MAREKANI YAWAWEKEA VIKWAZO WALIOSHIRIKI KUVURUGA UCHAGUZI WA MAJIMBO NCHINI NIGERIA
- Walioshiriki "Kuchakachua" matokeo ya Uchaguzi wa Majimbo ya Kogi na Bayeslsa hawataruhusiwa kuingia Marekani
- Majina ya waliowekewa vikwazo hayajawekwa wazi
Soma > https://jamii.app/USVsNigeriaElectionRiggers

ADC KESHO WATAZINDUA KAMPENI ZAKE PEMBA - ZANZIBAR
> Tukio hilo litafanyika Septemba 16, 2020 ktk Viwanja vya Shame Mmata, Soko la Mjini Micheweni
> ADC ndio chama pekee kilichomsimamisha Mwanamke kuwania Urais wa JMT
Soma > https://jamii.app/KampeniADC
#Siasa #Uchaguzi20202

BASHIRU: HAMJAZUIWA KUTUMIA WASANII
> Katibu Mkuu wa CCM amesema wasanii wanafikiri na kufuata lililojema, wasanii hao wanajitolea kufanya Kampeni
> Pia, Vyama vinavyodai kuonewa viende kushtaki Kamati ya Maadili ya Uchaguzi
Soma https://jamii.app/DktBashiruWasanii
#JFSiasa

UMD YAAHIDI KUTOA βPASSPORTβ BURE NA KUFUTA VITAMBULISHO VYA TAIFA
> Mgombea Urais, Mohamed Mazrui amesema watatoa 'Passport' bure ili Raia waweze kusafiri kwenda Nchi mbalimbali kutafuta maisha
> Pia, wataondoa ulipaji wa Kodi ya Majengo
Soma https://jamii.app/UMDKampeni

TAARIFA ZA WATU 18,000 WALIOAMBUKIZWA #CORONAVIRUS ZACHAPISHWA MTANDAONI KIMAKOSA
- Makosa hayo yamefanywa na Taasisi ya Public Health Wales(PHW) ya nchini Wales na taarifa hiyo ilidumu mtandaoni kwa takriban saa 20 na kuonwa mara 56
Soma > https://jamii.app/COVID19DataBreach
#COVID19 #UlinziWaTaarifa

UNESCO: MANYANYASO KWA WAANDISHI KATIKA MIGOMO NA MAANDAMANO YAONGEZEKA DUNIANI
> Mwaka 2015 waandishi walinyanyaswa wakati wakifuatilia matukio 15 ya migomo
> Waandishi wamekuwa wakipigwa, kukamatwa, kuuawa na wengine kuachiwa ulemavu wa kudumu
Soma https://jamii.app/JournalistProtestsCovering
#JFLeo

TANZANIA YAONGOZA KWA UKUAJI WA UCHUMI WAKATI WA #COVID19 KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI
> AfDB imesema uchumi wa Tanzania umekua kwa wastani wa 5.2%, Rwanda 4.2%, Uganda 2.5%, Kenya 1.4%, Sudan Kusini umepungua kwa 0.4% na Burundi 5.2%
Soma https://jamii.app/TzUchumiCovid19

MAREKANI: IRAN IKISHAMBULIA, TUTALIPIZA MARA 1000
> Rais Trump ameionya Iran baada ya Wataalamu wa Usalama kutoa tahadhari kuwa Iran imepanga kushambulia Ubalozi wa Marekani wa Afrika Kusini ili kulipiza kisasi cha kuuawa kwa Qasem Soleimani
Soma https://jamii.app/US1000Iran

NEC: TUNAWEZA KUWAFUNGIA WAGOMBEA AMBAO KAZI YAO NI KUSAMBAZA MATUSI
- Mkurugenzi wa Uchaguzi amesema Sheria ipo hivyo wahusika wazingatie maadili ya Uchaguzi waliyosaini
> Amewataka wauze sera zao ili Wananchi wawachague kwa manufaa yao
Soma https://jamii.app/NECVsWagombea
#TZ2020

MBEYA: MBARONI KWA KUKUTWA NA NYAMA YA NYATI
> Tatu Ndumbula (38) alikutwa na nyara za Serikali ambazo ni vipande 27 vya nyama ya Nyati kinyume cha sheria
> Nyama hiyo ilikutwa nyumbani kwake na atafikishwa Mahakamani upelelezi ukikamilika
Soma https://jamii.app/MbeyaNyaraNyati

WADAU WALALAMIKIA MATANGAZO YA KONDOMU NA TAULO ZA KIKE
> Wadau wanaona matangazo hayo hayana maadili na wanakwazwa na namna ujumbe unavyooneshwa kiasi ambacho inawawia vigumu kuwa na raha ya kuangalia runinga wakiwa na watoto
> Aidha, wengine wanaona ni sahihi kwa watoto kupata Elimu ya Uzazi mapema
> Je, ni utovu wa maadili au ni sehemu ya watoto kupata Elimu ya Uzazi?
Soma https://jamii.app/CondomPadsAds

UCHAGUZI 2020: NCHI 15 ZARUHUSIWA KULETA WAANGALIZI
> Ni baada ya nchi hizo kupitia Balozi zao zilizoko nchini kukamilisha taratibu zote za kutuma maombi
> Uchaguzi Mkuu unatarajiwa kufanyika Oktoba 28 ambapo Vyama 17 vya Siasa vinashiriki
Soma https://jamii.app/InternationalObservers

MAALIM SEIF: MKINICHAGUA, HELIKOPTA ZITAKUWA ZINAPITA JUU KUWALINDA WAVUVI
> Amesema, Serikali ya ACT-Wazalendo itahakikisha wavuvi wanatapata vyombo vya kisasa kwa ajili ya uvuvi bila ubaguzi ambapo vyombo hivyo vitakuwa na spidi kubwa
Soma https://jamii.app/MaalimSeifUvuvi
#Uchaguzi2020

MICHEZO: JACK GREALISH ASAINI MKATABA KUBAKI ASTON VILLA
> Nahodha wa Klabu ya Aston Villa, Jack Grealish (25) amesaini mkataba ili kuendelea na Klabu hiyo hadi 2025
> Christian Purslow amesema, Mchezaji huyo ni nembo ya Aston Villa
Soma https://jamii.app/JackAstonVilla
#JFMichezo

RAIA WA TANZANIA RUKSA KUINGIA NCHINI KENYA BILA KUKAA KARANTINI
> Kenya imeorodhesha nchi 147 ambazo Raia wake wataingia bila kukaa karantini Tanzania ikiwemo
> Kenya ilikuwa inaweka Raia wa nchi nyingine karantini ili kujilinda na #COVID19
Soma https://jamii.app/KeExemptsTz

NEC YAWAREJESHA WAGOMBEA WENGINE 47 WA UDIWANI
> Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeshughulikia rufaa nyingine 87 za Udiwani na kuzikataa rufaa 30 za Wagombea waliokosa teuzi
> Aidha, Tume imekataa rufaa 10 za kupinga Madiwani walioteuliwa
Soma https://jamii.app/NEC47Rufaa

KENYA: MADAKTARI WATISHIA KUGOMA KUTOKANA NA MAZINGIRA MABOVU YA KUFANYIA KAZI
- Wanalalamikia mazingira mbaya ya kazi hasa wakati huu wa #CoronaVirus
- Wadai kuchoshwa na ahadi za Serikali ambazo hazitekelezwi
Soma > https://jamii.app/MadaktariKenya
#COVID19 #Kenya #JFAfya #JFLeo

WATU 29,188,347 WATARAJIWA KUPIGA KURA OKTOBA 28
> Idadi hiyo ya wapiga kura imeongezeka, mwaka 2015 walioandikishwa walikuwa 23,161,440
> Aidha, Tume imewaondoa wapiga kura 30,487 kutokana na kukosa sifa kwa mujibu wa Sheria
Soma https://jamii.app/NECUchaguziWaandishi
#TZ2020 #Uchaguzi2020

TANZIA: KAMANDA SHANA AFARIKI DUNIA
> Aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Jonathan Shana amefariki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
> ACP Jonathan Shana amefariki akiwa Afisa Mnadhimu Namba Moja ktk Chuo cha Polisi (CCP) Moshi
Soma https://jamii.app/ACPShanaRIP

TANZANIA YAPINGA RIPOTI YA UN KUHUSU MAZINGIRA YA SIASA NCHINI
> Tume ya #HakiZaBinadamu ilionesha wasiwasi juu ya ukandamizaji wa #Demokrasia
> Serikali imesema tathmini iliyotolewa haina uhalisia kwa kuwa mazingira ya kisiasa yako vizuri
Soma https://jamii.app/TanzaniaUN