COSMAS CHEKA AJINYAKULIA MKANDA WA 'UBO'
> Bondia wa Tanzania, Cosmas Cheka amejinyakulia Mkanda baada ya kushinda pambano dhidi ya Hannock Phiri
> Pambano lilikuwa la round 12 na alishinda kwa alama
Soma https://jamii.app/ChekaVsPhiri
#JFMichezo

WASTANI WA UMRI WA WANAWAKE WANAOPATA SARATANI YA MATITI WAPUNGUA
> Mwaka 2008/2009 waliougua Saratani ya Matiti walianzia miaka 64 huku 2019 walianzia miaka 56
> Hii inaonesha Saratani hiyo imeanza kushambulia wanawake wenye umri mdogo pia
Soma https://jamii.app/SarataniWanawake
#JFLeo

KYERWA, KAGERA: WATOTO 10 WAFARIKI DUNIA BAADA YA BWENI KUTEKETEA KWA MOTO
> Watoto 6 wamjeruhiwa vibaya katika ajali hiyo iliyotokea majira ya saa 9 usiku wa kuamkia leo katika Bweni la Wavulana wa Shule ya Msingi Islamic Byamungu
> Inaelezwa kuwa waliofariki wana umri wa miaka kati ya 6 na 12
Soma > https://jamii.app/MotoShuleKyerwa

DRC: MIILI 18 YAPATIKANA KUTOKA KWENYE KIFUSI CHA MGODI ULIOPOROMOKA
> Takriban wachimbaji 50 walifukiwa ktk kifusi baada ya mgodi wa dhahabu kuporomoka
> Bado haifahamiki Wachimbaji wangapi walikuwa wakifanya shughuli zao kwenye mgodi huo
Soma > https://jamii.app/MgodiKamituga

MTAALAMU: SUPU YA PWEZA HAIONGEZI NGUVU ZA KIUME
> Dkt. Abdallah Makala kutoka Hospitali ya Muhimbili amesema, utumiaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume si mzuri lakini ufanyaji mazoezi ni njia bora zaidi katika kuongeza nguvu za kiume
Soma https://jamii.app/PwezaNguvuZaKiume

KENYA: WAZAZI WENYE HASIRA KALI WAVAMIA SHULE NA KUCHINJA NGβOMBE
- Walinunuliwa kwa ajili ya kuchota maji ili kupunguza gharama lakini uongozi wa shule ulitaka kuwauza
- Wamedai shule inauza mifugo na vyakula bila kufuata utaratibu halali
Soma - https://jamii.app/VifoNgombe

MGOMBEA URAIS KUPITIA SAU ASEMA SERIKALI YAKE ITAONGEZA NDEGE KUFIKIA 50
> Mgombea Muttamwega Mgaywa amesema akichaguliwa atahakikisha kila Mtanzania anapata ajira ya uhakika
> Aidha, atamteua Ummy Mwalimu na Kassim Majaliwa kuwa Mawaziri
Soma https://jamii.app/KampeniSAU

MAGUFULI: MZEE MKAPA NDIYE ALIYENIOKOTA HUKO βJALALANIβ
> Mgombea Urais kupitia CCM, Dkt. Magufuli amesema akimkumbuka Rais Mkapa huwa anaumia nafsi
> Amesema ametumia neno hilo kwa kuwa mtu akipata kazi anasemwa amekotwa jalalani
Soma https://jamii.app/MagufuliChato
#JFSiasa

ZITTO: ACT-WAZALENDO IPO TAYARI KUSHIRIKIANA NA CHADEMA
> Amesema ACT-Wazalendo wapo tayari kushirikiana na CHADEMA kwa kuunga mkono wagombea wanaokubalika
> CHADEMA imemuunga mkono Maalim Seif (Zanzibar) ila Membe bado hajasema chochote
Soma https://jamii.app/CHADEMAvsACT

TCRA: WATANGAZAJI WA VYOMBO VYA HABARI WANAPASWA KUWA NA SHAHADA/STASHAHADA YA UANDISHI
- Kanuni ya 17(2) ya Vyombo vya Habari(2017) inasema, ili Mtu athibitishwe kuwa mwandishi anatakiwa kuwa na Shahada/Stashahada ya Uandishi wa Habari
Soma > https://jamii.app/TCRAVsMediaHousesTz

TACAIDS: UNYANYAPAA HUSABABABISHA VIJANA KUOGOPA KUPIMA UKIMWI
> TACAIDS wanasema kitaifa hali ya maambukizi mapya ya UKIMWI kwa vijana ni 40%
> Aidha, vijana huogopa kupima na kutumia dawa za kupunguza makali ya VVU kutokana na unyanyapaa
Soma https://jamii.app/UnyanyapaaTACAIDS
#JFAfya

SUDAN KUSINI: SHULE ZAFUNGULIWA, IDADI YA WANAFUNZI WALIOPATA MIMBA YAONGEZEKA
> Baada ya miezi 6 ya kukaa nyumbani kutokana na #CoronaVirus, Serikali imefungua shule zote kuanzia leo huku Wizara ya Elimu ikiripoti watoto 148 kupata ujauzito
Soma https://jamii.app/MimbaSudanKusini

KILIMO: FAHAMU KUHUSU MACADAMIA/KARANGA PORI
> Karanga pori ni zao la muda mrefu, mti wake unatokana na jamii ya mimea ya Proteaceae. Aina zote za mmea huu zinafaa kama zao la kilimo, la biashara na chakula
> Zinaota kwenye eneo lenye jotoridi kati ya nyuzi joto 25 na 35. Huhitaji mvua kiasi cha 800mm hadi 1200mm kwa mwaka na hali ya hewa huchangia zaidi katika kupata mazao bora
Zaidi, soma https://jamii.app/MacadamiaKaranga
#JFKilimo

UGANDA: MWANAMUZIKI MBARONI KWA KUKIUKA TARATIBU ZA KUPAMBANA NA #CORONAVIRUS
> Ni Ziza Bafana na wenzake 4 walikiuka taratibu za mapambano ya #COVID19
> Wanamuziki hao walivuka mpaka na kuingia Tanzania kwa ajili ya kutumbuiza
Soma > https://jamii.app/ZizaVsCOVID19

UMOJA WA ULAYA KUTOA BILIONI 70 KUSAIDIA MAPAMBANO YA COVID 19 TANZANIA
> Umoja wa Ulaya umesema uko tayari kutoa kiasi hicho cha fedha kwaajili ya kukabiliana na janga la #CoronaVirus pamoja na athari zake kiuchumi
Soma > https://jamii.app/EUCovid19Tz
#JFLeo #COVID19

BODI YA MICHEZO YA KUBAHATISHA YAWATAKA WAMILIKI WA βPOOL TABLESβ KUWA NA LESENI
> GBT imewataka wamiliki wa βpool tablesβ kunasajiliwa na kuwa leseni
> Hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaokaidi agizo hilo
Soma https://jamii.app/PoolTableLeseni
#JFLea

LISSU: UWANJA WA NDEGE WA CHATO UNA FAIDA GANI KWA UMMA?
> Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, amesema ndege za kiraia zinatua Uwanja wa Shinyanga
> Amewambia wafuasi wake wahoji ndege gani ya kiraia inatua Uwanja wa ndege wa Chato?
Soma https://jamii.app/LissuMakambako

NEC YAKUBALI RUFAA ZINGINE ZA UDIWANI NA KUREJESHA WAGOMBEA
> NEC imekubali Rufaa 24 na kuwarejesha Wagombea. Pia, imezikataa rufaa 19 za Wagombea Udiwani ambao hawakuteuliwa
> Imezikataa rufaa 6 za kupinga Wagombea walioteuliwa
Soma https://jamii.app/UamuziRufaaUdiwani
#Uchaguzi20202

PROF. LIPUMBA, MKINICHAGUA NITATOA HUDUMA BORA YA AFYA
- Asema Bajeti ya Wizara ya Afya itapanda kufikia 15% katika kipindi cha miaka 10 ijayo
- Ongezeko la bajeti litawezesha miundombinu ya Kisasa, Wataalam, Vifaa Tiba na Vipimo
Soma > https://jamii.app/LipumbaAfyaBora

TANZIA: MWANASIASA MKONGWE SALIM HASSAN ABDULLAH TURKY AFARIKI DUNIA
> Salim Turky 'Mr White' amefariki usiku kuamkia Septemba 15 baada ya kuugua ghafla
> Alikuwa Mbunge wa Mpendae, Zanzibar tangu 2010 na alikuwa anatetea Kiti hicho mwaka huu
Soma https://jamii.app/MrWhiteAfariki