundation na ametoa Dola bilioni 8 sawa na Tsh. trilioni 18.56
> Hivi sasa anaishi kwenye nyumba ya vyumba viwili na Mkewe huko San Francisco
Soma https://jamii.app/BilioneaHelaHai

LISSU: NITABADILI KATIBA ILI WABUNGE WAWE NA MAAMUZI JUU YA FEDHA ZA SERIKALI
> Tundu Lissu amesema kwa Katiba ya sasa mamlaka juu ya maamuzi ya fedha yapo kwa Rais
> Amesema hali hiyo inawafanya Wabunge wawe omba omba kwa Rais
Soma https://jamii.app/LissuKatibaMpya

WAZIRI WA ARDHI ZANZIBAR ATOA WITO KWA WANAWAKE KUWALINDA WATOTO DHIDI YA #COVID19
> Salama Aboud Talib ni miongoni mwa watu waliopata virusi hivyo na kulazwa
> Amesema ni muhimu kuchukua tahadhari ili kuhakikisha gonjwa hilo halitorejea tena
Soma https://jamii.app/ZnzCOVID19Women

MDAU: SERIKALI FUNGENI SHULE ZA MSINGI ZA BWENI. NI UZEMBE WA MALEZI
> Anasema hakuna sababu ya kumpeleka Mtoto wa Shule ya Msingi shule bweni
> Umri wa miaka 6 hadi 13 ni umri wa kujifunza na kupata tabia pamoja na ulinzi maalumu kutoka kwa Wazazi. Vyote hivi hatavipata shuleni
Soma > https://jamii.app/WatotoShuleBweni

DAR: BINTI WA MIAKA 25 AKAMATWA NA GRAMU 448.12 ZA HEROINE
> Maria Edson Mtambo amekamatwa akiwa maeneo ya Tegeta Kwa Ndevu
> Alizificha ndani ya vifurushi viwili vya vitabu akijiandaa kuvisafirisha kwenda India kwa mpenzi wake
Soma > https://jamii.app/BintiHeroinDar
#JFLeo #Heroine

UTEUZI: RAIS MAGUFULI AMEMTEUA DKT. MJINGO KUWA MKURUGENZI MKUU TAWIRI
> Kabla ya Uteuzi huu, alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Tiba za Wanyamapori na Huduma za Maabara wa TAWIRI
> Anachukua nafasi ya Dkt. Mduma ambaye amestaafu
Soma > https://jamii.app/UteuziTAWIRI
#JamiiForums #JFLeo

RUKWA: WAPIGA KURA WADAIWA KUUZA KADI ZAO
> Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Sumbawanga Mjini amesema baadhi ya wananchi wanauza kadi za kupigia kura kisirisiri
> Amewatahadharisha kuhusu kitendo hicho ambacho ni Kinyume cha Sheria
Soma https://jamii.app/RukwaVitambulisho
#TZ2020

UN: AFRIKA INAPOTEZA TSH. TRILIONI 206.521 KWA MWAKA KWA UHUJUMU UCHUMI
> Fedha zinazopotea ni zaidi ya fedha za misaada zinazopokelewa Afrika
> Nusu ya fedha hizo ni mapato ya bidhaa zinazouzwa nje kama Dhahabu, Almasi na Madini ya Platinum
Soma https://jamii.app/AfrikaFedhaUhujumu

TANZIA: SAID MABERA WA MSONDO NGOMA AFARIKI DUNIA, ATAZIKWA LEO SAA 10 ALASIRI
> Gwiji huyo wa kupiga Gitaa la Solo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa muda wa zaidi ya miezi 2
> Alijiunga na Msondo Ngoma mwaka 1973
Soma https://jamii.app/RIPMabela
#RIPMabera

NJOMBE: MAKADA 3 WA CHADEMA WASHIKILIWA KWA TUHUMA ZA MAUAJI
> Makada hao ni Tadei Mwanyika, George Sanga, Optatus Mkwera wakishirikiana na Goodluck Mfuse (Dalali wa Magari) ambao wanatuhumiwa kumuua Emmanuel Mlelwa (UVCCM) Iringa
Soma https://jamii.app/CHADEMAMauajiUVCCM

MDAU: UKIAMUA KUJIAJIRI NI LAZIMA UWE NA NIDHAMU YA KAZI ZAIDI YA ULIVYOKUWA UMEAJIRIWA
> Anasema, kuna watu wanadhani kuajiriwa ni utumwa na kutokana na uzembe wanaona ni bora wawe na biashara ili waweze kuamka saa 5 asubuhi
> Kama bosi utatakiwa kuwa mfano wa kutunza muda, mazingira na kuonesha vile ambavyo unahitaji wafanyakazi wako wawe. Hii inahitajika nidhamu zaidi kuliko ile ya mtu aliyeajiriwa
Soma https://jamii.app/NidhamuKujiajiri
#JFBiashara

FAHAMU CHANGAMOTO ZINAZOMKABILI MTOTO NJITI
> Mtoto Njiti anaweza kuwa na changamoto ya kupumua hivyo punde tu baada ya kuzaliwa, anatakiwa kupatiwa huduma ya upumuaji
> Hawezi kuhimili baridi hivyo lazima ahifadhiwe kwenye chumba chenye joto la kutosha
> Wana hatari kubwa ya kupata maambukizi kwasababu kinga yao ya mwili haijakomaa
Soma - https://jamii.app/WatotoNjiti
#JFAfya

DKT. MAGUFULI AAHIDI KUJENGA UWANJA WA NDEGE NJOMBE
> Mgombea huyo wa Urais amesema, watu wa Njombe ni wakulima wazuri hivyo watatumia ndege hizo kusafirisha ulanzi
> Pia, amesema atakamilisha ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Njombe
Soma https://jamii.app/MagufuliMakambako

#ZIMBABWE: UPINZANI WADAIWA KUSHIRIKIANA NA NCHI ZA MAGHARIBI KUMPINDUA RAIS MNANGAGWA
> Waziri wa Usalama wa Kitaifa amedai wapinzani nchini humo wanashirikiana na nchi za Magharibi kuingiza silaha kimagendo ili kumuondoa Madarakani Rais wao
Soma https://jamii.app/UasiZimbabwe

SIKU YA KIMATAIFA YA UELIMISHAJI KUHUSU UPOTEVU WA CHAKULA
> FAO inakadiria hasara ya Tsh. Trilioni 9.28 kila mwaka kwa nchi za Afrika kutokana na upotevu wa chakula
> Upotevu huo hutokana na namna duni ya kuhifadhi chakula kisichokaa muda mrefu
Soma https://jamii.app/ChakulaUN

UMUHIMU WA KUPIGA KURA KWENYE NCHI YA KIDEMOKRASIA
> Uzuri wa Demokrasia ni pale wale wanaoonekana wachache kupata nafasi ya kufanya maamuzi yao kwa kura
> Demokrasia iliyo hai inaonekana pale Wananchi wanaposhuhudia Serikali waliyoipigia kura inavyoendesha nchi
Soma > https://jamii.app/UmuhimuKupigaKura